Kamwe Lowassa hawezi kuwa kama Zuma kwa sababu nyingi tu na chache kati ya hizo ni hiziz:
1. Hana support yoyote toka kwa wafanyakazi wa nchi hii ambao kwa SA ndiy walikuwa instrumental katika kumnyanyua Zuma;
2. Zuma alikuwa na eloquence ya hali ya juu na alishuka mpaka kwa watu wa kawaida na vijana ambao ndiy walikuwa chachu ya ushindi wake. By the way huyu wa kwetu hapa amewahi hata kufanya mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC, Sauti ya Ujerumani au hata VOA? kwa lugha gani?;
3. Mbeki alionekana kama mtu ambaye anajali maslahi ya matajiri na watu weupe na kuwaacha watu weusi na wala wa kima cha chini (kwa hapa kwetu sifa hizi za Mbeki ndizo za Lowassa);
4. Zuma alikuwa na constituency, kwa maana ya kwamba alikuwa ni 'undisputed king' wa wazulu na hao walimpa boost kubwa hasa kwa vile ndilo kabila kubwa kuliko yote. Huyu bwana hapa kwetu hata hao wamasai wenyewe wamem-disown wakidai ni mmeru na hata wangemuunga mkono, hawatoshi kumpa jeuri.
5. Kwa ujumla uungwaji mkono wa huyu bwana umebaki kwa wenye njaa wachache wanaoingia kwenye vikao vya chama na wengine sasa wameanza kumgundua na kuchoshwa na hila zake za hujuma na kiu yake ya kuutaka urais.
usim underestimate lowassa. ana nguvu sana ndani ya ccm na nina hakika atateuliwa na chama. tatizo lake ana maadui wengi ndani ya chama hivyo watahakikisha hashindi. akiwa mjanja asigombee
Kamwe Lowassa hawezi kuwa kama Zuma kwa sababu nyingi tu na chache kati ya hizo ni hiziz:
1. Hana support yoyote toka kwa wafanyakazi wa nchi hii ambao kwa SA ndiy walikuwa instrumental katika kumnyanyua Zuma;
2. Zuma alikuwa na eloquence ya hali ya juu na alishuka mpaka kwa watu wa kawaida na vijana ambao ndiy walikuwa chachu ya ushindi wake. By the way huyu wa kwetu hapa amewahi hata kufanya mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC, Sauti ya Ujerumani au hata VOA? kwa lugha gani?;
3. Mbeki alionekana kama mtu ambaye anajali maslahi ya matajiri na watu weupe na kuwaacha watu weusi na wala wa kima cha chini (kwa hapa kwetu sifa hizi za Mbeki ndizo za Lowassa);
4. Zuma alikuwa na constituency, kwa maana ya kwamba alikuwa ni 'undisputed king' wa wazulu na hao walimpa boost kubwa hasa kwa vile ndilo kabila kubwa kuliko yote. Huyu bwana hapa kwetu hata hao wamasai wenyewe wamem-disown wakidai ni mmeru na hata wangemuunga mkono, hawatoshi kumpa jeuri.
5. Kwa ujumla uungwaji mkono wa huyu bwana umebaki kwa wenye njaa wachache wanaoingia kwenye vikao vya chama na wengine sasa wameanza kumgundua na kuchoshwa na hila zake za hujuma na kiu yake ya kuutaka urais.
Kuna teja 1 pale mza, makoroboi. Bila shaka huyo ndo unayemfananisha na ndg. Lowassa eti.kwa hali inavyoendelea na jamaa anavyojipanga kuelekea ikulu hana tofauti na jacob zuma jinsi alivyosalitia na bwana thabo mbeki but kutokana na nguvu yake ndani ya ANC akafanya mapinduzi mpaka mwisho huyo ikulu na huyu jamaa ndo anafuata nyayo hizo
kwa hali inavyoendelea na jamaa anavyojipanga kuelekea ikulu hana tofauti na jacob zuma jinsi alivyosalitia na bwana thabo mbeki but kutokana na nguvu yake ndani ya ANC akafanya mapinduzi mpaka mwisho huyo ikulu na huyu jamaa ndo anafuata nyayo hizo
....na kungekuwa na Richmond katika kila sekta.Wana JF, katika kipindi kifupi ambacho mh, Edward Lowasa aliongoza serikali maendeleo yaliweza kuonekana. Nitaje mambo machache ambayo ni miale ya maendeleo iliyooneshwa na huyu kiongozi shupavu: 1. Kila kata kujenga shule ya sekondari.2. Wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kupata kozi ya muda mfupi ili kuongeza idadi ya walimu na kupunguza upungufu.3. Kila kata kuwa na kituo cha afya.4. Kuukataa mkataba usio na maslah wa mamlaka ya maji safi na maji taka DSM.5. Kufuta ada ya kudahiri watoto wanaoingia darasa la kwanza hivyo kuongeza idadi ya wanaoingia darasa la I.Ama kwa hakika tulikuwa bado tunamuhitaji na kama angeendelea kuwepo madarakani huenda sasa kila mkoa ungekuwa angalau na VETA kama siyo chuo kikuu.
bora kipindi cha Lowassa maofisa wa serikali waliogopa kufanya wizara/mashirika mali zao binafsi....na kungekuwa na Richmond katika kila sekta.
mkuu umesahau RICHMOND na Bulyankuru.kwa kuwa CCM ndio chama tawala kwa sasa BORA LOWASSA kuliko PINDA,
Umesahau kuwa alipotoka Dodoma alienda TBC ili auleze uma wa wa Tz namna bunge lilivyodanganywa na likafanya maamuzi oin favour of wenye uchu wa madaraka na si maendeleo ya nchi TV prog ikabadilishwa?. Nataka ujue kuwa anazibwamdomo kwa nguvu nyngi.Lakini naye Lowasa Ni mwoga kujitetea. Toka abebeshwe zigo La ufisadi hajaeleza Watanganyika wenzake kuwa kinachesemwa kuhusu ufisadi nani muhusika mkuu. Yeye si Yesu kujitoa kafara kwa wenye dhambi. Asimame kama shujaa aseme anahusikaje katika kuihujumu Tanganyika Au La! Ndiyo tumjaji yeye Ni bora Au La.
Naona unachanganya mada kwa kutoelewa au unafanya makusudi kumbebesha Lowasa tuhuma zisizo mhusu: 1: Wakati Richmond inapokelewa na kupewa mikataba Lowasa hakuwa anahusika kwa aina yoyote ile: hakuwa waziri mkuu wala waziri wa nishati- nieleze anahusikaje na Richmond.2 wakati wa scandal ya bulyanhulu hakuwa muhusika pia. 3. Kumbuka kuwa kamati ya mwakyembe haikumuhoji na ilitoka na maamuzi bila kuzingatia ushauri alioutoa wakati akiwa madarakani. Kwa kifupi tuhuma za watu dhidi ya Lowasa ni za kutunga kwa malengo ya kisiasa.mkuu umesahau RICHMOND na Bulyankuru.
Hapa unazungumzia watu wawili tofauti!.MWIZI ambaye ni lowassa na Mpenda vimada ambaye ni zuma in which lowasso can also be there ila mambo yake ya uhuni hayasikika.Lowassa angekuwa a good P aspirant ila ilo doa la TAMAA YA KUJILIMBIKIZIA MALI ZA WANANCHI KWA WIZI KAMA FISI MWENYE NJAA ALIYEONA NYAMA.Mungu tuepushe na Lowassa