jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,390
- 25,510
Nani alisema?of course.. ! jamani mbona yalisemwa haya tangu Pinda anateuliwa....
Nani alisema?of course.. ! jamani mbona yalisemwa haya tangu Pinda anateuliwa....
Hao nadhani ni miongoni mwa hao aliodai kuwa alijiuzulu "kwasababu yao" kwahiyo na wao lazima watakuwa mafisadi,ama inawezeana ccm karibia wote ni mafisadi humo bungeni....Issue kama hizi zilitakiwa ziwagawanye hao ccm kwa manufaa ya nchi,lakini wapi,nashangazwa sana na wabunge wetu....Kama wanaamini kuwa EL was right then lazima watakuwa wanaamini kuwa kina Mwakyembe ni maadui wa chama.kama umepata kushuhudia vikao vya bunge wala hili lisingekushangaza.......huyu bwana EL kila anapotokea wabunge na wanasiasa wote wanagombania mkono wake, ana nguvu kubwa tuu, na wala haiwezi kushurutishwa na tabloids.That's why kuna mawaziri wanajitoa kafara kumtetea.... get it and accept it
Hivi katiba ya nchi yetu inaruhusu waziri mkuu aliyejiuzuru kuteuliwa tena baada ya muda flani?
Acha kutetea uozo wewe!! Lowassa alikuwa na chance ya kujitetea na baada ya kushtuka kuwa lawyer amejipanga vizuri na ushahidi wa kutosha ilibidi aachie ngazi.....mzee wapinzani wa mtandawo walikuwa wamejipanga kweli kweli....na aina yoyote ya kujitetea asingeeleweka...na rais alishafanywa behind the scene ashindwe au aogope kumtetea ......so Mwanajijiji in general Taarifa za kijasusi alizopewa Lowassa kuhusu hali halisi zilimshtua sana..na zilikuwa za ghafla....ie Plan B ya kina Mwakyembe ilikuwa tishio kwa utawala mzima...
...naamini kabisa Lowassa angepata taarifa mapema ya kinachopangwa ....angekuwa waziri mkuu hadi leo ...kwani hata angepata taarifa ndani ya masaa 24 au 48 kabla ya tukio ...angekuwa na uwezo wa kubadilisha kabisa..hali ile na kuwapanga watu wa kumtetea na namna ya kujitetea au hata lolote lingeweza kutokea ......ni wazi tume ya Mwakyembe ilichomudu ni USIRI mkubwa!!!
katiba ipi hii ya ccm ilitosutwa na a ramadhan ........!!
Yaani huyu morani sijui kawapa nini, wengi wao ni njaa tu. Kuhusu TBC sijaajua lengo hasa ni nini. Ila hawa jamaa sijui wana moyo wa namna gani, anajua jinsi gani aliharibu lakini bado anataka kuonekana msafi.kama umepata kushuhudia vikao vya bunge wala hili lisingekushangaza.......huyu bwana EL kila anapotokea wabunge na wanasiasa wote wanagombania mkono wake, ana nguvu kubwa tuu, na wala haiwezi kushurutishwa na tabloids.That's why kuna mawaziri wanajitoa kafara kumtetea.... get it and accept it
Hivi with your right mind hujiulizi kwa nini anatafuta kila namna arudi kwenye system, anawapenda sana watanzania? Anajua ulaji uliopo na ameumiss kitambo sasa. Ni kama fisi wanavyofuatilia nyama inayoliwa na Simba mpaka Simba anakimbia. Huyo ndo Lowassa ni mchwa wa uchumi wa Tanzania. Nyerere alimjua jinsi alivyo na uchu wa madaraka na ubepari wa wizi!!lakini bwana EL ana roho ngumu kweli kweli
Hivi katiba ya nchi yetu inaruhusu waziri mkuu aliyejiuzuru kuteuliwa tena baada ya muda flani?
Umekusudia nini hapa?
Lowassa ana kila haki kutafuta haki yake katika hili jambo. Nimekuwa nikiwaeleza hapa jamvini toka mwanzo kwamba Lowassa alionewa katika hili suala, hakupewa muda kabisa wa kujieleza mbele ya tume ya Mwakyembe. Tume ya Mwakyembe ilikuwa na madaraka ya kumuita mtu yeyote bila kujali cheo, rangi, kabila wala mali kwani ilipewa mamlaka hayo na Mkuu wa nchi.
Kwanini tume Iliweza kuwasikiliza na kuwatembelea watuhumiwa wote isipokuwa Lowassa?. Jamani huwezi kumuhukumu mtu bila kumsikiliza ama kumpa nafasi ya kujieleza. Na ningeomba muelewe kwamba uzuri wa shillingi ni kuiangalia pande mbili na wala si pande moja. Welldone Lowassa.