Kwa kweli si kila mwenye uwezo wa kuandika anapaswa kuandika hata mambo hasioyajua...huyu ni mmoja wapo.................1.Anadai hapa kuwa kuna mtu alikuwa anamlazimisha injinia manyanya apitishe memo???????????how mbunge anapitisha memo ya waziri mkuu kwa ujinga wake anadhani manyanya alikuwa ni mtendaji pale tanesco wakati wa tanesco,...........2Hajasikiliza sijui au hajaelewa maelezo kuwa ni kweli alipush mchakato uende kwa haraka kwa kuwa tishio la umeme ni kubwa lilikuwa na anaamini ulikuwa ni wajibu wake
Ni kweli kabisa, make anadai yeye si mtu wa kukaa ofisini na kusubiri mafaili tu, ni mtu wa kufanya maamuzi pasipokuogopa matokeo. Anajaribu kuwaaminisha watanzania kuwa yeye ni mtendaji kwelikweli ili akijakuteuliwa basi watu wasihoji sana. Lakini ukweli uko palepale, huyu bwana ni fisadi, Japo kuna hizi juhudi za kumsafisha ambazo zimekwisha anza.Huyo ni mjanja either kuna sehemu ameambiwa atarudishwa ndani ya chama au nyadhifa furaniu atapewa na sasa anataka ajionyeshe kuwa yeye yupo na nina wasi wasi sana na wana CCM wengine wanajipendekeza sana kwa huyo mtu kwakuwa ana jeuri ya pesa anagalieni tu mtakuja jua kitakacho endelea
Nilikuwa nikifuatilia Mahojiano kati ya Tido Muhando na Waziri mkuuu aliyejiuzuru Ndg E.Lowasa. Nilichokiona nikuwa waziri mkuu alikuwa anajaribu kuwaaminisha watanzania kwamba yeye hakuhusika katika mkataba wa kifisadi wa Richmond!! Pamoja na ushahidi wote uliotolewa juu ya nafasi yake katika huo mkataba. Na akasema kuwa magazeti yaliandika habari nyingi za uongo kumhusu yeye mpaka mwisho watanzania wengi wakawachoka na kuwadharau!!!! Baada ya kugundua ni wazushi!!.Je!? Ni kweli watanzania wanaamini hivyo? Au muheshimiwa ndo anazidi kujichimbia shimo?
Hapo ndipo Lowassa anaponyimwa haki yake. Kwanini basi tume iliundwa?. Kwanini tume iliweza kuwaita na kuwatembelea wahusika wote wa nje na ndani ya Tanzania na kumwaacha Lowassa aliyekuwa na ofisi mtaa pili tu toka ofisi ya tume hiyo?.
Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Welldone Lowassa, kaza buti mpaka kieleweke.