Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Kwa uchangiaji wa kipuuzi na wewe umo. Endelea nadhani ipo siku Jf watatoa tuzo ya majuha!!!
 
Hawa wazee hawashindwi kurudi kugombea ubunge!
 
Safi lakini.....

Lowassa bado ana miss alivyokuwa waziri mkuu.......

Rais wa mioyo ya baadhi ya watanzania........

Ni wakati mzuri wake kustaafu siasa.....
Technically nakuelewa sana huwa aukurupuki kabisa.
 
NAONA KAULI YA HAPA KAZI TU WANAPINGANA NAYO:KWELI KABISA WANAENDA KUKAA BUNGENI AISEE HII NI DHARAU WACHUKULIWE HATUA.
Wewe una miaka mingapi umeandika upuuzi tuu
 
4*1 upo wewe kapimwe
 
nakutakia maisha mema mzee wetu lowasa nilijifunza mengi mazuri kuhusu wewe kule kwenye mifugo yako ni siri ambayo wengi wakijua watapiga goti bila shurti nakutakia tena maisha marefu
 
nakutakia maisha mema mzee wetu lowasa nilijifunza mengi mazuri kuhusu wewe kule kwenye mifugo yako ni siri ambayo wengi wakijua watapiga goti bila shurti nakutakia tena maisha marefu
Amen
 
Lowasa ana marafiki wengi CCM bado safi sana
 
Huyu mzee ni wakati wake wa kupumzika sasa awe mshauri!!

2020 atahamia ccm na kustaafu hapo ndipo patakapo kuwa mwisho wa upinzania Tanzania
Dady Lowasa ndo raisi wetu 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…