Hekima,Busara Ni Zaidi ya Utendaji Lowassa Anavyo

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
567
Reaction score
1,565
Hekima na Busara ni zaidi ya kila kitu.
Mtu akiwanavyo hivi vingine vyote anazidishiwa.

Magufuli ni Mtendaji mzuri lakini anapungukiwa na hivi vitu.
Sifa Kuu za raisi ni kuwa na Hekima na Busara ya hali ya juu.
Maamuzi mengi mazuri hayategemei Utendaji wa mtu husika bali yanategemea Hekima na Busara yake.
Magufuli hana hivi viwili na Maamuzi mengi yanaamuliwa na Utendaji wake matokeo yake Maamuzi yake mengi yatakua ya Kukurupuka tu na kutengenezea Matatizo makubwa kwa Taifa.
Magufuli hana Hekima na Busara ya kutosha kua raisi na hivyo hana Uvumilivu.
Kiongozi mzuri ni yule mwenye uvumilivu ili apate muda wa kutafakari kabla ya kuamua bila kukurupuka.

Katika vitu muhimu alivyonavyo Lowassa ni hivi vitu viwili Hekima na Busara.
Busara na Hekima ya Lowassa imepimwa kwa magumu aliyopitia.
Katika magumu hayo Lowassa aliongozwa na Hekima na Busara yake kua Mvumilivu.
kama Lowassa angeamua mambo kwa kutegemea Utendaji wake huenda leo CCM na Taifa kwa ujumla tungekua na histolia nyingine kabisa.
Mungu alimuuliza Mfalume Suleimani ampe chochote atakacho, Suleimani alichagua Hekima na Busara na hivi vilimuongoza Mfalume Suleimani kua kiongozi bora kuliko yeyote hapa Duniani.
Lowassa ana bahati ya kua na hivi viwili Hekima na Busara.
Kwa Hekima na Busara za Lowassa ni zaidi ya kila kitu sio utendaji tu kama ilivyo kwa Magufuli.

"Mabadiliko Lowassa"
"Lowassa Mabadiliko"
 
Utafiti sawia kwa asilimia mia moja. Magufuli hana sifa ya kuwa kiongozi wa nchi. Bali anaweza kuwa mtendaji ambaye lazima kuwepo na mtu mwingine juu yake wa kumthibiti na kumsimamia.
Watanzania tunao ushahidi wa maamuzi mengi ya ovyo aliyoyafanya ya kukurupuka yaliyoiingiza serikali katika hasara kubwa kwa kulipa fidia ya mamillioni ya pesa.
Tunakumbuka jinsi Waziri mkuu, Mizengo Pinda alivyomsimamisha asiendelee na maamuzi aliyokuwa ameyafanya kwa pupa.
Huwezi kuwa Waziri ndani ya Serikali iliyoko madarakani , halafu katika kampeini ya kuutaka u Rais unajinadi kuanzisha mahakama ya kufunga mafisadi, ambao wako katika mfumo huo huo uliokulea na kukukuza. Na kama ni ubovu na wewe pia ni sehemu ya ubovu huo.
Mungu apishie mbali asitupatie Rais wa aina ya Magufuli.
 
Hekima, Busara na UADILIFU...

Hivi ndivyo vya kuangaliwa. Tusijidanganye watanzania tukadhalau hivi vitu tarehe 25 October.
 
Hapa kwenye Busara hapa! Tukumbuke tu, siku za karibuni tulikuwa na hali ya sintofahamu na jirani zetu wa Malawi. Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi Bungeni alionyesha kukosa kwake busara wazi wazi, na kama angekuwa ndie amiri jeshi mkuu hivi tayari tupo vitani na Malawi.... huyu BUSARA ni ZERO, wala tusidanganyike
 
Back
Top Bottom