Lowassa Must Fail - By Hooks or Crooks

Lowassa Must Fail - By Hooks or Crooks

Don't repeat again (note with red color down) to say that
He was but wants to play its part.
My brother we are talking of the future and you are taking us to the past. JK is the past now bro. We are shaping the future and Lowasa is not in it.
 
Alipokuwa waziri alificha kucha, alipokuwa waziri mkuu zikajitokeza, hakumaliza hata miaka 2, chali!

Sasa ndiyo kaonekana kabisa, na anasema wazi wazi, fedha anayotumia kununulia watu ni ya rafiki zake.

Wewe mbona rafiki zako hawakupi?

Dada faiza unamchukia lowasa
 
We will take whatever means to bring down Lowasa- mark my words. Lowasa must fail because behind him there is a huge group of hooligans, thieves, buglers, drug dealers, stupid so called great thinkers, prostitutes, robbers, economic sabotagers e.t.c. That said, allowing Lowasa to win , is allowing our society to leave in doom, which no right thinking member of the public should allow this to happen. Lowasa watch this space.
Correct the bolded text to make your thread clear!
 
Upumbavu mnaoufanya ipo siku utakuwa hadharani!!! Mungu huwa hamfichi mnafiki!!,Fox na hao waliokutuma wa Lumumba dhambi itaendelea kuwatafuna kwani ina maana hujui kwa nini ulimuita Dr.salim hezbollar!!!, Ni mambo mengi machafu ambayo mnaandika sana ambayo ni mbinu ambayo le muntuz kapendekeza kwamba mumchafue sana ili muda wote iwe ni kujibu tuhuma!! UPUMBAVU wenu utawatafuna daima!! Le muntuz alikosea kwa kuziweka hadharani lakini hata uchafue vipi EL atasimama kwenye ukweli na kama mlivyoshindwa kumvua gamba kwenye kamati kuu alivyoshusha nondo za RM na akilalamika kwa nini anaitwa fisadi wakati mkuu ndio anajua kila kitu na mhusika mkuu!! Wote tulipata live toka dom na ambao wana akili wamejitenga na upumbavu wenu!!.
Ni aibu kwa msomi kama wewe keep in mind kwenye internet hakuna siri na watu wanakufahamu na wanakujua kuwa wewe una akili timamu ila wajifanya PUMBAVU ili upate malipo na serikali na chama dhalimu viendelee kututawala!!!

Hata mimi sijui kwa nini sisi ni maskini by JK

Ikiwa kwa fikra kama hizo halafu unajiuliza kwanini wewe ni masikini basi ujuwe wewe ni masikini wa mawazo.

Kuna dhambi zaidi ya kununuliwa na binadam mwenzio huku unafurahia?
 
Nobody can divert the power and will of the people thats why its called governmnet of the people for the people by the people.always in your dream remember to rule tanzania you needs peoples approval.
 
We will take whatever means to bring down Lowasa- mark my words. Lowassa must fail because behind him there is a huge group of hooligans, thieves, buglers, drug dealers, stupid so called great thinkers, prostitutes, robbers, economic sabotagers e.t.c.

That said, allowing Lowassa to win , is allowing our society to leave in doom, which no right thinking member of the public should allow this to happen.

Lowassa watch this space.

Alipokuwa waziri alificha kucha, alipokuwa waziri mkuu zikajitokeza, hakumaliza hata miaka 2, chali!

Sasa ndiyo kaonekana kabisa, na anasema wazi wazi, fedha anayotumia kununulia watu ni ya rafiki zake.

Wewe mbona rafiki zako hawakupi?

Kuna taarifa kuwa rafiki yake Rostam kauza 17 % ya share zake na kupata around 300 billions Tshs. Na ndo hizo zinahainga kumpeleka ikulu. Sasa jiulize akishaipata hiyo ikulu anayarudishaje hayo mapesa huyu raia wa Iran? Nasikia ameahidiwa kukabidhiwa kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi ndo akiendeshe kwahiyo suala la kupata umeme wa uhakika wa bei nafuu litafutika maana atakuwa anawauzia TANESCO umeme kwa bei anayotaka yeye, mpo hapo. Pia tunachakarika kuboresha mambo banadarini ili tupate pesa za kutosha kutoka hapo, Lowasa akipata kamuahidi swahiba wake Karamagi kupitia kampuni yake ya TICTS kuendesha shughuli za upakuajia na upakiaji mizigo huku wakitumia vifaa vya TPA na shughuli zingine kupewa rafiki zake mafisadi kama Chenge etc. Kwahiyo piga kampeni kumkataa kabisa Lowasa. Mimi nilishaanza na kwenye facebook na ndugu zangu huko kijijini wengine walikuwa wanampenda nimewaambia waachane naye kabisa, hafai hata kidogo.
 
Ikiwa kwa fikra kama hizo halafu unajiuliza kwanini wewe ni masikini basi ujuwe wewe ni masikini wa mawazo.

Kuna dhambi zaidi ya kununuliwa na binadam mwenzio huku unafurahia?

Jamaa ameinunua CHADEMA na watu humu wanashabikia tu. Ikitokea ashinde hahahahaha, atawacharukia hawataamini. Anyway bahati yao maana jamaa yao hashindi ng'o
 
Lowasa hafai hata ujumbe wa nyumba kumi.
ilikuwaje JK akamnadi kule Monduli 2010!!!? na kinana alipomsifia ya kuwa ni 'jembe'!! teh teh teh! utake, usitake, una miaka kumi ya kuwa chini ya kaafir unless uhamie Zanzibar!
 
Dhuu, Kama umeandika kizungu hivi, basi wewe inaonekana ulisomea ukiwa umekaaa kwenye dawati sisi wenzio ni class ya 1995.com hatukuwahi kuona madawati darasani ila siku ya mtihani ndo tulikalia dawati ngoja tujaribu na LOWASA tuone kama watoto wetu wanaweza pata madawati, walimu kulipwa madai yao, maji safi vijijini, huduma nzuri kwenye mahospitali, Rushwa kama atatokomeza, ufisadi, kufanya kazi kwa mazoea , ubadhirifu kwenye almashauri na wizara zote na mengine yote yanayo fanana na hayo ambayo ni machukizo hata kwako wewe

Hatuichukiii ccm bali hatutawapa kura kutokana na kushindwa kutekeleza hayo kwa kipindi cha Miaka 54 tangu uhuru
 
ilikuwaje JK akamnadi kule Monduli 2010!!!? na kinana alipomsifia ya kuwa ni 'jembe'!! teh teh teh! utake, usitake, una miaka kumi ya kuwa chini ya kaafir unless uhamie Zanzibar!

Ohoooo, kwani ni mara ya kwanza? Nyerere alikuwa nani? Mkapa jee?

Hilo wala lisikutishe, kwa kifupi, Lowasa hatotawala na utaniambia?

Khaa mgonjwa? mnhh!! Ni punguani tu ataempigia kura.
 
Back
Top Bottom