kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Ukweli ni kwamba Magufuli hana sifa na vigezo vya kuwa Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania. Nipo karibu sana na watu wa System na baadhi ya vigogo wa inchi hii. Ukweli tukubali tukatae Magufuli hana sifa ya kutuliza akili na kufikiria, katika mishipa iliyopo mwilini mwake, amekosa mshipa wa (BUSARA) as well ni mtu wa haraka sana kulewa na madaraka.
Magufuli ni mtu wa kuamrisha na ufuatiliaji ndio maana anajiita hapa kazi tu. Mtu wa namna hii ni ngumu kuongoza Taifa lenye watu million 44 kiufasaha. Endapo Magufuli ataweza kushinda nafasi ya Urais, ni mtu hatari sana kwa CCM Wenyewe. Katika kampeni anazo zifanya wamekwisha mstukia, kucheka wanashidwa, kujisaidia haja ndogo wanashidwa. Mabadiliko ya Magufuli ni mabadiliko ya kutumia mahakama, dola kuinyoosha CCM na wafanyakazi wa Tanzania.
CCM katika kuvunja makundi kamati ya maadili ilishidwa kukumbuka kama Magufuli ni mtu asiye heshimu sheria na mamlaka. Ukweli ni kwamba Magufuli alikereka sana na usleki wa Kikwete. Kati ya Marais alio fanya nao kazi Magufuli aulizwe nani anamkubali bila mawaa wala shaka atamchagua mkapa kwa sababu alikuwa na Element za Ukatili.
Kwa vile mgombea Urais wa ukawa anazo sifa zote za President material, pia katika kampen zake anataka Tanzania ipate maendeleo ya kasi, ni vyema sasa atuthibitishie atafanya kazi na Magufuli ili tumpe kura za wingi, hasa ampe nafasi ya Uwaziri mkuu. Siyo mbaya Lowassa akianza kumtaharisha Magufuli kisaikolojia mapema kwa kumpigia simu pamoja na kutamka hadharani kwamba atafanya nae kazi
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.