Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
mcjali maana wengne wakiombwa mpo kimya, ila rais wa watanzania 2015 akifatwa na watu wenyekulitakia taifa mema mnaanza majungu. Ila mimi nnacho jua ni kwamba rais wa 2015 watanzania wote wanamjua na kumhitaji kwa maendeleo ya Taifa la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na si mwingne zaidi ya mwamba wa kaskazini, simba wa taifa, shujaa wa taifa na mzalendo asilia MH EDWARD NGOYAI LOWASSA. wapinga maendeleo ya nchi lazma wampinge sana ila huwezi zuia mwanga wa jua na kiganja cha mkono