Toka hapa na Akili za kitumwa, kingereza sio lugha rasmi kwetu, Putin huongea kirusi anapohojiwa na CNN o bbc, acha us%/;nge.. Ndio wote nyie mnao dhani kuongea kingereza kwa mtoto ndio kaelimika... Puuuuf.... Magamba Akili zenu fupi Sana .Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri
kiingereza ni lugha ya waingereza. we leo ukijifunza kispanish, au kirussia, tukucheke kwa sababu hujui vizuri?? kwani ni lugha yako ya kuzaliwa?....kujua kingereza sana sio sifa nzuri, ni dalili ya kutawaliwa kiutamaduni (cultural imperialism)
Kazi ipo!!!! Vipi kiingereza cha Mh. JK na Rais wa China? Kisha tupime maendeleo ya China na hapa kwetu kama hoja ni lugha... UTUMWA MWINGINE... HERI KUNYAMAZA KULIKO KUROPOKWA.Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri
Tutajua akichukua kiti hapo 25oct asubuhi 8:30