Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

nilichokiona hp ni mamvi kumjibu membe kwa kutumia kipindi kile kile. kwangu ni kama nilikuwa namwangalia masanja mkandamizaji akikandamiza kwenye kipindi cha ze comedy.
 
Binafsi namchukulia Lowassa kuwa nafuu kuliko wana CCM wenzake wengi. Ni afadhali ya Lowassa kuliko Samuel Sitta, Nape Nnauye na JK
 
Ameyasema haya alipokuwa akihojiwa na ITV kipindi cha dk 45 ambacho ina elekea amekiandaa yeye mwenyewe Home kwake na sio Studio kama ilivyo Desturi ya ITV takukuru inafa wamuulize Semenyu why!

Amesema Majeshi yetu na vyombo vya usalama hayapo makini kwani Wageni na wahamiaji haramu wamegeuza njia Tanzania kwani wanakamatiwa maoneo ya mbali sana wengine hadi mipakani mwa tanzania na malawi kha! nchi hii haina ulinzi kabisa vijembe hivi kwangu naona kama analipiza kisasi baada ya Jeshi kumzodoa pale alipotamka kuhusu vita na malawi kuwa yeye sio amiri Jeshi Mkuu.. Ameomba wananchi waisaidie ulinzi Ajui kuwa hawa si marafiki na wananchi ni marafiki wa CCM tu..

Lakini Huu Ujumbe utawaendea vizuri Mwamunyange na Kova(Mwigizaji na tunasubiri majibu yake kuhusu Lowassa)

Balozi zetu zinatia aibu nchi za nje watu wanalalamika na kuomba pesa lakini wizara imekaa kimya tu... Membe Upo????

ila Kaongea Ukweli Mtupu kuhusu mipaka yetu...

Kama Ndoto zake ni Uraisi naomba asije gombea kwani kuongea kwa ujasili ni zero..
 
Ameongea vizuri ameonyesha msimamo kuwa ziwa nyasa tuna share, kiongoz anatakiwa alinde mipaka ya nchi, the way forward wakulima waruhusiwe kuuza mazao popote penye maslahi, tunahitaji kilimo cha mashamba makubwa of course hili linaeleweka.
Mkulima awezeshwe kwa kuwa na bank ya wakulimwa wakopeshwe pembejeo, tuwe na sera ya madini, na mengine mengi mazuri siyo kila kitu kipingwe!

Kwa mifeza aliyonayo alipaswa kuonesha mfano has ikizangatiwa kuwa hana ajira rasmi kati ya ukulima au ufanyakazi ambao ndio msingi wa chama chake. Kwa hiyo anaongea asichokiamini.
 
Namsikiliza kwa makini sana!
Ndiye Raisi wako huyu umtakaye mbona hana Confidence zaidi ya kulalamika tu ni kweli aliyoyasema JK Kule Maputo wanaotaka Vita ni wapinzani...


tulete matrekta, matrekta matrekta!

Hata enzi za Bwana Yesu walikuwa wameacha jembe la mkono.

Walete meengi zaidi, mvua je?

Leo kapita wanapouza akakuta yameisha akafarijika sana.
Mvua za kutengeneza zinapatikana Indonesia alishawahi tumia pesa za walipa kodi kwenda kuzinunua.. Mpeni uraisi atazileta. Trekta za Shimbo na yeye so amefurahia biashara yao imeenda vizuri na ataleta mengine!! kwa jinsi asivotaka watu wa Songea wasiwauzie watu wa Arusha Mahindi wayauze Zambia oi.. Liwalo na liwe kweli
 
If I were his daughter, I would advise him to retire from active politics and concentrate more on improving his deteriorating health. His seemingly irresistible presidential ambitions, which seem now to be really beyond his reach, only serve to beguile him of his body strength.

I second this. For sometime now I have not seen the energetic lowassa whenever he speaks...its time he affords some 1 year vacation to the bahamas..
 
Semunyu leo kaonyesha udhaifu sana. Imekuwaje mahoojiano hayakufanyika mazingira tuliyozoea? Kweli Lowassa chiboko!
 
Kipindi hiki nilishaacha kukiangalia maana huyu mwandishi ni muoga na anauliza maswali si ya muandishi aliyekubuhu. Utadhani ni mwanafunzi wa shule ya uandishi vile! aaagggrrrrr kupoteza muda tu na kula pesa ya wadhamini
 
kama mmekuwa makini kumuangalia afya yake siyo nzuri anazungumza uku anatetemeka sana hata mikono yake aina nguvu kabisa ana stahili kupumzika sidhani hata kama atapitishwa na chama chake kugombea uraisi kama ataweza zunguka kwa muda mrefu na kwa hali yake hii anatia shaka kabisa
 
Back
Top Bottom