Lowassa na Kiingereza chake!

Lowassa na Kiingereza chake!

Watanzania wenye akili na uelewa haya sio yakuyajadil kabisa, hebu tujiulize maisha yetu ya watanzania, then tuamue kuwaachia dora wezi wa ccm au tuamue kumpa dora mtu mwenye uthubutu na aliyezungukwa na watu makin na wenye uchungu wa kutupa katiba mpya itakayo leta usawa na maisha safi..... lugha sio kitu chaaa maana sana
 
Improvement Could be Negative Or Positive like saying Clockwise and ant clockwise kwa mfano I had improved now from poverty due to agricultural projects

Hajui kiingeredha babaangu! WE ERADICATE POVERTY AND NOT IMPROVE IT!
NB: Sio kila ukiona chongo uliite kengeza, kuna muda wa kuliita koleo koleo na wala sio kijiko kikubwa!
 
Lowassa atauboresha umaskini. That is the meaning of improving poverty. Kwa maana nyingine, Watanzania tutegemee kuwa maskini zaidi ya tulivyo sasa.

8Naumiza sana hiyooo ndo akili ya mpiga kura, hivyo ndo vigezo vya rais anayempenda....... hapo ni meaning ya kejek but In real case... rudin shule ambao hamjamwelewa lowassa anamaanisha nn hapo
 
Improvement Could be Negative Or Positive like saying Clockwise and ant clockwise kwa mfano I had improved now from poverty due to agricultural projects

Correctly described mkuu!!! Mpe mafunzo ya kimombo huyo mccm ajue jinsi neno improve linavyoweza tumika positively and/or negatively!!!! kukariri ni shida kwetu watz na ndo'maana kipaumbele cha EL ni elimu, elimu, elimu!!!!
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Kama hii habari umeamua kuianzishia thread JF na kutaka kuijengea hoja that Means something is wrong upstairs kwako,au kwa Maana nyingine wewe ni Mwepesi sana kiasi cha kushindwa Ku discuss issues.
Hii inaonesha nyie ni wale watoto waliosoma English Medium, wakaishia kujua Kuongea Kiingereza tu Frequently na kujiona wao ndio kila kitu.
Lakini kwenye real academics ni weupe Peeeee kichwani.
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Umechemka kabisa msiwe mnaanzisha uzi unaokufunga mwenyewe ndio maana amesema elimu, elimu, elimu.

Hivi unajua maana ya improve namatumizi yake au neno improvement???
 
Hajui kiingeredha babaangu! WE ERADICATE POVERTY AND NOT IMPROVE IT!
NB: Sio kila ukiona chongo uliite kengeza, kuna muda wa kuliita koleo koleo na wala sio kijiko kikubwa!

Umechemka jombi kabisa msiwe mnaanzisha uzi unaokufunga mwenyewe ndio maana amesema elimu, elimu, elimu.

Hivi unajua maana ya improve namatumizi yake au neno improvement???
 
improve

ɪmˈpruːv/

verb

verb:-improve; 3rd person present:-improves; past tense:-improved; past participle:-improved; gerund or present participle:-improving

make or become better.
Unatafusiri neno badala ya "phrase" hapo ndipo ulioshindiwa! Wanaoijua lugha huwa wanatafsiri ujumbe au wazo na sio neno moja moja!
 
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?

Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;

Watch "Edward Lowassa" on YouTube - https://youtu.be/j2MTRKdDKXk

Improvement Could be Negative Or Positive like saying Clockwise and ant clockwise kwa mfano I had improved now from poverty due to agricultural projects

Ni kweli brother but itadepend with the context and structual arrangements of words in which the word has been used, angalia context ulipolitumia hilo neno na context alipolitumia mheshimiwa, its obvious mhashimiwa kachemka, alichokifanya nikutaka kutafasiri kiswahili direct kwenda kingereza, kumbe ni maji na mafuta.
 
Da englsh au pushup haztawasaidia wtz kabisa huyu jamaa ni mweupe sana kichwan hata hajui matmizi ya misamiati
 
Unachekesha sana wewe bwana.kwani neno "improve" umelielewaje?.wewe ndio ujuwi english sasa.pole sana brother.Hujawahi sikia negative or positive improvements?.😀😀😀
you spoke my mind mkuu!! watu kingereza hawajui kabsa, angalien hata filamu za nigeria mjifunziage humo
 
> Forum > General Forums > Jukwaa la Siasa > Lowassa na Kizungu
Reply to Topic: Lowassa na Kizungu
Message:
 
Unatafusiri neno badala ya "phrase" hapo ndipo ulioshindiwa! Wanaoijua lugha huwa wanatafsiri ujumbe au wazo na sio neno moja moja!

Ujumbe huwasilishwa kwa kutumia maneno, ishara n.k. Ukitumia maneno na ishara visivyo ujumbe unaweza kufika but si kwa maana iliyokusudiwa. Wapambe wa EL msitake kumlisha EL kile ambacho hakukisema, inawezekana alikusudia hicho mnachokiamini but lugha imempiga mwereka
 
improve

ɪmˈpruːv/

verb

verb:-improve; 3rd person present:-improves; past tense:-improved; past participle:-improved; gerund or present participle:-improving

make or become better.
So, one can not improve his or her poverty level?
 
Improvement Could be Negative Or Positive like saying Clockwise and ant clockwise kwa mfano I had improved now from poverty due to agricultural projects

hahahahaaaaa kaka ushatumia neno FROM hapo tofauti na alivoongea EDO iyo from yako ndio imefanya iwe negativu...ila blaza EL kafuka tyuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom