Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Ndugu zanguni msiwe na ushabiki wa ki siasa kiasi cha kupoteza ufahamu halisi mliozaliwa nao.Kila mwenye nia ya kuongoza nchi hii ana lengo zuri tu la kuleta maendeleo na kuondoa umasikini,na kinyume na hivyo.Acheni demokrasia ya kweli ifuate mkondo wake.Acheni kuzodoana mtatoana macho bure.
 
Ninaimani na wewe, kama Rais jae mwenye msimamo, Mzalendo na mchapakazi
 
Hakuna ndani ya CCM kwa sasa mwenye ubavu wa kumzuia EL pamoja na mabaya yake. Hata mwenyekiti "wetu" pale magogoni inavyoelekea "kaufyata" na hana namna ya kumzuia. Kwa kifupi EL na timu yake wamewazidi ujanja........kina Mangula wao wanahangaika na wapinzani lakini tayari wameunguza vidole.....ukifuatilia sana sababu ya hilo "dili" kumbumbuluka unawaona EL na timu yake kwa mbaaali!
Nashangaa watu wanalia fisadiii fisadi nani sio fisadi? mpinzani gani ni msafi? ndani ya sisiem yenyewe nani msafi? raia wenyewe nani msafi? sasa tufanyeje hapo si afadhali fisadi atakayechapa kazi kuliko fisadi atakayekaa ikulu akichapa usingizi kungojea migao; waswahili walisema heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Madhara ya Chui na Sumu... Kitee kwambali kila baada ya Mwezi!!! Hakuna Ilborian Zoba kama wewe na Pasco!!! Unashangaa Laki Saba? Unajua Mkataba wa kutengeneza Bandari na Airport Bagamoyo vinathamani kiasi gani?... Strategies za hawa mnaowaita Sheikh Ubwabwa nimeipenda sana! Wametengwa kwa miaka mingi sana, wamenyimwa fursa za maendeleo miaka mingi sana... Bagamoyo ni one of the Old cities iliyotakiwa kuwa na maendeleo makubwa sana Only kuhujumumiwa na Vatican...
Bagamoyo kuna kitega uchumi gani hadi masheikh wapate laki 7 za kumpa lowassa
 
Alafu kawanunua mashekh wa bagamoyo kisha anamsingizia Prof; Dr; Jakaya M. Kikwete eti ndiye kamtumia ujumbe mzito wa hao mashekh. Mbinu chafu hizo na ni kumsingizia mhe. Rais
kwani tunajua mhe. Rais hajafanya hivyo

Mkuu mbona Ina kuuma sana!!
Kwni na wewe unataka ugombee nini??.
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao! Fufuka Nyerere uone madudu wayafanyayo hawa watoto wa nchi yako yenye mafisadi wanaoshangiliwa, wanapeana vyeo ili kulindana ktk wizi wa mapesa! Ikulu kuna nini jamani!?

Ndo kusema Membe sio chaguo la mzee? Nilinde nitakulinda.hao masheikh kweli walitumwa na mzee? Sitaki kuamini mimi kama mzee amefanya hivyo.
Hivi NEC haiwezi kumpiga chini mzee Motika? Je huyo ni mwema kuliko mtoto wa mkulima au magufuli au basi Professor? Mtikila komaa utapata bila chama maana hao wapinxani wako ni wepesi sana kama uzito wa unyoya ikiwa hawatscheza mbinu mbaya.

Pigeni kura tu muiangamize nchi ya Nyerere kisha laana ya umasikini itatanda kwa miaka mingine 10 mbele yetu.
Nchi ya watu wadogo!

Mliamini boys II Men imekufa?
 
Nashangaa watu wanalia fisadiii fisadi nani sio fisadi? mpinzani gani ni msafi? ndani ya sisiem yenyewe nani msafi? raia wenyewe nani msafi? sasa tufanyeje hapo si afadhali fisadi atakayechapa kazi kuliko fisadi atakayekaa ikulu akichapa usingizi kungojea migao; waswahili walisema heri nusu shari kuliko shari kamili.
haa haa duh.
 
View attachment 236644

Katika Kurasa za magazeti ya Leo zimepambwa na tarifa mbambali za kurasa za mbele za magazeti zinaonyesha dhahiri Edward Lowassa kukubali kugombea Urais, Okello nimelifuatia suala hili kwa karibu mengi nimeyapata kutoka kwa Mashekh wa Bagamoyo. Ni ukweli dhahiri upande wa Jakaya katika dhamira yake ya dhati ni kumkabidhi Edward Lowassa ikulu ya magogoni.

Mengi katika vipaumbele vya ujumbe wa Jakaya katika ni kuhakikisha Edward Lowassa anaendeleza Yale ambayo ameyaacha ikiwemo elimu, Afya bora, miundombinu na kufuta umaskini kwa Watanzania wote.

Kumejitokeza makundi mbali mbali yakimtaka kugombea Urais, yeye binafsi amesema anafarijika kuona Watanzania wanasimama nae katika hili, mbali historia ya uongozi wake uliotukuka basi hii nafasi ya Watanzania kumuomba atangaze nia inampa nguvu hasa Dk. Jakaya kumtumia ujumbe mzito.

MAAMUZI NA MATUMAINI MAPYA NA EDWARD LOWASSA 2015.
Hivi lowasa akiwa rais nchi hii itakuwa ya rostam, karamagi, mo, itabaki miffupa, ee Mungu tuondolee balaa
 
Kwa kweli,hii nchi yetu inatakiwa kuingia kwenye maajabu ya ulimwengu,iweje mtu aliyeushndwa uwazir mkuu na akajiuzulu,leo tumuamini na tumpe dhamana ya kuwa rais wetu jamani?
 
Back
Top Bottom