Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

"Alisema pia akifanikiwa ataangalia jinsi ya kushirikisha dini katika muundo wa Serikali ili mambo ya Serikali na ya dini yaende vizuri bila mijadala nje ambayo inatishia amani na utulivu.

"Kuna nchi nyingine, mahali kama Pakistan mambo ya dini yana wizara yake ndani ya serikali. "


Anarudia kosa lile lile la kampeni ya Kikwete 2005, kashaanza kuwadanganya Waislamu kwamba ataingiza Mahakama ya Kadhi serikalini wakati Rais hana uwezo wa kubadilisha suala la kikatiba kama hilo.

His calculus is simple if misguided. Kampeni ya Lowassa inajua Wakristo hawana voting bloc, hawapigi kura ya pamoja ya kidini, not least because hawana kadhia ya kidini wanayotaka msaada wa serikali, kwa hiyo kura ya Mkristo itagawanyika, utahitaji kura ya Muislam, hata kama Wakristo ndio majority constituent. Kura ya Muislam rahisi kuipata, maimam wa mrengo wa kulia ya mbali wanafundisha huwezi kutenganisha siasa na Uislam, kwa hiyo mwanasiasa mkora anajua kumuingia muislam muongeleshe siasa za dini, Mahakama ya Kadhi, na kuunda wizara ya dini.

Lakini hata kama Lowassa akiweza kuwarubuni Waislamu, bado ana safari ngumu kwa vile vita vyake viko ndani ya chama, ambako Waislamu wako more sophisticated than the pedestrian ilk, huwezi kumdanganya Muislam wa Executive Committee ya C.C.M. kwa Mahakama ya Kadhi, suala la Kikatiba, much less kwa mialiko ya kula ubwabwa.
 
Huyu jamaa anakuwa kituko cha mwaka, ameamua kuwakusanya wavaa kanzu kuwapiga ubwabwa wa nguvu na kuwapa pesa kisha kudai eti wamemchangia!!! Hata Juma Kapuya ni sheikh wa kutoka bagamoyo! Acha Mwalimu amuite huyu fisadi muhuni.

Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
 
Pole mkuu, lowassa anaendelea kuvuta supporters na wewe utaishia kutukana na kucomment badala ya kumnadi mwadilifu wako,
hizo kelele za uadilifu zilishaekspaya dada. Huwezi lazimisha watu waamini kitu bali ni kushawishi.
Lowsa hafai kuwa raisi
View attachment 236882
aende kugombea uraisi wa wamasai
 




Tazama hapa anavyoongea kwa nguvu sana na hand gestures zinatumika



Leo ata kutikisa kichwa awezi let alone using hand gestures; uhitaji kuwa karibu naye kujua afya yake mgogoro.
mbona anaongea anatetemeka
 
Last edited by a moderator:
Jambazi na jizi jingine linaandaliwa na JK,ili limlinde yeye na Ritz,pamoja na maswahiba wake.
 
View attachment 236644

Katika Kurasa za magazeti ya Leo zimepambwa na tarifa mbambali za kurasa za mbele za magazeti zinaonyesha dhahiri Edward Lowassa kukubali kugombea Urais, Okello nimelifuatia suala hili kwa karibu mengi nimeyapata kutoka kwa Mashekh wa Bagamoyo. Ni ukweli dhahiri upande wa Jakaya katika dhamira yake ya dhati ni kumkabidhi Edward Lowassa ikulu ya magogoni.

Mengi katika vipaumbele vya ujumbe wa Jakaya katika ni kuhakikisha Edward Lowassa anaendeleza Yale ambayo ameyaacha ikiwemo elimu, Afya bora, miundombinu na kufuta umaskini kwa Watanzania wote.

Kumejitokeza makundi mbali mbali yakimtaka kugombea Urais, yeye binafsi amesema anafarijika kuona Watanzania wanasimama nae katika hili, mbali historia ya uongozi wake uliotukuka basi hii nafasi ya Watanzania kumuomba atangaze nia inampa nguvu hasa Dk. Jakaya kumtumia ujumbe mzito.

MAAMUZI NA MATUMAINI MAPYA NA EDWARD LOWASSA 2015.

Sitashangaa kusikia wana UKAWA wakimptisha LOWASSA bila Kupingwa ktk kinyang"anyiro cha URAIS...! Tetesi: Mbowe kahongwa na Lowassa ili asifichue ufisadi wake tangu alipokuwa AICC, RICHMOND, MAJI, etc ni kwamba itampunguzia kasi ya kuutaka urais!
 
Lowasa alipewa adhabu na chama chake kwa kufanya kampeni mapema mbio za urais, sasa hii ni nyuzi(news) jamani ....give me a breki(break).
 
Waziri mkuu aliejiuzulu,bwana Edward Lowassa amekanusha kutangaza ni ya kugombea uraisi na badala yake amesisitiza kuwa ameshawishika lakini hajatangaza nia.

Hapa namnukuu,"Nimeshawishika lakini sijatangaza nia".

Mh. Lowassa pia ameongeza kuwa anasubiri wakati wa kufanya hivyo ufike(chama kitangaze).

Chanzo: Channel 10.
 
Back
Top Bottom