Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

Lowassa: Nitafuta misamaha yote ya kodi

Alitamka hayo akiwa iringa,Nitafuta misamaha yote ya kodi,Mara nitakapoingia ikulu na kuhakikisha bandari yetu inafanya kazi KWA SAA 24.
Nitafanya kazi na wananchi wangu bega kwa bega! hapa hapa,

Nitapunguza gharama za safari za nje KWA 90%

Sitaki kuona hats shilingi moja inapotea katka bandari yetu!

Tutakaa chini pamoja NA mabenki yetu kuona jinsi tutakavyoweza kupunguza riba na jinsi tutakavyoweza kurahisi mikopo ili kila mtanzania aweze kukopa benki katika kipindi kisichozidi Sikh 45--60,
***hakika amenigusa sana ndg Edo!
Usanii in action... Riba za mabenki zinategemea hali ya uchumi na mfumuko wa bei.. sasa sijui ataongea na uchumi au na mfumuko wa bei. Kwasabubu bila tija (productivity) kupanda nchini hatuwezi kuimarisha uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei! wachumi tusaidieni kwamba utaenda kwenye mabenki na kuwaaambia wewe ni rais punguzeni riba na pengine kama Iddi Amin alivyomwambia Gavan wa benki chapisha pesa!!!!
 
hiyo geresha ya kuombea kura tu,lowasa ni mfanyabiashara yule
 
Mm mwl hakuna jipya ndugu teja anataka kwenda kupiga mingo magogoni hapa kazi tu
 
Alitamka hayo akiwa iringa,Nitafuta misamaha yote ya kodi,Mara nitakapoingia ikulu na kuhakikisha bandari yetu inafanya kazi KWA SAA 24.
Nitafanya kazi na wananchi wangu bega kwa bega! hapa hapa,

Nitapunguza gharama za safari za nje KWA 90%

Sitaki kuona hats shilingi moja inapotea katka bandari yetu!

Tutakaa chini pamoja NA mabenki yetu kuona jinsi tutakavyoweza kupunguza riba na jinsi tutakavyoweza kurahisi mikopo ili kila mtanzania aweze kukopa benki katika kipindi kisichozidi Sikh 45--60,
***hakika amenigusa sana ndg Edo!

kwakwel kwa upeo mdogo wakufikiri kodi ndio uleta pato la taifa sasa najiuliza mismaha iyo ikipita sio kama tutapunguza pato la taifa je iyo pesa ya kuendeshea maendeleo inatoka wap angesema atahakikiwalipa kodi wote wanadaiwa kikamilifu ili kuongeza pato la taifa kwa ajili ya maendeleo apo sawa lasihivyo aseme kama atatumia pesa yake kwa ajil ya maendeleo mtanzania amka na usirubuniwe kwa kusema kodi azitalipwa HAPA KAZI TU
 
Safiiiiiii
 
Poleni jaman, naona siku hizi kila kinachoongelewa ni kumeza tu... vijana wanashindwa kufikiria wala kuchuja dah mtaendelea kuitwa wapumbav na malofa kwa sababu ya ulimbuken wetu... kuna kitu mumepandikizwa si bure
 
Huyo ni mpumbav.u na lofa,hakuna nchi isiyo toza kodi.
Hapa UK kodi inaenda mpaka 45% kutegemea na kiasi unacho ingiza.Pia nchi wahisani hawatakubaliana nae.Huo Ni muendelezo WA usanii wake tuu.
 
Kwa lowassa anaweza maana tuna mifano hai ya mambo aliyoyafanya.
 
Watanzania tunataka nini tena.....huyu jamaa ndio tulikuwa tunamsubiri miaka yote, kumbe alikuwa miongoni mwetu ila hatukujua......au ndio kila jambo na wakati wake?
Kura yangu kwa lowasa, nahakikisha nashawiwishi wengine kumi kile kibubu cha kura kijae jina la Lowasa tu.
 
kwakwel kwa upeo mdogo wakufikiri kodi ndio uleta pato la taifa sasa najiuliza mismaha iyo ikipita sio kama tutapunguza pato la taifa je iyo pesa ya kuendeshea maendeleo inatoka wap angesema atahakikiwalipa kodi wote wanadaiwa kikamilifu ili kuongeza pato la taifa kwa ajili ya maendeleo apo sawa lasihivyo aseme kama atatumia pesa yake kwa ajil ya maendeleo mtanzania amka na usirubuniwe kwa kusema kodi azitalipwa HAPA KAZI TU

mkuu hivi umeongea nini hapo sasa,hivi mnalipwa au mnatumika,mbona umekurupuka,maneno mengi umeandika lakini umeandika pumba tu bila kuelewa alichoandika mtoa mada......rudia kusoma na ujibu kwa hoja maana nyie wafia chama ndio tunawatafuta maana hamuelewi nini maana ya MABADILIKO.
UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI.
 
Mm mwl hakuna jipya ndugu teja anataka kwenda kupiga mingo magogoni hapa kazi tu

Mpigie Magufuli uendelee kulialia, wala huna haja ya kumuita mzee wa watu teja, halafu unajiita mwalimu una kauli chafu hivyo.......hao watoto unaowafundisha wazazi wao wana hasara.
 
Sio nyie tu...wengi tume muelewa jamaa sio maneno mengi....ccm walituzoesha maneno meeeengi utekelezaji ziroo! sasa mwaka huu lowasa kaja na kampeni za aina yake....lowasa ni genious! Viva LOWASA.

kumbuka huyo miezi miwili iliyopita alikuwa ccm,aliyoitumikia tokea mwaka 1977,au umesahau
 
Hivi watu wanasoma kinyume au nini jamani NITAFUTA MISAMAHA YA KODI ni kuondoa kodi?Watu wanamwita mzee wawatu mpumbavu na teja kweli kwa hali hii ya kushindwa kuelelewa neno kufuta misamaha ya kodi.Nahisi Mungu ametupa vingi sana ila akili tunazo chache kwa kweli.Sasa nyie werevu kufuta misamaha ya kodi ni kutoza kodi stahiki na si vinginevyo.Ndiyo maana Faiza hua anawauliza mmesomea ujinga?
 
Wewe ujuavyo kusafiri ni kujionesha? Amma kwa hakika Mkapa hajakosea.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

shule zinazotoa huduma ya elimu yenye kuzalisha ujinga ni sera ya chama gani? ccm imetuweka pabaya sana watanzania kielimu,kiafya,mawasiliano nk.
 
Mm mwl hakuna jipya ndugu teja anataka kwenda kupiga mingo magogoni hapa kazi tu

kazi gani hiyo? ya kubeba pesa kwenye lumbesa na sandarusi? ya kuamrisha wakazi wa kigamboni wapige mbizi? ya kung'oa kucha,meno na macho yeyote anayeikosoa serikali au kudai haki? tambueni kuwa "maandiko yamekwishaandikwa ukutani kuwa ufalme wenu umepimwa nao umetimia"mungu kasikia kilio cha watanzania.
 
Back
Top Bottom