Lowassa ni President Material zaidi ya Dr. Magufuli

Lowassa kama Yesu...yaani...UKAWA it is TIME for CHANGE
Yesu huyu Masihi au yesu mwingine? Masihi hakuwahi kutuhumiwa kwa ufisadi! Na masihi Angekuwa na usongo wa madaraka kama Lowassa mbona Angeanguka mara moja tu pale alipojaribiwa jangwani? Shetani alimwahidi kumpa himaya zote hapa duniani. Imagine kama huyu angekuwa ndo Lowassa mweh! Muwe mnafikiri kwanza kabla ya kuropoka na huu usambamba wenu zigzag!
 
sababu tuna imani nae, ogopa imani ya mtu! CCM Ni chama cha vibaka na wajinga

Kweli we nyani asiyeona kundule!
Mmewakaribisha mafisadi na wtu ambao ni zaidi ya vibaka we huoni wala husikii.
Mpaka uibiwe mkeo ndo utaamini!!!!!
 
mafisadi wanafugwa CCM wa kutosha, kuanzia Baba, mama, watoto, wajukuu, vitukuu! Hivi :wave:
 
Kwa hiyo na nyie mmeamua kuwaiga CCM kwa kufuga fisadi Lowasa au siyo?
Njaa itawaua na mnanunulika kama samaki wa jioni ambao lazima wauzwe,
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.

Tunakoelekea sura itakuwa kigezo cha kupata urais. Taifa la wajinga
 
Ccm ni chuo cha wezi,ukiingia lazima uwe mwizi,ukitoka unakuwa huru
 
Unachagua mtu aongoze nchi sababu ya mwonekano wake?!! Wonders shall never end
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.

Kwa fikra hizi tusitegemee mabadiliko. Yani kumuona mtu na kura yako umeamua kumpa. Kuwa third world country hakukuja hivi Hivi.
 
Wanawake Ndivyo walivyo. Wanampa mtu kura kwa sura tu. Msamehe huyo dada
 
Nilikuwa sijabahatika kumwona Lowassa kwa karibu,Nilipata bahati hiyo pale mlimani city aisee Lowassa mungu kamjalia nuru ya ajabu.

Yani ukimwona tu,Roho yako inakusukuma kumpa kura kwa jinsi alivyo mtaratibu,mng'aavu na jasiri.

Yani kwa ufupi Lowassa ni President material kamzidi sana Magufuli kwa kila kitu. Magufuli pupa zimemzidi sio mtu wa kutafakari anapenda kukurupuka na utulivu hana hata chembe.

Hakika Baada ya kumwona Lowassa nimejiridhisha anahitaji kura yangu na za watanzania wenzangu.
Wee Mama. Mumeo anajua hili? Halafu mkipewa talaka mnaanza kulia.
 
Back
Top Bottom