Lowassa: Waliniombea kifo, asema mabadiliko hayazuiliki

Lowassa: Waliniombea kifo, asema mabadiliko hayazuiliki

Hivi kwa mfano ukawakuta JK na EL sasa hivi wanapiga story wazo gani la kwanza litakujia wanazungumza kuelekea 2020?
JK mwenyewe ni mtu wa mabadiliko sema tu ukishayavulia sharti uyaoge,,
 
Wakwanza ni huyu
6812263baa25a1ba576b76c3cdaa5ef7.jpg
 
Mh Lowasa amesema:
"Mabadiliko hayaepukiki, ndo muelekeo wa dunia ya sasa, natarajia kuanza ziara bukoba"

chanzo:MWANANCHI.
 

Attachments

  • FullSizeRender_8.jpg
    FullSizeRender_8.jpg
    44.6 KB · Views: 50
Good news..lkn kuna ka habar apo juu kushoto.." jinsi ya kumgundua mpenz aliyekugeuza ATM" na jamaa kapiga suti anaelezea.....serious?
 
Mabadiliko muhimu yeye na chama Tawala hawana jipya wote
 
Hata kinyonga uwa anafanya mabadiriko lkn tabia yake ni ile ile,kinyonga tu ,na lowasa umebadirisha chama lakini bado ni lowasa yuleyule wa madiri,
Utaishia kuota ikulu,
 
Babu mabadiriko anajua maana ni yeye kuingia ikulu kumbe yeye sio wa muhumu sana , mungu hawezi kufanya mabadiriko ya kumuingiza shetani madhabauni utangaika sana adi mwisho wako,
 
Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema serikali ya CCM ina watu wabaya sana kwani walimuombea kifo wakati wa kampeni za Urais.

Waziri mkuu huyo wa zamani ameongeza kwa kusema mabadiliko hayazuiliki kwani ndio muelekeo wa dunia kwa sasa. Baada ya kumaliza ziara ya Zanzibar leo, Lowassa ametangaza kuelekea Kagera kwenye Ziara mkoani humo.
Inasemekana eti anafanya siasa ili kutekeleza masharti ya daktari!
Ni kweli bandugu?
 
Kwa watanzania hawa, atakama 2020 maMvi akizidisha kutoa misaada/rushwa makanisani na misikitini mara mbili ya fedha alizotoa 2015 na agombee yeye na kivuli kama ule uchaguzi wa chadema uliompitisha Msigwa kule kanda ya kusini na hawezi shinda. Wizi umechafua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Back
Top Bottom