Na Jakaya naye aseme baada ya kumsikia Lowassa!
Ndoa za viapo vitakatifu huvunjika sembuse urafiki wa ghetoni!?
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha

Kweli ni urafiki wa mashaka. Kila siku ni Lowassa tu anasema Kikwete ni rafiki yake, lakini Kikwete hatumsikii akisema kuwa ana urafiki na Lowassa. Mara ya Mwisho tulimsikia Kikwete akimdhihaki Lowassa kwa kusema "Kuna mwanasiasa mmoja yeye anagawa pesa tu hadi kwenye nyumba za Ibada, utadhani ana huruma kumbe wapi, halafu hasemi amepata wapi hizo pesa?"
Mimi naona Lowassa anajipendekeza kwa Kikwete tu, na hapo hapo anajua fika kuwa adui yake ni Kikwete.