Umesema kweli - kuwa kaongea vizuri na hasa jambo lenyewe la elimu hao wanaokebehi kwani yeye ni mwingereza hadi aongee kama CAMERON
big up lowasa ,you are the real man!wachina hawajui kiingereza lakini leo ndo wanawakopesha wazungu na kiingereza chao!
English sio mother tongue yake hivyo sioni tatizo liko wapi walimu wenyewe wakiingereza wengi wana kiingereza kibovu hapa bongo.. Angeongea kimasai kibovu nadhani zingekuwa News kweli kweli.. Kiingereza cha waingereza wengine second language tu..
Lakini si amesoma kwa kutumia lugha ya kingereza huyu mtu au nae alizungusha kama yule mmasai mwenzake sendeka??au ni degree za kwenye mtandao kama jirani yake mrema wa tlp?atueleze ukweli asije kuzua mengine tukaanza kufuatilia upatikanaji wa vyeti vyake vya shule!
Lakini si amesoma kwa kutumia lugha ya kingereza huyu mtu au nae alizungusha kama yule mmasai mwenzake sendeka??au ni degree za kwenye mtandao kama jirani yake mrema wa tlp?atueleze ukweli asije kuzua mengine tukaanza kufuatilia upatikanaji wa vyeti vyake vya shule!
ROMANTIC,Lakini si amesoma kwa kutumia lugha ya kingereza huyu mtu au nae alizungusha kama yule mmasai mwenzake sendeka??au ni degree za kwenye mtandao kama jirani yake mrema wa tlp?atueleze ukweli asije kuzua mengine tukaanza kufuatilia upatikanaji wa vyeti vyake vya shule!
...hii ni forum ya Criticall thinkers...
Halafu watu wanamtetea as if hizo nchi nyingine zenye viongozi wanaotema ngele ni native speakers. Hiyo inadhihirisha kwamba jamaa shule yake ya sanaa za maonyesho aliikimbilia baada ya kuona kwenye kozi za maana hawezi kutia mguu. r Bya any standard, lugha hii is not befitting a prospective presidential candidate na unajiuliza wapambe wake wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mpaka lini. To improve poverty!!! Halafu watu wanasema this is a small laughing matter? No way!!!
i think these is not your place kuko na place ya taarab na mipasho c ukajoin...
Mtaua noma mtakavyo lakini katika hili ni kama Kitila Mkumbo alivyosema. It is shameful and the guy owes us an apology! Ametuaibisha watanzania wote lakini kwa vile wengi wa wapambe wake ni maimuna kuliko yeye (eg. Nchimbi, Serukamba, Guninita, Mgeja, Jah people na vilaza wengine) hili linaonekana siyo issue. In simple terms: Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hana fluency ya lugha wala eloquence inayotakiwa katika kujenga hoja za kitaifa. Tunaomba mwenye vyeti vya huyu bwana atushushie tuone ufaulu wake!
Hapa ndipo linapokuja suala la kuwa na midahalo 2015. Mmoja wa kiingereza na mwingine wa kiswahili. Infact Uptitude test na proficiency test ndipo watu wachukue form za kugombea urais. Hatutaki aibu hapa! Hali hii tungeivumilia wakati wa kugombea uhuru, siyo wakati huu ambao Mwalimu alitupatia elimu ya bure halafu mtu akaamua kuleata ujanja ujanja shuleni.