Lowassa ni President Material zaidi ya Dr. Magufuli

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.
 
Labda kama kigezo kinavhotumika ni kiwango vha ufisadi alichofanya mgombea
 
Hahahahahahah.

Huyo ni zaidi ya UKAWA nzima, hata daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa mmempiga chini.

Cheza na fedha wewe?

Mchagga kwa pesa kasema "shetani kawa malaika".
 
Last edited by a moderator:
Labda kama kigezo kinavhotumika ni kiwango vha ufisadi alichofanya mgombea

Ujue kuna kitu sijaelewa! !!!

Mnaposema lowassa ni fisadi yawezekana mko sahihi kabisa!

Mkaenda mbali na kusema ni kati ya wale hatar 11 (walioifirisi serikali and I am sure walikuwa ccm )

Swali ni je!
Kati ya hao 11 lowassa katoka ambaye ni mmoja meaning wamebaki 10! Je hao 10 wako wapi hadi sasa?

Na ni Kwanini ccm wanajiona sasa ni wasafi bila lowassa ikiwa hao 10 wako ndani yao?
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.
Huu upuuzi wa dizaini hii ndo tutaendelea kuingia chaka kama taifa! ETI ukimuona tu roho inakusukuma!!!
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.
Kama alishindwa kusoma mkatba wa Richmond hadi tukaingizwa chaka na akina change, hiyo mikataba ya world bank na IMF atakayokuwa anatia sahihi atakuwa anasomaje? hizo itifaki za kimataifa atakuwa anaweza kweli kuzisoma? huyu hata ukimuuliza watanzania wako wangapi hajui!
 
husomeki, ulipomwona tu???? Yan utaona wengi sana na utakuwa unabadlka ....we pima uhalisia wa mambo, sio kuona tu
 
Lowassa kama Yesu...yaani...UKAWA it is TIME for CHANGE
 
Magufuli sura ngumu kinyama.... Infact kumuuza Magufuli ni ngumu sana sana
 
President hata Mafiaso wana President. Yeye ni President wa gang la wezi Tanzania
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.

Lipumba na Slaa hawajaliona hilo au mbona wanamkimbia 😳😳😳
 
Wanakimbia baada ya kuona vigezo vyao vinafifia
Mfano lipumba toka 95 yupo na bado anataka tena
Sijuwi ni prof wa wapi huyu!
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.
Hivi urais ni muonekano? Mkapa alikuwa namuonekano mzuri?
 
Back
Top Bottom