Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,000
Ni kweli ana nguvu sana; kwa wanaomuamini. Ni kama nguvu ya mganga wa kienyeji hivi. Mganga wa kienyeji anaweza kuwapa watu sababu ya kufuata masharti yake na kumsikiliza lakini nguvu ya dawa zake na maagizo yake yanategemea tu kama watu wanamuamini. Lakini usipomwamini yote anayoyafanya yanaonekana kama vichekesho fulani hivi. Fikiria wakati watu wengine wanaogopa kuchukua kibuyu kilichozungushwa hirizi kwa sababu wanaogopa anakuja mtu mwngine anachukua na kunywa maji kwa sababu alikuwa na kiu!
el ana nguvu sana comparatively. na sio kwa wanoamwamini tu, hata wale wasio mwamini au kumsapoti. kama kiongozi kwa muda wote aliokuwa ndani ya serikali amejenga network yake ya allegaince na hiyo network probably ipo katika kila sekta, kuanzia kwenye chama hadi idara za gavument, kwa hiyo kwa mfano kama ana sapoti ya wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na mikoa, wakuu wa polisi, wafanyabiashara, inteligensia, viongozi wa chama mikoani na wilayani, kata hadi shina,---hao viongozi wata-streamline umma ili kumsapoti. na wanasiasa wote hufanya hivyo.
Lowassa is currently the most influential and charismatic politician in this land; there is no question about that. Despite ill opposition by his enemies, which culminated in the Richmond scandal, he has surprisingly managed to amass even more support from the public. Those who think there is anyone to defeat his presidential ambitions, must be too delusional.
Una akili nyingi sana.imeandikwa mwanadamu hawezi kutumikia mabwana wawili, lazima ajikanganye tu.
Mwenye sikio na asikie neno hili.
Ila kwa namna nyingine inalipa, nitaje taje hata kwa visivyo na mantiki ili nisisahaulike.
Strategy! Strategy! Strategy!
Uwezo wa Lowassa kiuongozi is too far compared to kikwete anayeshindwa kufanya hata maamuzi madogomadogo!
Angekuwa na nguvu asingejiuzulu.Mwenye nguvu ni JK aliyebaki madarakani.Ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, who is EL?
Hapa naona nitaambiwa sijui maana ya hiyo "power, command and capabilities"
nani aliyemuambia au kumruhusu lowasa kujiuzulu?nauliza tu?
Wanabodi,
Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.
NB. Hapa naulizia kuhusu power comand na capabilities, hatuzungumzii issues za ufisadi. Kama hujui lolote kuhusu power, command na capabilities naomba usichangie!.
Pasco.
cmd ndio nini mkuu?
nitizame vizuri utanikumbuka chit chat, sema tu nilipata misuko suko ndo nikajikuta nimekuwa hivi.
Pasco,
Nimekusoma mkuu wangu, sasa kama kweli Lowassa ni powerful na kaweza wateka watu woote waliotajwa humu hili kweli sii Taifa la Wajinga?. Penigne mimi ndio simfahamu vizuri lakini kwa yale alokwisha yafanya hakika kama alivyosema Mwanakijiji tunapo amini Uchawi na Uganga basi EL ni mchawi na mganga kuliko yule aloshuka na Ungo Dar, na mganga kuliko Babu wa Loliondo. Na maadam nasikia mkuu wetu naye mwoga wa wachawi, basi kazi imekwisha..
yawezekana anakumbumbukwa kwa maamuzi yake magumu ya kwenda Thailand kutafuta mvua ya mabomu ...sijawahi kusikia kafanya maamuzi kama unajaribu kutushawishi ila hali ni mbaya maisha yanapanda kila siku na yeye yupo kwenye system miaka kibao
nani aliyemuambia au kumruhusu lowasa kujiuzulu?nauliza tu?
Wanabodi,
Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.
NB. Hapa naulizia kuhusu power comand na capabilities, hatuzungumzii issues za ufisadi. Kama hujui lolote kuhusu power, command na capabilities naomba usichangie!.
Pasco.