Lowassa na Drunken Master Kungfuu style

Mkuu hizo link zinatumika kwenye simu pia??
 
Last edited by a moderator:
Dah!Lowassa in nourmer. kama drunken master wa politiki.wamepaniki sasa hvi wanahonga wasanii wahamie CCM.kibaya wanachukua pesa na wanaendelea kutoa ishara za support Ukawa
 
Last edited by a moderator:

Haaaahaaaaaaa..... Lowassa kama Bruce Lee vile... daaah...!!!

✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

UKAWA, LOWASSA chaguo la Mungu...!!!

Mungu akiamua, mashetani yanahangaikaaaaa, na yataishia ktk moto wa jehanamu
 
Ndio mtazamo wako
 
Hahaaaa,,, kwa ufupi hasomeki kwa adui yake
 
Kama mzima hivi kumbe ndio anaumwa.....Kama atashinda hivi kumbe ndio anashindwa.!
 
Kama mzima hivi kumbe ndio anaumwa.....Kama atashinda hivi kumbe ndio anashindwa.!

Sijuwi umekula maharagwe ya wapi wewe......unakuwa kama mtoto mchanga kabebwa mgongoni kwa mana yake....kama hujielewi vile... tukutane oktoba 25....utaisoma namba
 
Sijuwi umekula maharagwe ya wapi wewe......unakuwa kama mtoto mchanga kabebwa mgongoni kwa mana yake....kama hujielewi vile... tukutane oktoba 25....utaisoma namba

Hayo pia ni maoni,kwanini mnapenda kulazimisha,sio lazima lowasa au chadema ipendwe na kila mtanzania.hio ndio maana ya vyama vingi.
 
Dah!Lowassa in nourmer. kama drunken master wa politiki.wamepaniki sasa hvi wanahonga wasanii wahamie CCM.kibaya wanachukua pesa na wanaendelea kutoa ishara za support Ukawa

Kamanda hili la Lowassa litaandika historia kama siyo duniani basi itakuwa Afrika!

Tarehe 25/10/2015 ndiyo tutajua mbivu na mbichi!!
 
Kikwete na ccm watajuta kumfahamu Lowassa
 
Kama analeta mabadiliko vile lakini kumbe ndo tunampa dili atupige tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…