Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Hiki chama bana kinanifurahisha sana huwa wanamikakati mno na fitna nyingi....wakikwabia no ujue ni no tu....hata kama utapiga kelele hadi povu likutoke.

Unakumbuka ya Salim Ahmed Salim? Mzee wa watu wakampiga fitna za kufa mtu akabaki anashangaa na mpaka leo hana hamu nao kabisa.
 

Huo ugoro wako peleka Kwa walevi Wa ugoro Kama wewe! You could have told us that is one conspiracy theory. Do not let us believe you made up stories!
 
Asante kwa taarifa muhimu kwa waroho wa madaraka na wezi wa taifa letu. Sasa napata amani kuwa rais ajaye sio huyu mwizi na fisadi kuu lililokubuhu (el).

Kaiba nini?
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumzuia lowasa ccm, wote wamesha nasa kwenye mtego wake.
 
Maamuzi magumu yanahitajika na Mh Lowasa anaweza akipewa nafasi

 
Mwaka huu mtauwa sana walemavu wa Ngozi (Albino) kwaajili ya Lowassa!
 
Acha kuleta taarifa za kwenye kashata wewe. We ni nani mpaka mtu awashwe kuja kukuambia maneno hayo??? Kama unamlipa hela kwa kazi hiyo fukuza kazi huyo ni mchumia tumbo.
 
Akate nani jina , dhubutu. Kwani ccm ni akina nani, nape na makonda...ebo. Kumzuia Lowassa ni sawa na kuzuia jua kuzama jioni...unaweza. Wataangaika sana lakini safari ya matumaini iko palepale

Safar ya kuwaibia watanzania ipo palepale ,na lazima itimie kwa vyovyote vile .
 
Acha kuleta taarifa za kwenye kashata wewe. We ni nani mpaka mtu awashwe kuja kukuambia maneno hayo??? Kama unamlipa hela kwa kazi hiyo fukuza kazi huyo ni mchumia tumbo.

Umeuliza swali zuri, mimi ni nani? It means haunifahamu na hautanifahamu, my identity is none of your business, kaa kimya
 

Maneno adimu sana yaliyojawa hekima sukari ya kizalendo.. Viva Lowassa vivaaaa... Binafsi napenda nikushawishi utangaze nia kwani umma mkubwa wa sisi watanzania tunamuhitaji wewe baba!
 
hivi lowasa wakusema hayo??
kweli maisha bila unafiq hayaendi.
 
[h=2]Katibu wa Nyerere, Mzee Kasori aeleza anavyotishwa kwa 'kufufua' ukweli[/h]
Katika maelezo yake, Kasori anasema

“Haya masuala nilikwishayaeleza yote na kuyaweka kwenye mtandao. Siogopi nilikwishayaweka wazi,”

“Tanzania nzima mtakumbuka kuwa huyu Mheshimiwa Edward Lowassa alikuwa ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya urais mwaka 1995 na akaenguliwa kwa hoja nzito ya kutokuwa muadilifu na Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere,
Katibu wa Nyerere, Mzee Kasori aeleza anavyotishwa kwa 'kufufua' ukweli ~ wavuti
 
Ndani ya CCM yetu nimewasikia hawa wakipiga kelele kuhusu ufisadi/rushwa:
Warioba
Butiku
Sumaye

Ufisadi ni majanga ya taifa.Kupiga kelele hakutoshi,jambo muhimu ni kuzuia ufisadi kabla haujatokea.Kuota kuwa fisadi ni njozi mbaya ,lakini ukidhibitika kuwa fisadi kwa mujibu wa sheria umekosea umma ni kosa la jinai.Sheria za nchi zinajitoshereza tatizo ni kuhujumu sheria na taratibu za kitawala.
 
Wewe acha kukurupuka hayo ni maoni yake sasa wapi kakosea?kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake?na hizo kashifa za rushwa unavithibitisho au ndo kumezeshwa sumu na maneno yasiyo na msingi,,, hizo chuki binafsi usizilete huku wew
 
Safi sana rais mtarajiwa lowassa,,, tunakupenda sana,, ngoja hawa walio meza sumu na kumezeshwa watatapika nyongo mwaka huu,,tunafaham utendaji wako wa kazi,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…