Kama mnadhani anafaa basi mchukueni akawe rais wenu huko huko kaskazini,na sijui jeshi gani litawakubalia mjifanyie kanchi kenu huko kaskazini ambako mnadhani mmeendelea.Haa uingie msituni na nani? Nyie vijana wa Pwani pwani mna matatizo sana, taka usitake Lowassa is the next Prezidaa wa Tanzania. Mbona mnatuogopa sana? 2015 lazima Rais atoke Kaskazini kwanza we are more advanced, more educated and developed unabisha?
Mkuu, Lowasa hakujiuzulu kwa kupenda alilazimika kujiuzulu kutokana na madudu ambayo aliyafanya ama kwa makusudi ama kwa uzembe.masuke ndugu yangu ujasiri tunaouzungumzia ni pamoja na kuamua kujiuzulu. .ile ni alama tosha ya kuliachia lile swala liende hata kwenye vyombo vy sheria. .na unaona hata tuhuma za lowasa sio kweli. .nanukuu ''hata mheshimiwa spika uliponidokeza kuhusu swala hili,ukaniuliz kama ushahidi ninao,nilikuletea tena kw maandishi''..ni wazi lowasa alinyanyaswa katika hili,kama ni swala la kuwajibika kama ofisi,basi hata rais ingetakiwa kuwajibika. ..kimsingi lowasa hana mizaha kama mwenzake.
Tena si vizuri kukataa kuitwa gamba kama unamshabikia lowasa.alafu watanzania hasa ndani ya JF,Mbona tumefikia mahala tunakosa kuheshimu uhuru wa mawazo,si kweli mtu anaposema lowasa ni smart eti katumwa,au ni gamba. .ataa hii lugha ni ya hatari na inafedhehesha si nzuri kwa werevu. .
Rais ni Lowassa, kwanza ni mkali na ana uzoefu kuliko Dr Slaa
Hivi siku 90 bado??
kwa kuwa mimi ni mstaarabu sitakujibu.
Ieleweke kwamba Lowassa sio yeye peke yake aliyehusika katika masuala mazito ya ufisadi yaliyomchafua..ni dhahiri yalikuwa na baraka ama maagizo ya mkubwa wake..Sasa leo hii yeye ndiyo watanzania wote tuthibitishiwe kwamba ni mbaya..itamuuma tu na ninabashiri makubwa kutokea na CCM kuanguka kama zigo la kuni..Ama sivyo ile hali ya kuuwana ndani ya CCM inaweza chukua nafasi ili kuepukana Chama Kusambaratika..Tume ya Mwakyembe iliposoma ripoti ya Richmond ilithibitisha kuweka .. Hawezi na hana sifa za kuwa mkuu wa nchi. Angetulia tu akanywesha mifugo yake.
Lowasa ni kikwazo kikubwa sana kwa JK, kitu kingine ambacho kitakuja kumgharimu JK ni undumi la kuwili alio kuwa nao. Akiwa na Lowasa anaongea vitu vingine, na akiwa na Mukama anaongea vitu vingine.
Sasa hii kitu mbaya sana, ndio maana lowasa alimshangaa Mukama kwa maneno aliyokuwa anamwambia,"Lowasa:
"Nimeongoea na JK akuniambia maneno haya ambayo wewe unaniambia hivi sasa"
Sasa hii kitu ndio itakayo kuja kuleta madhara. Na ni mbaya sana kuwa changanya watu hasa marafiki zako na hii pia ni angalizo kwa NAPE.