Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Babu seya hana hatia alifungwa kwa maneno ya mtawala.
 
Tusubir october pale ngosha hatakapo chukua nchi yeye sijui hatamtoa kwa njia ipi
 
Kilichomfunga babu seya edo anakijua vyema ndio maana kasema kwa kujiamini
 
Kilichomfunga babu seya edo anakijua vyema ndio maana kasema kwa kujiamini

Huko sasa ukisikia ndio kutokuwa na sera. Hivi ishu ya babu seya ilisimamiwa vizuri na tamwa mpaka ushahidi kukamilika anataka kusema wale watetezi wote wa haki za watoto na jinsia walitudanganya? By the way, hiyo ni ilani ya uchaguzi ya chama kipi kati ya vinavyounda ukawa?
 
huko sasa ukisikia ndio kutokuwa na sera. Hivi ishu ya babu seya ilisimamiwa vizuri na tamwa mpaka ushahidi kukamilika anataka kusema wale watetezi wote wa haki za watoto na jinsia walitudanganya? By the way, hiyo ni ilani ya uchaguzi ya chama kipi kati ya vinavyounda ukawa?

ilani ya wanya viroba na wavutaji cha arusha
 
Babu seya alikuwa ni mburudishaji wa jamii, na alifungwa kwa mizengwe kisa alikuwa anaugonga mchepuko wa MSHUA wake na ritz. Rais mpendwa ndugu Lowasa atamtoa msanii wetu wa ukweli
 
babu seya alikuwa ni mburudishaji wa jamii, na alifungwa kwa mizengwe kisa alikuwa anaugonga mchepuko wa mshua wake na ritz. Rais mpendwa ndugu lowasa atamtoa msanii wetu wa ukweli
weka ushahido or rather shutup
 
Kwa hiyo Lowasa anaamini Babu seya kaonewa? au kaona ni mtu muhimu sana hadi aachiwe? Kila siku tunawangisha vichwa kuangalia namna gani tutawalinda watoto wetu dhidi ya ukeketaji, ubakaji, mimba za utotoni, ukosefu wa elimu na ajira, halafu mshenzi mmoja anasema atamwachia huru mbakaji, kweli?

Watanzania tumekuwa wayahudi mara hii? leo hii wayahudi wanajutia kumsulubu yesu na kumwachia balaba, sie tunashangilia mtu anayetaka kumwachia mbakaji, kweli? Nimesikitika sana siko tayari kumuunga mkono Lowasa kwa namna yeyote ile nasimama peke yangu.
 
katamka lini?
hawa sio walioandika habari za laptop kwa Walimu??
 
yule dogo aliyebakwa naskia bado kigoli et lkn kabakwa duh amaizing
 
Pia amtoe Sheikh Ponda.Lakini kwa jinsi nilovyoiona CV ya Lowassa katika Wikipedia,nadhani atawatoa watu wengi magerezani. Wewe you are shocked kusikia mtu anataka kuwaweka huru wafungwa. But we grew up listening to Malcolm X. Tunawachukia polisi na polisi wanatuchukia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom