Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Hongera lowassa ,Karibu ikulu
Ikulu ipi hiyo labda ya monduli.ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi ujue yeye ni mchafu zaidi .
Hongera lowassa ,Karibu ikulu
Pigeni kelele tu mwezi wa kumi na moja anahapishwa kuwa rais, lowasa is unstopable
mbona umekimbia mnakula pesa za bure za huyu fisadi wakati mnajua hana sifa za kugombea uraisi wa Tanzania labda uraisi wa manzese akagombee na MadeJifanye tu kipofu, hauziki wakati unaona kila kona ni Lowassa tu..... Ngoja nikutumie ripoti ya chama na ripoti ya usalama mwezi wa january manake ile ya Twaweza mlisema kachakachua
Akigombea Lowassa na Slaa Kura yako utampa nani?Msimhusishe JK na tamaa ya madaraka ya fisadi Lowasa. Lowasa hauziki hata kwa senti tano
Pole sana, na upeo wangu ndogo nafahamu kwamba presidential aspirant yeyote ana uhuru wa ku-raise na kutumia pesa kutafuta support.
Pia nafahamu si nyerere wala mzimu wake wenye moral or political authority ya kutuchagulia uongozi. That's our judgement to make. Its our collective will, we baki na rhetoric ya nyerere alikataa. You are still chained to the past, nikuongeze upeo.
Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
Huyu bwana anatupa mashaka maana anatumia nguvi nyingi sana kutaka kuingia Ikulu.
Ninawashangaa sana wanaomuunga mkono huyu bwana bila kujiuliza ana nia gani hasa na hii nchi.
una mawazo mgando kama akili yako lakini tambua unayempigia debe kuwa raisi unapoteza muda wako watanzania wanataka kiongozi mwadilifu siyo fisadi kama huyu unayempigia debe humu JFPole sana, na upeo wangu ndogo nafahamu kwamba presidential aspirant yeyote ana uhuru wa ku-raise na kutumia pesa kutafuta support.
Pia nafahamu si nyerere wala mzimu wake wenye moral or political authority ya kutuchagulia uongozi. That's our judgement to make. Its our collective will, we baki na rhetoric ya nyerere alikataa. You are still chained to the past, nikuongeze upeo.
Hana sifa za kuwa raisi kwa sababu siyo mwadilifu kama alishindwa kuongozwa alipokuwa waziri mkuu basi hafai kupewa uraisi .Rais ni lowasa wala hatoki nje ya ccm
Endeleani kujazia maiti damu.Edward Lowassa Tanzania President 2015....
Wewe wasema hana sifa?!!! Lowassa ndo Rais wa awamu ya 5.mbona umekimbia mnakula pesa za bure za huyu fisadi wakati mnajua hana sifa za kugombea uraisi wa Tanzania labda uraisi wa manzese akagombee na Made
raisi wa ukoo wenu labdaWewe wasema hana sifa?!!! Lowassa ndo Rais wa awamu ya 5.
Ingekuwa wapiga kura ni wa mijini tu tena miji iliyojaa wachaga basi Rais angetoka nje ya CCM.
Mchawi aliyewaroga cdm kafwa manake hawaoni kuwa timuatimua inawamaliza, hv hawaoni kuwa Chama hakina makamu MWENYEKITI?
ni lowassa 2015Lowasa hafai kuwa Rais wa Tanzania. Atasababisha wananchi wale nyasi