Lowassa na Kiingereza chake!

Lowassa na Kiingereza chake!

Correctly described mkuu!!! Mpe mafunzo ya kimombo huyo mccm ajue jinsi neno improve linavyoweza tumika positively and/or negatively!!!! kukariri ni shida kwetu watz na ndo'maana kipaumbele cha EL ni elimu, elimu, elimu!!!!

we ---- itakua std 7 huyu kaweka neno FROM ambayo kaka EL hajaweka so EL kafuka na huyu kuku anawalaghai
 
Duuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni lowassa yuko vizuriii ngeliii
 
So, one can not improve his or her poverty level?
You can only improve strategies aimed at eliminating poverty.

You can reduce poverty to improve your life
You can improve your life through ..... by so doing you reduce/eliminate poverty
 
Ni kweli brother but itadepend with the context and structual arrangements of words in which the word has been used, angalia context ulipolitumia hilo neno na context alipolitumia mheshimiwa, its obvious mhashimiwa kachemka, alichokifanya nikutaka kutafasiri kiswahili direct kwenda kingereza, kumbe ni maji na mafuta.
Kama hujui kiingereza nyamaza usichangie chochote.English structure yenyewe shida,badala ya "inadepend on the context" unaandika "inadepend with the context".Kama unakosoa basi jihakiki.
 
Hata mimi wa St. Kayumba hiyo nimeisikia ila tunahitaji rais mbunifu na siyo mtaalum wa kuongea kiingereza hata kwenye St. Kayumba kuna wanafunzi walikuwa wataalam na wanyangungu kwenye kingereza lakini tulipokuwa tunaingia kwenye paper (msekweli) tunawagaragaza. Hatutafuti rais wa UK au US tunatafuta rais wa jamhuri ya muangano wa Tanzania. So kujua kiingereza ni hoja dhaifu muno na vijna hamtakiwi kuishabikia. Na wengi wetu tunatumia almost 95% Kiswahili kwenye ofisi zetu even walimu na wakufunzi wa leo wanaoshabikia kingereza cha Lowassa wanashindwa kufundisha english throughout the sessions ila maarifa yanawafikia walengwa. So kiingereza siyo hoja, hoja ni uwezo na ubunifu wa kiongozi unaetaka kumchagua. Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa nchi hii almost tangu yuko kwenye 40s, Je ni lipi la ajabu alilolifanya linalo reflect uwezo na ubunifu wake? kama kujilimbikizia mali na kutoshesha pesa zetu na kuziifadhi Europa ni ubunifu, haya mchagueni.
 
Mi Nakushukuru mleta mada kwa kweli hii clip imenikonga moyo, sikuwahi kuisikia Jamaa anania ya Dhati na hili swala la elimu. Hii ya elimu elimu elimu kumbe ameanza nayo kitambo mno
 
8Naumiza sana hiyooo ndo akili ya mpiga kura, hivyo ndo vigezo vya rais anayempenda....... hapo ni meaning ya kejek but In real case... rudin shule ambao hamjamwelewa lowassa anamaanisha nn hapo

c...!m wapga kura wake wengi hawana elimu au uelewa wao kidemokrasia ni mdogo sana ndo maana c...!m pengine wanatumia hadi vitisho ili kuwapumbaza wapiga kura.
 
Sikiliza kwa makini acha kukurupuka, kuna ameongea "to alleviate poverty" na "eradicate poverty "
 
Nashangaa na Wabongo! Wanasamehe makosa yoooote ya Kiswahili, ila ikija Kiingereza. Watu wanasema kula badala ya kura, tena mgombea urais, fulaha badala ya furaha, mgombea huyo huyo..
Mna nini nyie?

ulimbukeni ndio shida kushabikia vya watu
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Kingereza cha kuungaunga hicho afu ndo aende ikulu?
 
Kama hujui kiingereza nyamaza usichangie chochote.English structure yenyewe shida,badala ya "inadepend on the context" unaandika "inadepend with the context".Kama unakosoa basi jihakiki.

nisichangie hata kwa kiswahili kisa english siijui?
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk
We jamaa ni bwawa...kabsa. Lowassa yupo correct.
Wewe mccm ndo ujui kingereza umekalili tu, hii ndo ccm imetifikisha hapa.

Ujui kiingera wewe nyie maccm ndo vihio kanisa.
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Weka aliyoongea juzi juzi kwa kiswahili tu, tunataka uwezo wa kuongea kwa kiswahili wa wote kwanza kwa sasa, then ndio muweke ya kuongea kiingereza sasa,
 
Lowassa atauboresha umaskini. That is the meaning of improving poverty. Kwa maana nyingine, Watanzania tutegemee kuwa maskini zaidi ya tulivyo sasa.
Ndo akili yenu wapumbavu kudeal na kuteleza kwa ulimi pasipo kutazama dhamira! Shame on u
 
Nashangaa na Wabongo! Wanasamehe makosa yoooote ya Kiswahili, ila ikija Kiingereza. Watu wanasema kula badala ya kura, tena mgombea urais, fulaha badala ya furaha, mgombea huyo huyo..
Mna nini nyie?

Hapo unachaganya mambo! Makosa ya kisanifu ni tofauti kabisa na kosa la kushindwa kuoanisha na kulinganisha mambo!
Hilo la kwanza ni kosa la kawaida la lugha na humtokea mtu yoyote yule na lakini hilo la pili ambalo fisadi Lowasa amelionyesha ni kosa la kiakili yaani maana yake ni kwamba amepoteza uhalisia wa kile anachokiongea na pia hafikirii kabla ya kuongea sasa kuwa na mtu kama huyu kama Raisi wa nchi ni hatari sana kwa kwani akili zake siyo nzuri!

Halafu isitoshe hakuna sababu yoyote ile ya yeye fisadi Lowasa au hata Magufuli mwenyewe kuongea kwa Kiingereza!
 
Watanzania wenye akili na uelewa haya sio yakuyajadil kabisa, hebu tujiulize maisha yetu ya watanzania, then tuamue kuwaachia dora wezi wa ccm au tuamue kumpa dora mtu mwenye uthubutu na aliyezungukwa na watu makin na wenye uchungu wa kutupa katiba mpya itakayo leta usawa na maisha safi..... lugha sio kitu chaaa maana sana

Watu makini wapi? Mbowe?
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Uliweka neno Kizungu kwenye msg subject, ikanipa taabu. Ndani ndo umeandika kiingereza. Si unaona makosa tunayoyafanya?

Hata hivyo ktk viongozi wote waliopita, hesabu ni nani ambaye kiingereza kinapanda. Anza na Nyerere, Mwinyi, Mkapa na huyu anayemaliza. Wadhaifu ni wengi kuliko wanaoweza. Hotuba zina vichekesho na methali na nahau, kiswahili kinapotumika. Ktk kiingereza, hata rais wetu hacheki kwa kukosa vichekesho.
 
Umechemka kabisa msiwe mnaanzisha uzi unaokufunga mwenyewe ndio maana amesema elimu, elimu, elimu.

Hivi unajua maana ya improve namatumizi yake au neno improvement???

The correct word would have been reduce poverty level. Improving poverty means accelerating poor status to more poorer and subsequently to the poorest.
 
Back
Top Bottom