Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
pia amtoe sheikh ponda.lakini kwa jinsi nilovyoiona cv ya lowassa katika wikipedia,nadhani atawatoa watu wengi magerezani. Wewe you are shocked kusikia mtu anataka kuwaweka huru wafungwa. But we grew up listening to malcolm x. Tunawachukia polisi na polisi wanatuchukia.

is one of signatory of mou btn government and catholics.
Not likely.
 
Babu seya hakuwahi kubaka, kosa lake kubwa alikuwa anaugonga mchepuko wa Mshua le profeser.

Kwahiyo mahakimu na majaji waliosikiliza shauri la Babu seya hawana maana? JK pamoja na mapungufu yake anaheshimu sana utawala wa sharia na uhuru wa mahakama. Halafu leo mpuuzi mmoja anataka kura kwa kutumia hila ovu! kwetu ukimsimamisha motto wa shule hata kama unamuuliza njia tu umekwenda na maji, utakula mboko na utalipa ngombe zisizopungua kumi, halafu mtu anataka kumwachia mbakaji, hapana kabisa.
 
Pia amtoe Sheikh Ponda.Lakini kwa jinsi nilovyoiona CV ya Lowassa katika Wikipedia,nadhani atawatoa watu wengi magerezani. Wewe you are shocked kusikia mtu anataka kuwaweka huru wafungwa. But we grew up listening to Malcolm X. Tunawachukia polisi na polisi wanatuchukia.

Kama atamtoa babu seya basi amtoe na sheikh Ponda, sheikh Farid na wauaji wa albino.
 
Mkuu nafikiri wakati unaandika utumbo mpana ndo ulikuwa unakuongoza.kichwa cha habari na ujumbe wa ndani tofauti.
 
Wewe mjinga Lowasa anaujua ukweli kuhusu hiyo issue acha kurukia usichojua.....
Not each and everything is as it seems......,
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakamu kuu ya tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania.
Kichaa huyu...
 
Pia amtoe Sheikh Ponda.Lakini kwa jinsi nilovyoiona CV ya Lowassa katika Wikipedia,nadhani atawatoa watu wengi magerezani. Wewe you are shocked kusikia mtu anataka kuwaweka huru wafungwa. But we grew up listening to Malcolm X. Tunawachukia polisi na polisi wanatuchukia.
...mzee unatuaibisha bhana, msomi yeyote hawezi ku rely na taarifa za huu mtandao kama chanzo cha kuamika....
 
Tukisema watanzania mazuzu watu wanabisha, sasa hiyo ndiyo sera ya kuwaambia watanzania waliokata tamaa ya maisha.
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakamu kuu ya tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania.

lazima waeleze ilikuwaje babu seya na wanae wabake kwa wakati mmoja watoto wa shule halafu aliyewaleta ili wabakwe aachiwe
 
Nasikia kikwete ameagiza babu seya na mwanaye wabadilishiwe mashitaka ili isiwe rahisi kusamehewa kwa msamaha wa rais ajaye!!!!
 
Nasikia kikwete ameagiza babu seya na mwanaye wabadilishiwe mashitaka ili isiwe rahisi kusamehewa kwa msamaha wa rais ajaye!!!!

Duh..hata kama ni kweli aliibiwa..mie hata nichapiwe siwezi kuwa na chuki za aina hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom