Lowassa ni President Material zaidi ya Dr. Magufuli

Lowassa ni President Material zaidi ya Dr. Magufuli

Hivi urais ni muonekano? Mkapa alikuwa namuonekano mzuri?

Tulifuzwa na Ccm wakati JK anaingia ikulu 2005 na tumeendele kuamini au umesahau?
Au unajisahaulisha?
 
Huyu ambaye hata hawezi kuongea vizuri na kumaliza hotuba akiwa amesimama ndo presidential material? Nataka kumuona kwenye grueling campaign trail nchi nzima kama ata-survive. Msifieni kwa mengine (mf. kutafuta hela) lakini siyo presentation. The guy is real tired and is terrible at public speaking. These are facts!
 
du
kweli bavicha mnashida!
mtu anaongea kama mgonjwa nyie mmo tu!
 
Hahahahahahah.

Huyo ni zaidi ya UKAWA nzima, hata daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa mmempiga chini.

Cheza na fedha wewe?

Mchagga kwa pesa kasema "shetani kawa malaika".

Huu ujinga wako huuachi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahah.

Huyo ni zaidi ya UKAWA nzima, hata daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa mmempiga chini.

Cheza na fedha wewe?

Mchagga kwa pesa kasema "shetani kawa malaika".
Mnadhania tunahongeka kama unavyohongwa wewe?? CCM chama cha vibaka na wajinga, ccm hana tofauti na shetani
 
Last edited by a moderator:
Muulize Lipumba, mchumi.

Kuna watu washamla sana sana pesa zake au au haujuwi kuhusu "friends of Lowasa"? na tukampiga chini.

FaizaFoxy; Kumbe upo! Ulikwenda kuzichimbia uchagoni ndo umerudi?? Hakuzimaliza ameona awaletee UKAWA nao wazilambe.
Usihofu amekuja huku kutufundisha mbinu zenyu za goli la mkono. Mwaka huu mtaji.ha.rishia tu. Kaeni karibu na bomba la maji. Oktoba si mbali bado siku ka 79 tu
 
Ndoroooooooooooooooooooooobo hawa CCM, wametunyonya vya kutosha
 
Hahahahahahah.

Huyo ni zaidi ya UKAWA nzima, hata daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa mmempiga chini.

Cheza na fedha wewe?

Mchagga kwa pesa kasema "shetani kawa malaika".

Hivi huyo Lowasa anazopesa kiasi gani kwamba CCM na wanachama wake wamegawana Makanisa Misikiti kama mnavyosema hamkuzimaliza kaelekea CHADEMA na UKAWA dado anagawa hela hivi TRA wako wapi wamekusanya kodi au nao wamegawiwa fungu lao jamani kumbe ndio maana anasema anauchukia UMASKINI kwanini asiwe RAISI wetu akatuambukiza UTAJIRI au wenzangu mmezoa UMASKINI si hata chama cha mapesa huko majimboni huoni takukuru walivyotuonyesha maburungutu yaliokamata toka kwa wagawaji
 
Magufuli sura ngumu kinyama.... Infact kumuuza Magufuli ni ngumu sana sana

Sura inaendana na utendaji kazi maridadi, ebu wacheki majirani zetu Kenya, walianza na Moi sura ka anang'olewa jino bila ganzi kisha akaja kibaki na sura ka limao na sasa uhuru na sura ya kutishia watoto wakalale ila bado wanachapa kazi!
Alafu kama ni sura Lowassa si HB.
 
Alafu napata mashaka na hii TeamLowassa, badala ya kupigia debe UKAWA kwa ujumla wao ni Lowassa tu!
 
Ujue kuna kitu sijaelewa! !!!

Mnaposema lowassa ni fisadi yawezekana mko sahihi kabisa!

Mkaenda mbali na kusema ni kati ya wale hatar 11 (walioifirisi serikali and I am sure walikuwa ccm )

Swali ni je!
Kati ya hao 11 lowassa katoka ambaye ni mmoja meaning wamebaki 10! Je hao 10 wako wapi hadi sasa?

Na ni Kwanini ccm wanajiona sasa ni wasafi bila lowassa ikiwa hao 10 wako ndani yao?

Huyo aliekunja ngumi je sio fisadi?

Lizaboni tumekuuliza naomba utupatie majibu?
 
FaizaFoxy; Kumbe upo! Ulikwenda kuzichimbia uchagoni ndo umerudi?? Hakuzimaliza ameona awaletee UKAWA nao wazilambe.
Usihofu amekuja huku kutufundisha mbinu zenyu za goli la mkono. Mwaka huu mtaji.ha.rishia tu. Kaeni karibu na bomba la maji. Oktoba si mbali bado siku ka 79 tu

Hahahaha, huyo tumemtema sisi, hana jipya! Kumbuka hilo.
 
Hivi huyo Lowasa anazopesa kiasi gani kwamba CCM na wanachama wake wamegawana Makanisa Misikiti kama mnavyosema hamkuzimaliza kaelekea CHADEMA na UKAWA dado anagawa hela hivi TRA wako wapi wamekusanya kodi au nao wamegawiwa fungu lao jamani kumbe ndio maana anasema anauchukia UMASKINI kwanini asiwe RAISI wetu akatuambukiza UTAJIRI au wenzangu mmezoa UMASKINI si hata chama cha mapesa huko majimboni huoni takukuru walivyotuonyesha maburungutu yaliokamata toka kwa wagawaji

Daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kwanini kasusa?
 
Last edited by a moderator:
Wakina mama ndio kundi ambalo inasemekana ni wapiga kura wengi kuliko Wanaume. Sura ni kigezo miner sana kwa wanasiasa lakini kwa kundi hili ndipo athari za sura au muonekano hupewa nafasi. Mbali ya dhamira, nia na kiu ya watanzania katika kuitoa Tanzania hapa ilipo Lowassa anabaki kuwa nguzo muhimu na mtaji katika kushinda uchaguzi-tanzania 2015
 
Hahahahahahah.

Huyo ni zaidi ya UKAWA nzima, hata daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa mmempiga chini.

Cheza na fedha wewe?

Mchagga kwa pesa kasema "shetani kawa malaika".

Nabii aliyetabiliwa kuokoa taifa la Mungu. Iliwezekana kwa Sauli na itawezekana kwa E.N.L.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom