Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

Siku hizi makanisa yamebaki kutukuza pesa. Hayaangalii tena masuala ya uadilifu ndio maana jamaa anayatumia kujisafisha, na kwa kweli kafanikiwa makanisani.

Tusubiri sanduku la kura.

Yaani mzee Mhas.ASKOFU NDOROBO?mtaangamiza kanisa kwa kuingilia utabiri wa hayati Julius K Nyere juu ya huyu mtu.
 
Hawa watu wanatuchangisha sadaka kila jpili kwa mwezi mzima ili kumsaidia Askofu Salitarius kuanzisha jimbo na huku wanawaalika watuhumiwa wa ufisadi kuchangisha hela? Au ndio kina Zakayo?
 
" JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI".

"LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU , KWA MUNGU LINAWEZEKANA!"

Ili mtu aupate urais, ni lazima awe ndie chaguo la Mungu, ndio maana rais aliyepo J. Kikwete ni chaguo la Mungu!.

Kwa vile hatujui Mungu ametuchagulia nani kwa 2015, visions nyingi zinaonye rais ajaye "lazima" atoke Kaskazini!.
Kwa vile sisi wote ni binadamu, nawasjauri msibeze sana, angalieni kwa makini Mungu amemchagua nani?. Uteuzi umeshafanywa kura ni endorsement tuu ya chaguo la Mungu!.
 
Hakuna shaka sasa Maaskofu nao wameingia kwenye mikono ya EL. sijui watahubiri nini tena makanisani. Hizo fedha zitawatoka puani. Tafakarini sana mnayoyatenda. Kama hamkuwa na fedha za kuanzisha jimbo kwanini mlilianzisha?
 
Mwizi ULIMSHIKA? kwanini usimpeleke court? Una ushahidi? Come clean & be as clear as possible mwizi vp?
Stop this kiroja hauna hoja...

Kwa nini alijiuzuru uwaziri mkuu baada ya utapeli wa RICHMOND? aliogopa nini? kama sio mwizi kwa nini hadi leo kakaa kimya na hajatusaidia wananchi kuokoa biliono 111 tunazodaiwa na Rostam rafiki yake?
 
This is too much now!! Yaani jamaa anaingia magogoni hivi hivi kiulaini huku akiwatia hofu akina Membe hadi kujitoa kwenye kinyang'anyiro. Lol.

A VERY GOOD AND BRIGHT COMMENT,HUYU AKIPITISHWA NA CCM EHEEEEEE LAZIMA APIGWE MADONGO NA KILA MTU,MAKANISA YATAKAYOMTUMIA NA KUTUMIWA yachafuliwe kwa nguvu zote[WORKSHOPS OF DEVIL]
 
Yaani mzee Mhas.ASKOFU NDOROBO?mtaangamiza kanisa kwa kuingilia utabiri wa hayati Julius K Nyere juu ya huyu mtu.
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, RIP, hakuwa malaika kutofanya makosa, alikuwa ni binadamu tuu, hakuwa mtabiri kufanya utabiri wala hakuwa nabii kuleta maneno ya unabii!. Ndio kwanza tuko kwenye mchakato wa kumtangaza awe Mtakatifu. Tuungane kumuombea Mungu azidi kumrehemu atangazwe Mwenye Heri!.
 
" JIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI".

"LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU , KWA MUNGU LINAWEZEKANA!"

Ili mtu aupate urais, ni lazima awe ndie chaguo la Mungu, ndio maana rais aliyepo J. Kikwete ni chaguo la Mungu!.

Kwa vile hatujui Mungu ametuchagulia nani kwa 2015, visions nyingi zinaonye rais ajaye "lazima" atoke Kaskazini!.
Kwa vile sisi wote ni binadamu, nawasjauri msibeze sana, angalieni kwa makini Mungu amemchagua nani?. Uteuzi umeshafanywa kura ni endorsement tuu ya chaguo la Mungu!.

mpka sasa hivi kuna manabii watatu wameshaoteshwa rais ajae
 
Hii inaonesha EL anawaandaa kwanza wananchi wake kumcha mungu ili 2015 akiingia kila raia awe na maadili mema, hapa tegemea wizi, rushwa, kuporomoka kwa maadili ya uongozi kutoweka kabisa kuanzia 2015. EL anahitaji kizazi kilichojengeka kimaadili cha kuifikisha tz yetu tunayoitaka.

wito wa Narubongo ni kuwahimiza watanzania wote wenye nia njema kujitokeza kwa wingi 7th march 2012 @ diamond jubilee pasipo kujali itikadi za udini, ukabila, uraia na personal issues ili tukamilishe kazi hii ya kulieneza neno la mungu na kuijenga tanzania yetu yenye maadili

ELairLines2015

Sorry,out of topic-Vipi kuhusu mabadiliko ya katiba ya ccm ya juzi?anasema yeye atachugua nini kati ya ubunge na ujumbe wa NEC??
 
mpka sasa hivi kuna manabii watatu wameshaoteshwa rais ajae
Ndugu yangu Narubongo, acha tuu waendelee kuoteshwa, wako manabii wa ukweli na kuna manabii kibao wa uwongo, whoever atakayeshinda urais na kutangazwa mshindi ndio chaguo la Mungu!.
 
Hii inaonesha EL anawaandaa kwanza wananchi wake kumcha mungu ili 2015 akiingia kila raia awe na maadili mema, hapa tegemea wizi, rushwa, kuporomoka kwa maadili ya uongozi kutoweka kabisa kuanzia 2015. EL anahitaji kizazi kilichojengeka kimaadili cha kuifikisha tz yetu tunayoitaka.

wito wa Narubongo ni kuwahimiza watanzania wote wenye nia njema kujitokeza kwa wingi 7th march 2012 @ diamond jubilee pasipo kujali itikadi za udini, ukabila, uraia na personal issues ili tukamilishe kazi hii ya kulieneza neno la mungu na kuijenga tanzania yetu yenye maadili

ELairLines2015
Mkuu, sio kwamba EL anawaandaa wananchi, ukweli ni kwamba EL anaandaliwa kuwa prezdaa wa Tz 2015. Hiyo ndiyo Vatcan kama ulikuwa hujui.
 
Anapoteza smuda wake tu Bw Lowassa, baba wa Taifa Mwl Nyerere alikwisha mfuta forever Uraisi waa TZ atausikia kwa mbali tu
 
nipe ushahidi ni lini na wapi EL alikwenda kuomba kuhudhuria harambee? yaani hata ujenzi wa kanisa mnataka tuende kuomba misaada Europe? hapana ni wakati wakujitegemea. Kwapamoja tunaweza kuchangishana na kufikia malengo.

Atakaposimama na kueleza bila kumungunya maneno kilichotokea kwenye mkataba wa richmond na kwa nini alijiuzulu uwaziri mkuu na kuhusika au kutokuhusika na sakata la EPA hapo ndipo atakapoanza kuminika tena ila hii ya kwenda makanisani ni kurudisha kidogokidogo alichoiba!! kwani kati ya watanzania 40million+ hakuna mtu mwingine zaidi yake?? kama unamtaka sana kanywe nae chai ila urais hapana
 
Unadhani hii ni nini? Ushetani tu,kwani tumeshuhudia wengine wakiendesha harambee wanaingiliwa na nyoka.WOTE WANAO MTUMIA EL WAWEKE REKODI ILI YATAKAYO WATOKEA WASHUHUDIE UNLESS WAWE Wanafiki kwake EL NA WAKWELI WA MUNGU.NA HERI WALIO ONESHA UJASIRI LEO KUMPINGA SIOI KULE ARUSHA WAMEFANYA KAZI YA MUNGU.NATAMANI HARAMBEE HIYO IKOSE WATU.MUNGU AFUNGE USHETANI.

hivi chuki yako kwa el ni nini?kakosea nini?acha ufirauni
 
Hakunaga anayefaa kuwa rais wa JMT 2015 kama Lowassa.Time will..

acha tu aturudishie fedha zetu walizotuibia ili tujengee makanisa. Maana fedha za kujengea shule,hospitali na miradi ya maji walihamishia mifukoni mwao.
 
Back
Top Bottom