Mtachonga sana but nothing u will change.Umemtaja Ali Kiba na Diamond nimekumbuka kuhusu zile kura za mkulu kule MTV aaah sorry Forbes ambazo kazoa. Sijui naye watampa shoo moja ya kuonyesha siku ya kuoewa Tuzo! Anyway hata akitwanga pushup 20 jukwaani itakuwa sifa ya Tanzania duniani
kumbe kukaa kimya huwa ni silaha, sasa mbona wagoni huwa wanakaa kimya na haiwasaidii mkuuWana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania
Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.
Mbona Mkapa Mwinyi Kikwete walikuwa hapo hapo tatizo wapambe wa magufuli munaangalia post kwa mshikoAibu sana,yani leo lowasa na sumaye wanakaa sehemu za wageni wa kawaida badala ya VIP!
Kwa kwa hili jukwaa hata kàma ulikuwa na msongo wa mawazo utaponaUmemtaja Ali Kiba na Diamond nimekumbuka kuhusu zile kura za mkulu kule MTV aaah sorry Forbes ambazo kazoa. Sijui naye watampa shoo moja ya kuonyesha siku ya kuoewa Tuzo! Anyway hata akitwanga pushup 20 jukwaani itakuwa sifa ya Tanzania duniani
Hivi inakuwaje mnapangia watu muda wa kupumzika? Pumzika wewe mwache anayetaka kuendela na siasa aendelee, ebu kamwambie Mugabe au Museveni apumzike kama hutarudi na ngeu!Huyu mzee ni wakati wake wa kupumzika sasa awe mshauri!!
2020 atahamia ccm na kustaafu hapo ndipo patakapo kuwa mwisho wa upinzania Tanzania
Kwani hao ng'ombe walikuwa wanachungwa na nani?Hata mim namshangaa,sijui ng'ombe kamuachia nani.!
NAONA KAULI YA HAPA KAZI TU WANAPINGANA NAYO:KWELI KABISA WANAENDA KUKAA BUNGENI AISEE HII NI DHARAU WACHUKULIWE HATUA.LOWASSA, SUMAYE WAIBUKIA BUNGENI
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
View attachment 427744 View attachment 427745 View attachment 427746 View attachment 427747 View attachment 427748
Hawana njaa!Swali je hapo wanalipwa kwa mahudhurio hayo au wanajitegemea
Aaargh zile zinampwaya,sijui anatengenezewa ili akue nazo! Mimi sijui!Za mkulu je?
Ndilo swali unalojiuliza? Unataka awabebe mgongoni?Hata mim namshangaa,sijui ng'ombe kamuachia nani.!
Mkuu umetishaNdilo swali unalojiuliza? Unataka awabebe mgongoni?
Acha kejeli za kijingaAaargh zile zinampwaya,sijui anatengenezewa ili akue nazo! Mimi sijui!
We ndo uache upororo wa kijinga. Ni wapi nimemkejeli Mzee wetu? Kwani hizo suti hazijamkaa vizuri!?Acha kejeli za kijinga
Nenda na wewe akununulieWe ndo uache upororo wa kijinga. Ni wapi nimemkejeli Mzee wetu? Kwani hizo suti hazijamkaa vizuri!?
Msuya angekaa wapi!!? nielimisheWanalipwa na Chadema si unaona walitunga kuwa kamati kuu itakuwa Dodoma kukutana na wabunge wa Chadema? Lengo ilikuwa kuwatengenezea ulaji na wao watoke wakapunge upepo wa viyoyozi bungeni Dodoma lengo kuwasaidia Ku Steam out frustration zao kidogo.NIlichojifunza ni kuwa MTU aliyekuwa akikaa viti vya waheshimiwa Leo anakaa viti vya wageni ambavyo hata watoto wa shule hukalia wakienda kutembelea binge nawahurumia sumaye na lowasa wanadhalilisha hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu.