Lowassa: Urafiki wangu na Kikwete utaendelea mpaka kifo kitakapotutenganisha

gumegume

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
1,063
1,225
Akizungumza jana Bagamoyo alipokwenda kutafuta wadhamini, Lowassa alisema,"Bagamoyo ni nyumbani kwangu kwa pili, kwa sababu ni nyumbani kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni rafiki yangu. Nataka niwaambie kuwa mimi na Jakaya ni marafiki wakubwa, na urafiki wetu utaendelea hadi Mwenyezi Mungu atakapotuchukua."

Chanzo: Mtanzania, Jumatatu, 29.6.2015, Lead story.

MY TAKE: Lowassa hapa anatuma ujumbe kwa Kamati Kuu kwamba, Jakaya ambaye ni rafiki yake mkubwa hivi, hawezi kukubali kuona jina lake linakatwa, NI LAZIMA liingie katika tano bora!
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,107
2,000
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha
 
Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,357

Hili nilikuwa silijui
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,736
2,000
sina kisasi na jakaya ,na jakaya akenda arusha atasema huku ni kwa rafiki yangu-kkazi ipo EL hazuiliki-kumbuka kinana kasema huyu Nape huwa ana pitiliza namrudisha, EL atapita no way.
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,233
2,000
gumegume

Ushikaji bila kuwa na sifa? Atatosam Mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,113
2,000
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha

duuuuh
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,233
2,000
Kweli ni urafiki wa mashaka. Kila siku ni Lowassa tu anasema Kikwete ni rafiki yake, lakini Kikwete hatumsikii akisema kuwa ana urafiki na Lowassa. Mara ya Mwisho tulimsikia Kikwete akimdhihaki Lowassa kwa kusema "Kuna mwanasiasa mmoja yeye anagawa pesa tu hadi kwenye nyumba za Ibada, utadhani ana huruma kumbe wapi, halafu hasemi amepata wapi hizo pesa?"

Mimi naona Lowassa anajipendekeza kwa Kikwete tu, na hapo hapo anajua fika kuwa adui yake ni Kikwete.
 
Mussolin5

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,572
2,000
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautishaKweli hawajakutana barabarani...
 
SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,422
1,195
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha

Executive summary of the saga.
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,648
2,000
Kweli ni urafiki wa mashaka. Kila siku ni Lowassa tu anasema Kikwete ni rafiki yake, lakini Kikwete hatumsikii akisema kuwa ana urafiki na Lowassa. Mara ya Mwisho tulimsikia Kikwete akimdhihaki Lowassa kwa kusema "Kuna mwanasiasa mmoja yeye anagawa pesa tu hadi kwenye nyumba za Ibada, utadhani ana huruma kumbe wapi, halafu hasemi amepata wapi hizo pesa?"

Mimi naona Lowassa anajipendekeza kwa Kikwete tu, na hapo hapo anajua fika kuwa adui yake ni Kikwete.Just to remind you..!!! JK ndio alisema yeye na Lowassa hawajakutana barabarani..!!!
 
jnhiggins

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
1,622
2,000
gumegume

Lowasa analazimisha urafiki kwani sijawahi kumsikia JK akikubali urafiki wao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: DSN

gumegume

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
1,063
1,225
Nawaza tu moyoni,"Lowassa, ikiwa Kikwete ni rafiki yako mkubwa kiasi hicho, ilikuwaje akakutosa Uwaziri Mkuu, wakati alikuwa ana uwezo wa kukataa usijiuzulu????"
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,530
2,000
haa haa lowasa amesema ukweli. jeuri yote ya lowasa ndani ya ccm inatokana na urafiki wa jk na kikwete. hakuna mwenye ubavu wa kumkemea lowasa ndani ya ccm kamwe. sio nape wala kinana..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom