Lowassa: Sitategemea wahisani kuendesha serikali

Hahaha zuzu yule dada aisee, yy kazi yake ni kumuosha JK hata km haosheki, cjui amempa nn aisee!

Ukiwa zuzu ni zuzu tu hata aje nani utabaki kuwa zuzu tu.
Sasà huyu dini ndiyo imemtawala zaidi kwahiyo hata mtu akifanya madudu gani so long ni wa dini yake basi kwake ni mtu mzuri na anyefanya kazi vizuri
 
vyuo vikuu zaidi ya 50 vimeanzishwa wakati wa awamu ya kikwete?😕 Omg

hebu niorodheshee vyuo vitano tu vilivyojengwa kwa juhudi za awamu hii! Unless utakuwa ni muongo uliepindukia!

richmond university of lowasa.
 
Kwa rasilimal tulizonazo na kwa mda ambao Tulpata uhuru mwaka huu haikutakiwa tuwe tunaongelea vitu ambavyo ni Basic kabisa kama barabara,umeme,maji,nk. Miaka hii taifa lilitakiwa liwe linalenga kwenye Technologial ya mawasiliano na Usafirishaj wa kiwango cha kmataifa kama Air tz kuwa na ndege znazosafr dunia. Kuna kpnd hl shirika llkua na ndege moja inayoruka na ilkua mbovu lakini shirika lilikua na wafanyakaz 201

umeongea KISOMI SANA kiupeo wa hali ya juu hawa bendera fata upepo na wanafki nafki hawatokuelewa ht kidogo...!!
ni mpuuzi ndo ataiunga mkono CCM au mchumia tumbo peke yake
 
Bora 25 Oktoba 2015 ifike tumalize ubishi.Kama MISAADA na HARAMBEE zote alidai anatumia Pesa za MARAFIKI zake na sio zake atashindwaje kutumia PESA za WATEJA wake kueendeshea nchi?Jambo moja ni Wazi HASTAHILI kupata KURA YANGU!
 
Edward Lowassa amesema hatategemea nchi wahisani ktk kuongoza serikali yake.

Amedai Tanzania ina rasilimali za kutosha kabisa kuweza kujitegemea na kujiongoza yenyewe so amewataka watanzania wachague ukawa ili kuondokana na utegemezi uliodumu kwa miaka zaidi ya 50!

Chanzo: ITV Habari

Talking is cheap!

Akiwa kama Mbunge wa Monduli ni mara ngapi amekutana na mabalozi wa nchi za nje kuomba msaada kwa ajili ya shughuli za jimboni kwake?
 
Kinadharia vinawezekana vingi kufanyika, kiuhalisia ndo pale hasira za kushindwa kutimiziwa ahadi zinapanda kama ilivyokuwa zile za maisha bora kwa kila mtanzania.
 
inawezekana kwa kuondoa matumizi yote yasiyolazima, mfano mashangingi, utawala wakuu wa wilaya, safari za nje za viongozi na kuishi kuongeza wigo wa mapato, kupunguza maisha ya anasa ya viongozi mfano wabunge na malipo makubwa kwa wanasiasa
 
Hahahaa dada FaizaFoxy nchi yetu kwa hii miaka 10 ni km vile haikuwa na Rais, kosa tulilofanya 2005/2010 litaigharimu nchi kwa kipindi kirefu sana, naamini kizazi kijacho kitakuja kutandika fimbo makaburi yetu kwa upumbavu wetu wa kumchagua mtu km Kikwete aongoze nchi!

Ni aibu hata kwa nchi za jirani!

Mimi nnaanza kukuonesha mafanikio ya miaka 10 ya Kikwete, wewe nioneshe ya kabla yake ili twende sambamba, ukishindwa ujuwe wewe ni mpumbavu na muongo:

1) Katika awamu hii ya nne kumekuwa na mafanikio ambayo hayakuwahi kutokea ktk nchi hii hata kama baadhi ya watu hawapendi kusikia hivyo, kwa uchache tumefanikiwa katika sekta mbalimbali kama elimu, afya, miundo mbinu na mambo chungu mzima ambayo tukisema tuyataje hapa hatutapa nafasi ya kutosha.

Tukianzia na elimu sote tunakumbuka kuwa serikali yake ilibua mpango wa ujenzi wa sekondari za kata kwa sababu nafasi za wanafunzi kuingia sekondari zilikuwa zimekuwa finyu kiasi cha kwamba ni asilimia kati ya 6 na 10 ya watoto wote waliokuwa wanamaliza shule za msingi mwaka 2005 walikuwa wanaingia sekondari wakati anaingia madarakani.

Pamoja kejeli nyingi zilizoelekezwa kwa shule za sekondari za kata kiasi cha kuitwa Yeboyebo katika miaka ya mwanzoni ya shule hizo, bado zimekuwa na mafanikio makubwa, ambayo ni sehemu ya mafanikio makubwa ya sekta ya elimu katika miaka tisa ya uongozi wa rais KIkwete.

Rais Kikwete alitangaza hivi karibuni kuwa Serikali yake imefuta katika shule za sekondari zilizo chini ya serikali, ili kuboresha sera ya elimu na kuhakikisha kila mwanafunzi anayeanza darasa kwanza anamaliza kidato cha nne. Hii ya kufuta ada itasaidia kila mtoto anayeanza darasa la kwanza anakuwa na nafasi ya kumaliza sekondari kwa maana ya kidato cha nne mpaka cha sita bila kulazimika kuacha shule kwa sababu ya ada.

Bajeti ya Elimu ndiyo iliyo kubwa kuliko zote kwa miaka mingi na imekuwa ikiongezeka. Kwa mfano, mwaka 2005/2006 zilitengwa shilingi bilioni 669.5 wakati mwaka 2014/2015 zimetengwa shilingi trilioni 3.1. Katika kipindi hicho, bajeti ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka kutoka shilingi bilioni 56.1 hadi shilingi bilioni 345. Kwa sababu hiyo idadi ya wanafunzi wanaofaidika imeongezeka kutoka 16,345 mwaka 2005 hadi 98,000 mwaka 2014.

Shule za msingi zimeongezeka kutoka 14,257 mwaka 2005 hadi 16,343 mwaka 2014 na hivyo kufanya idadi ya wanafunzi nayo kukua kutoka milioni 7.54 hadi milioni 8.23. Kwa upande wa sekondari shule zimeongezeka 531 mwaka 2005 hadi 4,576 mwaka 2014. Idadi ya wanafunzi nayo imeongezeka kutoka 524,325 mwaka 2005 hadi 1,804.056 mwaka 2014.

Upanuzi huu mkubwa na wa kihistoria umetokea pia kwenye vyuo vya elimu ya ufundi stadi ambapo vyuo vimeongezeka kutoka 184 hadi 744 kati ya mwaka 2005 na 2014. Kwa upande wa elimu ya juu, idadi ya vyuo imeongezeka kutoka 26 hadi 50 kati ya mwaka 2005 na 2014 na kufanya idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu iongezeke kutoka wanafunzi 40,719 mwaka 2005 hadi wanafunzi 200,986 mwaka 2014. Leo hii, hatuna tena tatizo na fursa ya kupata elimu kwa elimu ya msingi, sekondari, ufundi na elimu ya juu.

Mwaka 2005, urari wa wanafunzi kati yetu na wenzetu wa Afrika Mashariki ulikuwa wa chini mno kwa upande wetu. Kenya walikuwa na wanafunzi wa sekondari 925,341 na wa vyuo vikuu 108,407 ikilinganishwa na Tanzania iliyokuwa na wanafunzi 524,325 wa sekondari na 40,719 wa vyuo vikuu. Uganda ilikuwa na wanafunzi 728,393 wa sekondari na 124,313 wa vyuo vikuu.

Sasa hali ni tofauti. Kwa mwaka 2013, kwa mfano, Kenya ilikuwa na wanafunzi wa sekondari 2,104,300 na wanafunzi wa vyuo vikuu 324,600. Katika mwaka huohuo, Uganda walikuwa na wanafunzi wa sekondari 1,362,739 na wa vyuo vikuu 140,403. Ongezeko hili linatuweka katika hali nzuri ya ushindani tunapoelekea katika ushindani wa soko la pamoja ndani ya Afrika Mashariki ikilinganishwa na hali ilivyokuwa miaka 10 iliyopita.

Tumekuwa nchi ya kupigiwa mfano katika kutekeleza Malengo ya Milenia (MDGs) yanayohusu fursa ya watoto kupata elimu ya msingi, na usawa wa kijinsi baina ya watoto wa kiume na wa kike kupata elimu ya msingi na sekondari.

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ne-ya-dr-jakaya-kikwete-sehemu-ya-kwanza.html

Kwa kukuongezea tu, hadi sasa vyuo vikuuu vilicyoanzishwa wakati wa Kikwete ni zaidi 50.

Haya, lete yako.
 
Ila Dada Faiza kwa hali halisi huku kijiweni wananchi wamekichoka kabisa chama chetu na hata hilo bao la mkono kulipata ni issue..

Nimejikuta hata kwenye mikutano nguo za chama ninavalia na kuvulia huko huko siwezi kutembea njiani nazo
 
Back
Top Bottom