Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Hao watoto walio bakwa wapo wapi kwani? halafu haiwezekani baba na mtoto wabake watoto kwa wakati mmoja! magerezani wapo waliofungwa kwa kesi za kusingiziwa Lowassa ni mpango wa Mungu
 
Mwenye kijarda hiki naamini hulali kila kukicha unaota kifo cha UKAWA! Unapotrza muda na pesa zako mamilioni wameamua kafungue vitumbua tuu.
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakamu kuu ya tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania.

Naamini atamtoa maana mambo hayo ni kati ya vitu anavyopenda kwa hiyo haitakuwa ajabu kwake kufanya hivyo.
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakamu kuu ya tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania.

Kweli? Nitafurah sana yule mzee akitoka jela. Bas kwa hilo nampa kura yangu el
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakamu kuu ya tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania.
Siyo babu seya tu wale majambazi sugu,wauza madawa wote atawato maana ndiyo ishu zake.
 
Kama ni kweli basi ni kauli iliyokuja wakati mwafaka kabisa. Naamini ni haki ya Babu Seya na mwanaye kutolewa kwani 'aliyemkamia' kumtupa gerezani "ki mizengwe" naye si anarudi uraiani October 25, 2015. Hivyo Babu seya na mwanawe lazima nao warudi uraiani. Hivyo wacha wote wakakutane tena uraiani. Mungu anasikia hata sauti (sala) na madhila ya waliotupwa magerezani ki mizengwe..
 
Jamani Lulu ameua kipenzi chetu Kanumba anatamba uraiani. Kapuya amebaka hashitakiwi. Babu Seya amedhalilishwa familia take mnamponda ash Papy Kocha naona Siku zako gerezani zinahesabika. Raid anasamehe yoyote je Zacharia Hans Pope
 
msamaha kwa mbakaji watoto....?!!

Una uhakika alibaka?..marekani kwenyewe wanakosema ndo kitovu cha demokrasia watu wanafungwa miaka 30 na zaidi wakifuatilia wanakuta alifungwa kimakosa..sembuse mkwere..anayeishi kwa visasi..mjinga mkubwa..kazi kukenua meno ka juha vile!
 
Babu seya alikuwa ni mburudishaji wa jamii, na alifungwa kwa mizengwe kisa alikuwa anaugonga mchepuko wa MSHUA wake na ritz. Rais mpendwa ndugu Lowasa atamtoa msanii wetu wa ukweli

Hiyo sio sera bali ni matakwa ya wananchi wa mbeya waliokuwa wanapiga kelele afunguliwe babu seya..ndo EL akawajibu papo kwa hapo!..sera ni laptop na mln50 kwa kila kijiji..muulizeni j makampa alipokuwa anahojiwa na raia mwema..eti nepi anakanusha!..lol!
 
Lowassa ni mgonjwa anajisemea hovyo. Kinachofanya kazi ni pesa zake na si yeye.
 
Lowassa ni mgonjwa anajisemea hovyo. Kinachofanya kazi ni pesa zake na si yeye.

eti lowassa na babu slaa nani zaidi maana wale wachagga wa mbeya ni balaa jana

yaani
CCM YAMETUFIKA HAPPA
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakamu kuu ya tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania.

Huyo hajui hata anachotakiwa kuwafanyia Watanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom