Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,

Mwenyezi mungu akulaani..huna haya na ikiwezekana akupige ugonjwa mkali usiamke tena..pamoja na kuwa hatuipendi ccm au magufuli. .but hatuwezi kumtakia mabaya..acha roho mbaya mwanamke..
 
kwakwel kwa upeo mdogo wakufikiri kodi ndio uleta pato la taifa sasa najiuliza mismaha iyo ikipita sio kama tutapunguza pato la taifa je iyo pesa ya kuendeshea maendeleo inatoka wap angesema atahakikiwalipa kodi wote wanadaiwa kikamilifu ili kuongeza pato la taifa kwa ajili ya maendeleo apo sawa lasihivyo aseme kama atatumia pesa yake kwa ajil ya maendeleo mtanzania amka na usirubuniwe kwa kusema kodi azitalipwa HAPA KAZI TU

Soma kwa makini mkuu..naona umeteleza anasema ataifuta misamaha ya kodi..maana yake ni kuwa kila kitu kiingiacho lazima kilipiwe kodi!..hajasema kusamehe kodi!
 
Pole sana ndugu yangu. Nadhani jibu ni jepesi sana na ili kuokoa muda katika kukuelewesha kwa kuandika nakala nzima tuma namba yako nikupigie ili nikueleweshe vizuri kuhusiaana na Kodi na jinsi ys kuyajikimisha hayo uliyo taja.

Mimi naielewa vizuri sheria ya kodi. Hoja ni kwamba haiwezekani kufuta kabisa misamaha ya kodi. Tatizo letu ni ukusanyaji dhaifu wa kodi zilizopo na wakwepaji wakubwa ni marafiki wa Lowasa full stop!
 
Mimi naielewa vizuri sheria ya kodi. Hoja ni kwamba haiwezekani kufuta kabisa misamaha ya kodi. Tatizo letu ni ukusanyaji dhaifu wa kodi zilizopo na wakwepaji wakubwa ni marafiki wa Lowasa full stop!

Sasa huoni kwamba una jichanganya mwenyewe. Kama kasema anafuta misamaha ya kodi means marafiki zake wanatakiwa kulipa kodi sio. Au sielewi unataka kuzungumzia issue gani kwani...
 
Alitamka hayo akiwa iringa,Nitafuta misamaha yote ya kodi,Mara nitakapoingia ikulu na kuhakikisha bandari yetu inafanya kazi KWA SAA 24.
Nitafanya kazi na wananchi wangu bega kwa bega! hapa hapa,

Nitapunguza gharama za safari za nje KWA 90%

Sitaki kuona hats shilingi moja inapotea katka bandari yetu!

Tutakaa chini pamoja NA mabenki yetu kuona jinsi tutakavyoweza kupunguza riba na jinsi tutakavyoweza kurahisi mikopo ili kila mtanzania aweze kukopa benki katika kipindi kisichozidi Sikh 45--60,
***hakika amenigusa sana ndg Edo!
Kweli kuna nia ya dhati hapa kumkomboa Mtanzania.
 
Huyo kutembea hawezi ataweza kusafiri, mie naona gharama za kusafiri hizo 10% zitakuwa za kuendea hospital,

siasa zisikufanye umkufuru Mungu wako
Nakuheshimu mno wewe ni muislam
siijui sana dini ila sidhani km uislam unaruhusu kebehi na dhihaka kwa mitihani anayokupa MUNGU.
 
Back
Top Bottom