Hivi nani anayejua kuwa Lowassa alifisadi nini? Samuel Sita kwa kujua EL atakuwa kikwazo kwake kwenye ndoto za kuwa PM au president kwa kushirikiana na Mwakyembe walimsaidia JK bila kujua kumtema EL. Ninasikia maneno meeengi kuhusu EL but hakuna hata mmoja anayesema kafisadi nini. Hakuna ushahidi wa wazi kuhusu rushwa aliyochukua kwenye Richmond. I swear to god bora Lowassa kuliko Hussein Mwinyi anayeandaliwa na JK. Lowassa is the best leader by far. And he has class and he is rich. That is kind of president we want. Halafu ni mcha MunguMimi nadhani Lowassa kama Mwanasiasa mkongwe alitakiwa a-step down tu, kwasababu system haimtaki tena kwasababu kaichafua. sasa akimwaga ugali yeye itamsaidia nini? afanye kitu ambacho kitamfanya arudishe heshma yake na siyo kuwa na "moyo wa tukose wote"
Kweli ni fighter kama Gadaffi . Tofauti yake na gaddfi ni uwa atleast gaddfi anaubalika na watu kiasii fulani. Lowasa katika mikoa yote labda wilaya yake tu na yenyewe wamuhurumie
He is not a quitter Yes but . kama hata zile mvi hazimsaidii kusoma nyakati basi People powet will quit him as the parliament did
Inashangaza kwa kweli, maana hivi sasa kuna kundi la watu wameanza kampeni ya kumsafisha Lowasa.
Chenge na Rostam wanaogopa nini? wamwage tu ugali tumechoka na unafiki wa JMK, ****** aliyeshindwa kuongoza nchi. NAMUOMBA LOWASSA AFANYE HARAKA KUMWAGA UGALI ILI TURUDIE UCHAGUZI KWA SABABU JK NI MAAFA MAKUBWA KWA TAIFA AKIACHIWA AFIKE 2015. FICHUA MLIVYOSHIRIKI EPA, KAGODA, MEREREMETA, DEEP GREEN, RICHMEOND ILI WANANCHI TUANDAMANE KAMA YEMEN KUMUONDOA HUYU JAMAA. WOTE HAWANA MORAL AUTHORITY YA KUTUONGOZA. HII NCHI KILA KONA NI RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WALIPA KODI.Ee Mola endelea kunipa uhai ili niweze kuona madudu zaidi yaliyofanyika kumwingiza JK madarakani...Niweze kuona mwisho wa unafiki wa JK...Niweze kuona mihtasari ya mikutano ya siri iliyoongozwa na EL kupanga njama za kukwapua fedha za EPA ili JK aingie madarakani..Niweze kuona CCM ikimeguka mapande matatu..Niweze kupata ukweli wa chanzo cha chuki ya JK kwa Cigwiyemisi, Mkapa na Dr Salim..Niweze kupata ukweli kuhusu uhusiano wa JK, RA na Kagoda..........Aaamin!
Safari njema Lowasa, sijui utatoka na chama kipi maana kwa magamba hufai na cdm ndio kabisaa
Kumekucha. Nakaa mkao wa kula ili kuona mechi. Nasubiri kupewa kiingilio. Mechi itakuwa kali sana. ila Mwalimu aliwahi kusema chama imara kitatoka ndani ya CCM