Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Hakika Lowassa ni mwana sanaa na amedhihirisha hilo kama mnavyojionea wenyewe.
Mzee tupa tupa wa Ufipa, baba wa wanafiki, vipi Slaa ameshatangaza nia kugombea kupitia Ukawa? Lipumba kashajitosa kilingeni tunamsubiri babu slaa.
Usomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi wa mashairi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake. Alipotamka tu Rais Kikwete kuwa wanachama wawashawishi wagombea wazuri,Lowassa akapata pa kutokea. Kwakuwa msomi wa usanii hupaswa kuwa sharp,mbunifu na muangalifu,Lowassa akatumia haraka fursa.
Kinachoonekana na kusikika sasa,ni zao la usomi wa Lowassa. Hakuna mwanasiasa mkongwe chamani mwenye usomi wa usanii kama Lowassa. Wengine hutumia usanii wa kuzaliwa tu. Usomi una raha yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Utaratibu usio kinyume ni upi?Kama CCM wanataka wajijengee heshima wanatakiwa wachukue maamuzi magumu kwa kuwabwaga wote waliotangaza nia ya kugombea urais kinyume na utaratibu wa chama chao vinginevyo watadharau mpaka na sisimizi.
Naona unajaribu kujisahaulisha namna Lowasa anavyoipasua CCM.
Sasa Mbona umeshasaliti? Hata mwehu asiye na akili hata tone, akisoma mabandiko yako yaliyosheni kejeli juu ya CCM anafahamu wazi kabisa wewe ni mfuasi mtiifu wa Mzee Mtei. Inawezekana Hujawahi kuwa mwanachama wa CCM.
Kama CCM wanataka wajijengee heshima wanatakiwa wachukue maamuzi magumu kwa kuwabwaga wote waliotangaza nia ya kugombea urais kinyume na utaratibu wa chama chao vinginevyo watadharau mpaka na sisimizi.
Ni ule utakao wekwa na chama.Utaratibu usio kinyume ni upi?
Rais mtarajiwa atapasuaje chama kilichomlea?
Usomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi wa mashairi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake. Alipotamka tu Rais Kikwete kuwa wanachama wawashawishi wagombea wazuri,Lowassa akapata pa kutokea. Kwakuwa msomi wa usanii hupaswa kuwa sharp,mbunifu na muangalifu,Lowassa akatumia haraka fursa.
Kinachoonekana na kusikika sasa,ni zao la usomi wa Lowassa. Hakuna mwanasiasa mkongwe chamani mwenye usomi wa usanii kama Lowassa. Wengine hutumia usanii wa kuzaliwa tu. Usomi una raha yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Usomi si tu wingi wa shahada,stashahada au astashahada. Usomi hasa ni uwezo wa kutumia elimu,hasa fani yako,katika maisha halisi. Ndivyo alivyo Lowassa. Lowassa ni msomi wa shahada ya sanaa toka UDSM. Amejifunza na kufuzu maigizo,ngoma,utunzi wa mashairi na mazingaombwe.
Sasa Lowassa anatumia usomi wake. Fani yake. Alipotamka tu Rais Kikwete kuwa wanachama wawashawishi wagombea wazuri,Lowassa akapata pa kutokea. Kwakuwa msomi wa usanii hupaswa kuwa sharp,mbunifu na muangalifu,Lowassa akatumia haraka fursa.
Kinachoonekana na kusikika sasa,ni zao la usomi wa Lowassa. Hakuna mwanasiasa mkongwe chamani mwenye usomi wa usanii kama Lowassa. Wengine hutumia usanii wa kuzaliwa tu. Usomi una raha yake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Acheni kuimba Taarabu. Km hamumtaki Lowasa , Mnamtaka nani?. Tupeni hilo jina. Sisi Tunamtaka Lowasa nyinyi mnamtaka nani?.