Elimu au hekima si wa anayezunmza Kiingereza tu. Wachina, Warusi, WaIrani, Wakorea, Wajapani wote wanasoma kwa lugha zao na wengi hawawezi Kiingereza, lakini wanapeleka satalaiti kwenye sayari. Haya ni mawazo ya kutawaliwa. Na kwa nini Kiingereza tu, kwa nini hamtaki wazungumze pia Kitaliano, Kifaransa na lugha nyingine? Au kwa sababu mmetawaliwa na Waingereza?
Yaani wee hujui kama CNN wakitaka kuzungumzana na mtu asiyejua Kiingereza hupata mkalimani?