Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

tpaul

Kama Raia niliyehudhulia udhamini wa wana CCM waliojitokeza mkoani Kilimanjaro kumdhamini, LOWASSA alichosema ni kwamba ashawapiga magori wagombea wengine wa CCM hasa kwa kupata idadi kubwa ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini.

Ufisadi unaousema ungetuonesha hapa vyanzo vya taarifa ya ufisadi wake tungeamini lakini kwa kuwa unaongea usichokijua nakuona kama mwehu, No research No Right to speak

Una mtindio wa ubongo wew. Nenda kwa kamati ya bunge utakuta hizo data kuhusu hizo kasfa zake za ufisadi. Usitufanye watz ni wajinga kama wee ati hatujui ufisadi wake. Nje na ndan ya nchi inajulikana..
 
Last edited by a moderator:
yeye anazidisha ili kutafuta umaarufu wa kijinga. ni sawa na mwanafunzi anayesoma masomo ya DS na BAM kwa bidii huku akijitoa akili kwamba akiscore A+ atajaziwa S! ni sawa kabisa na huyu fisadi lowassa, mpenda sifa anayetafuta umaarufu uchwara kwa kuhonga wananchi wenye njaa kutumia fedha za wizi.

Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono, Watanzania ndio wanaotaka wamdhamini ili kumuonesha kuwa wako nae katika safari ya MATUMAINI, LOWASSA anawanyima sana usingizi, nouma sana
 
mungu gani huyo anaeruhusu wizi na visasi? Kifupi Edward ameanza na shetani na atamalizana nae pale kamat kuu ya cc itakapotupilia mbali jina lake.

Hujui ukisemacho, Lowassa hana roho hiyo ya kulipa kisasi na hili linathibitika alipokuwa akiongea na wahariri wa vyombo vya habari na kusema, "Siamini katika kufufua makaburi, mimi ni Mkristo na tunafundishwa kusamehe 7 mara 70, my heart is clean, moyo wangu ni mweupe" LOWASSA anawanyima sana usingizi, nouma sana
 
Lowassa kwa sasa anayefaa kuwa rais wa Tanzania kutokana nakuwa na maamuzi ya kuweza kuitoa Tanzania hapa ilipo na ikasonga mbelekimaendeleo.

Unajuamambo ya forever living wewe?.......
lowasa akiwapa hela watu 10 anawaagiza kila mmoja kutafuta watu30 na hao 30wanaafuta kila mmoja watu 20 na kuendelea......Wengi wanaobaki ni benderakufuata upepo kutegemea wale wa mwanzo. Ndio maana wanaotaka lowasa awe raismara zote huwa hawana sababu zozote za msingi na hapo ndipo nguvu ya pesainapojidhihirisha.
Mtaji wa lowasa ni masini wa aina tatu
1. Masikini wa kipato
2. Masikini wa akili (eliumu ndogo)
3. Masikini wa taarifa zinazomhusu lowasa

Mungu yupi?usibebe dhambi kwa kumtetea fisadi.hivi huyu akipitishwa watu hawataguna kama alivyosema mwenyekiti wao?msitenge akili kwa kupofushwa na fedha.
mkerewe

Inaelekea wewe ndio msaidizi wa Mungu maana una uhakika kua Mungu hayupo pamoja na Edo

Mnafki mkubwa wewe unamchukia mtu mpaka unakufuru Mungu unadhani Mungu ni mjomba wako watu wengine sijui ubongo wenu una funza?

Kusoma hujui na picha nayo huoni? Hao walio pamoja na Mungu mbona hatuoni watanzania wakiwakubali

Edo The Next President

Na hii ndio safari ya matumaini

Mwaka huu wakuda mtasanda sana
 
Last edited by a moderator:
Lowassa kafungwa magoli ya urais ,uadirifu wa mashakamashaka goli moja,sifa 13 alizotangaza Mangula magoli 4 amfungwa Lowassa

Hebu oneni:-
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kigezo [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Jaji Agustino Ramadhani [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Edward Ngoyayi Lowassa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Umri [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Miaka 70 [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] 62 [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Elimu [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Ni ya juu ngazi ya shahada ya sheria [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Elimu ya juu ngazi ya shahada [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Uzoefu wa kazi [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Amebobea kwenye mhimili wa dola upande wa mahakama [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Amebobea kwenye mhimili wa dola upande wa serikali na bunge [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Uadirifu [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Hakuna mashaka yoyote kuhusu uadirifu wake [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Kuna mashaka mengi sana kuhusu suala la uadirifu [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kazi alizofanya [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Jaji, mwanajeshi, mchungaji [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Kichunga ng`ombe, katibu wa chama, mkurugenzi IACC, mbunge, waziri, waziri mkuu. [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Historia kazini [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Amefanya kazi serikalini hadi amestaafu kwa mjibu wa sheria [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Alijihudhuru uwaziri mkuu kwa tuhuma ya kuipa tenda ya kufua umeme na kuiuzia Tanesco kampuni ya richmond ambayo haikuwa na sifa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Kugombea urais [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Hajawahi kugombea labda hii itakuwa ni mala ya kwanza [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Aligombea mwaka 1995 jina lilikatwa kwa kukosa sifa [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Hali ya kugombea urais iliyopo hivi sasa [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Ameombwa agombee tena ameombwa sana [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Alianza mda mrefu kuonyesha nia ya kugombea urais, kuna mashaka mengi anahonga, ananunua makundi ili yamuunge mkono [/h] [/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya [/h] [/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya yake ni imala sana [/h] [/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] [h=1] Afya ni mgogoro mala nyingi huenda Ugermani kupima afya, mala kadhaa huwa na kitetemeshi hasa asubuhi, hana uwezo wa kuhimili mikikimikiki kwa mda mrefu [/h] [/TD]
[h=1] [/h]
jaura

Uongozi ni karma
LOWASSA has been born to be a leader

Mtaongea maneno yote lakini He is a true leader

Suala La afya mgogoro ulimpima lini na wapi

Lete vithibitisho kutoka huko ujerumani unaposema anatibiwa

Unasema lowassa a nanunua makundi basi tunaomba utuambie ameyanunua kwa shilingi ngapi na akina nani waliolipwa lini na SAA ngapi

Mwisho nakushauri siku nyingine ujipange maana umekurupuka.
 
Last edited by a moderator:
tpaul

Kama Raia niliyehudhulia udhamini wa wana CCM waliojitokeza mkoani Kilimanjaro kumdhamini, LOWASSA alichosema ni kwamba ashawapiga magori wagombea wengine wa CCM hasa kwa kupata idadi kubwa ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini.

Ufisadi unaousema ungetuonesha hapa vyanzo vya taarifa ya ufisadi wake tungeamini lakini kwa kuwa unaongea usichokijua nakuona kama mwehu, No research No Right to speak

Kwani wanakuaga hata na evidence si wanakurupukaga tu

Lowassa anawatetemesha hawaoni pakushika lazma wadate

False accusation ndio akili walio nayo.
 
Last edited by a moderator:
mkerewe

Inaelekea wewe ndio msaidizi wa Mungu maana una uhakika kua Mungu hayupo pamoja na Edo

Mnafki mkubwa wewe unamchukia mtu mpaka unakufuru Mungu unadhani Mungu ni mjomba wako watu wengine sijui ubongo wenu una funza?

Kusoma hujui na picha nayo huoni? Hao walio pamoja na Mungu mbona hatuoni watanzania wakiwakubali

Edo The Next President

Na hii ndio safari ya matumaini

Mwaka huu wakuda mtasanda sana

Kweli ni ya matumaini maana muda wowote ARV's zikiisha nguvu ana rest in peace vinginevyo uwe unamkumbusha kuboost asiwe busy na kutafuta wadhamini tu.Sikushangai sana maana najua uko kazini una mtetea ili upate ugali wako wa kila siku.wala siwezi kukushangaa maana uwezo wako wa akili ndio unaokuaminisha kuwa fisadi anaweza akaongoza nchi.napata shaka na uwezo wako wa kufikiri.
 
Last edited by a moderator:
lowassa ni JOKA LA MDIMU linalovizia rasilimali za taifa kwa kutumia kila hila chafu.

Leteni ushahidi jamani mbona kila siku tuhuma tuuuuu no evidence

Mtakufa midomo wazi kwa kumsema lowassa kwa mambo ya Uongo

You dumb and dumbers
 
Lowasa alianza na LUCIFER atamaliza na LUCIFER.

Siku zote maneno ya laana juu ya asiekua ma hatua Mungu huyageuza na kua Baraka

LOWASSA ALIANZA NA MUNGU NA ANAMALIZA NA MINGU

na hii ndio safari ya matumaini

LOWASSA ndio Rais wa Tanzania huyu huyu msiemoenda ndio Rais.
 
Chuki imekuwa Kali sana/
sijui alichukuwa mke wa mtu au nini!!!

Huyu tpaul

Katumwa na ibilisi amchafue LOWASSA ambapo hawajui kua Mungu ndie amemchagua kuliongoza Taifa La Tanzania

Sasa wewe tpaul nakutuma kamwambie huyo shetani unaemwabudu kua EDWARD LOWASSA ni wa Mungu na ni wa watanzania.

na hii ndio safari ya matumaini iliowekwa wakfu na Mungu mwenyewe
 
Mungu yupi?usibebe dhambi kwa kumtetea fisadi.hivi huyu akipitishwa watu hawataguna kama alivyosema mwenyekiti wao?msitenge akili kwa kupofushwa na fedha.

Ni ujinga kutangaza ufisadi wa mtu wakati huna maelezo yasiyo na mashaka juu ya tuhuma zake. Wanadamu wana kawaida ya kumhurumia mtu anayetuhumiwa katika makosa yasiyoeleweka. Lowasa atashinda urais kutokana na huruma za wananchi na ninyi waropokajimtabakia kumwita fisadi huku akiudhibitishia ulimwengu utumishi uliotuka
 
Tuhuma tu peke yake maana yake ana kasoro kwa nini asituhumiwe mwingine? kwa usafi gani mpaka awe kiongozi aliyetukuka? Ikulu ataisikia tu.
 
Umeanza kupata akili. Jiulize mbona tamaa ya ikulu ni kubwa hivi? Eti ni nia ya fisadi kutukomboa?
 
Kweli ni ya matumaini maana muda wowote ARV's zikiisha nguvu ana rest in peace vinginevyo uwe unamkumbusha kuboost asiwe busy na kutafuta wadhamini tu.Sikushangai sana maana najua uko kazini una mtetea ili upate ugali wako wa kila siku.wala siwezi kukushangaa maana uwezo wako wa akili ndio unaokuaminisha kuwa fisadi anaweza akaongoza nchi.napata shaka na uwezo wako wa kufikiri.

Hivi kwanini huwa humalizagi dozi za uchizi? U nadhani bila kumalizia dozi kichaa kitakupona?

Ona sasa unaongea mambo ambayo hata hayapo mbaya zaidi huna hata elimu angalau kichaa ningekua balanced

Go to school loosed

ENL the President 2015
 
Back
Top Bottom