Buldoza
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 2,307
- 986
mtatukana sana,lakini Edo ndo rais, mtamchafua sana lakini Edo ataibuka mshindi
Loosers wanatapatapa lakini ukweli wanaujua japo ni mchungu kwao kwamba Lowasa ndiye rais wao.
mtatukana sana,lakini Edo ndo rais, mtamchafua sana lakini Edo ataibuka mshindi
Kama Raia niliyehudhulia udhamini wa wana CCM waliojitokeza mkoani Kilimanjaro kumdhamini, LOWASSA alichosema ni kwamba ashawapiga magori wagombea wengine wa CCM hasa kwa kupata idadi kubwa ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini.
Ufisadi unaousema ungetuonesha hapa vyanzo vya taarifa ya ufisadi wake tungeamini lakini kwa kuwa unaongea usichokijua nakuona kama mwehu, No research No Right to speak
Fomu ya udhamini ya CCM inahitaji watu 30 tu. There is no way unaweza kuzidisha wadhamini katika fomu unayoiwakilisha CCM. Sasa magoli yepi kawafunga wenzake? Ndio maana Sita alirudisha fomu muda mfupi tu Kwani kupata wadhamini 30 wala sio kaziKama Raia niliyehudhulia udhamini wa wana CCM waliojitokeza mkoani Kilimanjaro kumdhamini, LOWASSA alichosema ni kwamba ashawapiga magori wagombea wengine wa CCM hasa kwa kupata idadi kubwa ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini.
Ufisadi unaousema ungetuonesha hapa vyanzo vya taarifa ya ufisadi wake tungeamini lakini kwa kuwa unaongea usichokijua nakuona kama mwehu, No research No Right to speak
Lowasa ni alianza na Mungu atamaliza na Mungu,God bless our president
Fomu ya udhamini ya CCM inahitaji watu 30 tu. There is no way unaweza kuzidisha wadhamini katika fomu unayoiwakilisha CCM. Sasa magoli yepi kawafunga wenzake? Ndio maana Sita alirudisha fomu muda mfupi tu Kwani kupata wadhamini 30 wala sio kazi
Hivi Lowassa anawatetemesha sana ee??? .mkiamka Lowassa, mkila Lowassa. ..si ajabu hata mkiwa na wake zenu mnamtaja Lowassa. Sasa kwa nn mnapingana na nafasi zenu kua Lowassa ndio mpango mzima. Ndio jembe, jemedari wetu atakaempokea kijiti Rais wetu mpendwa JK.
Wakati mnanung'unika huku kwa maswala yasiyo na tija. LOWASSA NDIO ANAZIDI PASUA ANGA. Tunaelewa anatimua vumbi kali lazma muweweseke kidogo. Ushauri wa bure badala ya kubakia kutimuliwa vumbi mgetumia hiyo nguvu kwenda kujenga hoja za wagombea wenu kwa wananchi ili angalau kujaribu kupunguza kishindo cha ushindi wa Lowassa kupunguza aibu .isiwe kubwa sana. Maana safari hii hata wapinzani watampigia kura EDWARD LOWASSA.
Mjiandae kisaikolojia ushindi wa Lowassa ni wa uhakika kwani alianza na Mungu na atamaliza na Mungu
Kuacha shughuli zako na kuanza kuandika kuhusu Lowasa ni goli pia!Wakati bado majina ya watia nia wa CCM hayajafika Kamati Kuu (CC) ya CCM, Lowassa ameibuka na kutamba kuwa tayari AMEFUNGA MAGOLI YA URAIS.
Chanzo: NIPASHE
MAONI YANGU
Ni magoli gani aliyoyafunga huyu FISADI hadi anafika hatua ya kutamba kiasi hiki? Je, anadhani kwamba fedha zake za wizi zinaweza kumnunua kila mtanzania?
:israel:
Magoli ya kisigino anayojifunga kila kukicha, ndo anamaanisha!Wakati bado majina ya watia nia wa CCM hayajafika Kamati Kuu (CC) ya CCM, Lowassa ameibuka na kutamba kuwa tayari AMEFUNGA MAGOLI YA URAIS.
Chanzo: NIPASHE
MAONI YANGU
Ni magoli gani aliyoyafunga huyu FISADI hadi anafika hatua ya kutamba kiasi hiki? Je, anadhani kwamba fedha zake za wizi zinaweza kumnunua kila mtanzania?
:israel:
hahahaha yan kama jamaa hatopita bhas kutakuwa na mambo ya hatari sana tena ya kimya kimya, na tena na wasiwasi na baadhi ya wagombea kupotea kabisa na wakija onekana wanasema wameghail kugombea
Halafu haya majiyu ukiyauliza mtia nia wanayemtaka utasikia UKAWA! Ukawa ni nani? Hata jina hawana na hawajui wanamtaka nani. Kila siku EL EL EL!Hivi Lowassa anawatetemesha sana ee??? .mkiamka Lowassa, mkila Lowassa. ..si ajabu hata mkiwa na wake zenu mnamtaja Lowassa. Sasa kwa nn mnapingana na nafasi zenu kua Lowassa ndio mpango mzima. Ndio jembe, jemedari wetu atakaempokea kijiti Rais wetu mpendwa JK.
Wakati mnanung'unika huku kwa maswala yasiyo na tija. LOWASSA NDIO ANAZIDI PASUA ANGA. Tunaelewa anatimua vumbi kali lazma muweweseke kidogo. Ushauri wa bure badala ya kubakia kutimuliwa vumbi mgetumia hiyo nguvu kwenda kujenga hoja za wagombea wenu kwa wananchi ili angalau kujaribu kupunguza kishindo cha ushindi wa Lowassa kupunguza aibu .isiwe kubwa sana. Maana safari hii hata wapinzani watampigia kura EDWARD LOWASSA.
Mjiandae kisaikolojia ushindi wa Lowassa ni wa uhakika kwani alianza na Mungu na atamaliza na Mungu
Wewe ndo bure kabisa.Ina maana JOKA LA MDIMU hulijui? Ngoja wenye joka lao wapitie hapa utaona cha mtema kuni.lowassa ni JOKA LA MDIMU linalovizia rasilimali za taifa kwa kutumia kila hila chafu.
Loosers wanatapatapa lakini ukweli wanaujua japo ni mchungu kwao kwamba Lowasa ndiye rais wao.
Raisi wa nini mkuu!? Labda atakuwa raisi wa familia yako, lakini sio watz tuliofikia ml 54! Kinachokupa kiburi ni kitu gani hadi ujiaminishe kwa atakua raisi!
Kamanda! Emmanuel Makaidi,kaishawambia UKAWA msihangaike na wagombea wa CCM mnawapigia kampeni.Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, amezidi kupata maelfu ya wanachama wa CCM kumdhamini huku akisema kutokana na wingi wa watu wanaojitokeza tayari ameshafunga magoli ya urais.
Lowassa aliwasili jana katika mkoa wa Kilimanjaro akitokea Tanga na kupata wadhamini 33,780 katika mkoa wa Kilimanjaro.
Akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi, Lowassa alisema anajivunia rekodi yake kwa Watanzania kutokana na kumjua na kujua nguvu yake katika utendaji kazi.
Nadhani wale wenzangu 36 wakiona umati huu watajua na kujionea kuwa nimeshafunga magoli, tena magoli yenyewe ni sawa na yanayofungwa na Ronaldo (Cristian) na Messi (Lionel) hayana ubishi, alisema Lowassa.
Alisema nia yake ya kugombea urais ni kutokana na kujiamini, ana uwezo, anatosha na amegombea ili ateuliwe na Chama hicho aweze kupambana na umaskini katika Taifa lenye rasilimali nyingi.
Akitangaza idadi ya watu waliojitokeza kumdhamini Lowassa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Cyril Chami, alisema Lowassa amepata wadhamini 33,780 katika mkoa huo.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoani humo, Vick Nsilo Swai, alisema akinamama wa mkoa huo watahakikisha anashinda katika safari yake ya matumaini kutokana na utendaji aliouonyesha.
Chanzo: NIPASHE
MAONI YANGU
Ni magoli gani aliyoyafunga huyu FISADI hadi anafika hatua ya kutamba kiasi hiki? Je, anadhani kwamba fedha zake za wizi zinaweza kumnunua kila mtanzania?
:israel: