Lowassa: Urafiki wangu na Kikwete utaendelea mpaka kifo kitakapotutenganisha

gumegume

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
1,063
617
Akizungumza jana Bagamoyo alipokwenda kutafuta wadhamini, Lowassa alisema,"Bagamoyo ni nyumbani kwangu kwa pili, kwa sababu ni nyumbani kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni rafiki yangu. Nataka niwaambie kuwa mimi na Jakaya ni marafiki wakubwa, na urafiki wetu utaendelea hadi Mwenyezi Mungu atakapotuchukua."

Chanzo: Mtanzania, Jumatatu, 29.6.2015, Lead story.

MY TAKE: Lowassa hapa anatuma ujumbe kwa Kamati Kuu kwamba, Jakaya ambaye ni rafiki yake mkubwa hivi, hawezi kukubali kuona jina lake linakatwa, NI LAZIMA liingie katika tano bora!
 
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha
 
Hili nilikuwa silijui
 
sina kisasi na jakaya ,na jakaya akenda arusha atasema huku ni kwa rafiki yangu-kkazi ipo EL hazuiliki-kumbuka kinana kasema huyu Nape huwa ana pitiliza namrudisha, EL atapita no way.
 
gumegume

Ushikaji bila kuwa na sifa? Atatosam Mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha

duuuuh
 
Kweli ni urafiki wa mashaka. Kila siku ni Lowassa tu anasema Kikwete ni rafiki yake, lakini Kikwete hatumsikii akisema kuwa ana urafiki na Lowassa. Mara ya Mwisho tulimsikia Kikwete akimdhihaki Lowassa kwa kusema "Kuna mwanasiasa mmoja yeye anagawa pesa tu hadi kwenye nyumba za Ibada, utadhani ana huruma kumbe wapi, halafu hasemi amepata wapi hizo pesa?"

Mimi naona Lowassa anajipendekeza kwa Kikwete tu, na hapo hapo anajua fika kuwa adui yake ni Kikwete.
 
Kweli hawajakutana barabarani...
 
Executive summary of the saga.
 
Kweli ni urafiki wa mashaka. Kila siku ni Lowassa tu anasema Kikwete ni rafiki yake, lakini Kikwete hatumsikii akisema kuwa ana urafiki na Lowassa. Mara ya Mwisho tulimsikia Kikwete akimdhihaki Lowassa kwa kusema "Kuna mwanasiasa mmoja yeye anagawa pesa tu hadi kwenye nyumba za Ibada, utadhani ana huruma kumbe wapi, halafu hasemi amepata wapi hizo pesa?"

Mimi naona Lowassa anajipendekeza kwa Kikwete tu, na hapo hapo anajua fika kuwa adui yake ni Kikwete.

Just to remind you..!!! JK ndio alisema yeye na Lowassa hawajakutana barabarani..!!!
 
gumegume

Lowasa analazimisha urafiki kwani sijawahi kumsikia JK akikubali urafiki wao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: DSN
Nawaza tu moyoni,"Lowassa, ikiwa Kikwete ni rafiki yako mkubwa kiasi hicho, ilikuwaje akakutosa Uwaziri Mkuu, wakati alikuwa ana uwezo wa kukataa usijiuzulu????"
 
haa haa lowasa amesema ukweli. jeuri yote ya lowasa ndani ya ccm inatokana na urafiki wa jk na kikwete. hakuna mwenye ubavu wa kumkemea lowasa ndani ya ccm kamwe. sio nape wala kinana..
 
Back
Top Bottom