Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
Na change ilibaki Ya masheh kunywa madafu njiani. Nahsi kamati Ya maadiri inakula tizi kwa hasira. Huyu dingi kwa nini asipumzike akanywa maziwa kwa raha kabisa . Mi nahsi ana dementia huyu
 
Mh sijui ulikuwa wapi?
Watanzania wamefikia pabaya mno kama Taifa yaani njaa na akili kukosa chakula ni laana tupu. Dunia hii hakuna nchi yenye watu wababaishaji kama tanzania yaani mi natamani Hadi ninunue uraia . Hakuna watu walokuwa wanaheshimika kama viongozi wa dini ila kwa Hali hii kila sehemu ni maadili yamekwisha kila sehemu . Katika kipindi ambacho watanzania wamebaki kama mbuzi waliotawanyika porini nategemea wachungaji na mashekh wao ndo wawe na kauli zinazokubalika japo na nusu Ya watanzania ila kutokana na udhalimu wa kutotoa dira na kuwapiga kwa njaa na mifumo Ya kitapeli tapeli basi kila kundi limegeuka Kuwa kama matapeli katika jamii .mara wachungaji , mashekh , wasomi, bodaboda ila uhalisia ni njaa zinawasumbua. Wanaamini Kuwa ni kipindi cha mavuno bora mwalimu angekuwepo Huyo fisadi nyangumi asingekuwa anajaribu hayo maigizo Ya kila siku ila saa hivi CCM msikilizie mta endelea kudanganya hao mliowapa njaa ya akili na Ya na tumbo. Period
 
He hao masheikh 50 wametumwa na nani?na kakubali kugombea sababu ya hao masheikh kutoka Bagamoyo,amekubali ombi la hao masheikh wa Bagamoyo ili tuamini kuwa ni chaguo la Kikwete,kwa kuwa hao masheikh ndio anao swali nao Mh raisi kwa hiyo wana sikio la raisi,huo ni ujanja wa kitoto sijui washauri wake huyu Mheshimiwa IQ zao zikoje kwani kama hawa ndio washauri wake mbona akikukwaa uraisi tutakuwa na shida,walianza wamachinga,wamekuja masheikh na sasa wanavyuo,imekuwaje wote hao wafanye jambo moja katika kipindi kimoja utadhani maandamano ya kuunga mkono ''Azimio la Arusha'' na wote eti hutoa fedha za kumsaidia,nani kawaambia Edo hana fedha ya kumwezesha,ni fedha ngapi katoa makanisani,misikitini na kwingineko?kwa wasiojua hizo ni mbinu za tisha nyau kwa CCM ili kuonekana Mh anapendwa na CCM isipomteua itakuwa imefanya makosa,ni kama kui ''blackmail''CCM.Wagombea kama hawa ndio mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Dr Kamata anawaita ''Vifurushi'' ni kama zile bundle za kwenye simu za mkononi unaambiwa hiki kifurushi ni cha GB 1 na ni unlimited,ukilala na kuamuka baada ya kutumia 200 MB tu unaambiwa kifurushi kimeisha.Huu sasa ushakuwa wenda wazimu!!
Jamaa ana mbinu za mwaka arobaini na Saba yaani mi niliona hayo maandamano I feel so seek. Karne hii eti ndo mbinu za kimasai. Si waseme tuwape mbinu za kuudanganya umma wa watanzania?
 
Hata clinton.. ambaye alishakuwa rais wa marekani.. alishapata kashfa ya ngono.wakati akiwa katika harakati za kugombea
. Urais wa marekani.. lakini mwishowe alishinda kwa nguvu
 
Wanaomsupport Lowasa ni wajinga kama lowasa.

Hata hivyo ccm hawana mgombea wa uraisi zaidi ya mashindano ya nani zaidi kwenye ulaghai, matumizi makubwa ya rushwa na ufisadi.

Ninachokiona ccm imerasimisha ufisadi, wizi na matumizi ya rushwa. Ni dhahiri kwamb maneno uadilifu, uzalendo na usafi wa viongozi, hayapo tena kwenye kamusi ya ccm.

Wakati ccm mnatafuta mtakayemsafisha kwa urahisi ili aingie ikulu, wakati mwenyekiti wenu akiona hana namna zaidi ya kumpata laghai nyangumi mwenye kipaji cha kuwalaghai watanzania wajinga na maskini ili aibu ya anguko la chama isiwe mikononi mwake, WATANZANIA TUNASEMA, CCM HAMTARUDI IKULU.

TANZANIA SI MALI YENU MUICHEZEE NA KUPOKEZANA ILI KUENDELEZA UHARAMIA WENU KWA NAMNA MNAVYOTAKA. TANZANIA INAWENYEWE NA WENYEWE NI SISI WATANZANIA.

UKAWA JIPANGENI VIZURI NA MTUONYESHE NAMNA GANI MTAUNGANISHA TAIFA LILILOGAWANYWA VIPANDE VIPANDE NA CCM. TUONYESHENI NAMNA GANI THAMANI YA MAISHA YA MTANZANIA ITARUDI. TUONYESHENI JINSI GANI MTANZANIA WA KAWAIDA (SIYO WALE MATAJIRI) ATASHIRIKI KATIKA KUTELEKEZA NA KUMILIKI UCHUMI WA NCHI ILI AJISIKIE YUKO NYUMBANI NA SI UKIMBIZINI.

TUONYESHENI NAMNA MTAKAVYOREJESHESHA HADHI NA UKUU WA TAASISI YA URAISI.

TUNAHITAJI KUWA NA SERIKALI YENYE MIFUMO NA IDARA ZOTE ZINAZOJITAMBUA NA KUTAMBULIKANA KWAMBA ZIKO KWA AJILI YA WATANZANIA.

TUONYESHENI NI KWA JINSI GANI ELIMU YA MTANZANIA ITAREJEA MAHALA PAKE ILI KUONGEZA COMPETITIVENESS YA WATANZANIA KATIKA NDANI NA NJE YA NCHI.

UKAWA SASA PIGENI MBIO KWA KASI KUFIKA KILA KONA YA NCHI.

Ni mwendawazimu pekee atakaeamini Ukawa itashinda uchaguzi October, Kugawana majimbo tu wameshindwa nchi ndio wataiweza? Endelea kuota
 
Rais wa nyama choma au Tanzania? Si awaite monduli wakale nyama choma wale walafi.
 
Nasikitika sana na naumia sana UDOM chuo ninachosoma ndiyo kinaongoza kwa kuwa na vijana wasiojitambua wamefikia hatua ya kwenda kumshawishi lowasa agombee na siyo kumshawishi in such maana hakuna asiyejua kwamba lowasa anautaka urais! Hivi unaenda vipi kumshawishi mtu ambaye anapenda jambo husika? Huku hakukuwa kumshawishi bali ni kujikomba kwa lowasa kulikofanywa na wasomi wa Dodoma! Kumbe wasomi wa Dodoma wanabei rahisi hivi! Naona aibu kujiita mwanachuo wa UDOM.
 
Fedha hizo wananchi ndiyo wamechanga...... hizo ni akili za wakina Lizaboni

Wanafiki siku zote hawakosi visingizio.Mwisho wa siku watakuja kusema Lowassa anamtambo wa kutengeneza noti nyumbani kwake.
 
Mimi sina muda wa kuongea na jitu kama lile kwa sababu hakuna siku limetumia akili zaidi ya makamasi. Mtu mweye hoja akija na hoja tutaongea. Lakini mijuha kama laki si pesa sina muda huo. Atafute wa kiwango chake. Mimi hapana!.

Naona kadri miezi inavyosogea na mhemuko wa akili na msongo wa mawazo unazidi.Njoo CCM upone.
 
Aseee kama alipga ishu ya richmond enz zile akiwa PM je akiwa President c ndo atatufilisi?hafai kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom