Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

Tatizo liko wapi? Kama kaiba, kazizalisha na ameamua kuwarudishieni capital yenu kupitia nyumba za Mungu:lol:
VIVA Lowasa, penye zuri lazima usifiwe mkuu. Egal was man sagt, Du bist Supper.
 
adui namba moja wa mchawi wa kiafrika ni maendeleo. Yes you are <--bold umeandika ushirikina mtupu kama ulivyo, wewe 2012 hii bado unaimani za mkibuyu??? makanisa mengine bana yani wao kazi yao nikuwajaza waumini wao vitisho badala ya kuwajenga jinsi ya kuishi maisha ya kumpendeza mungu, nyinyi ndio wale wa yale makanisa ambayo katika masaa 3 ya ibada mnatumia masaa 2:45 kumuongelea shetani na matendo yake kwa hiyo mkitoka huko mnakuwa na uelewa mpana zaidi juu ya shetani kuliko mungu kama unavyojionesha hapa.

WITO: Tujitokeze kwa wingi katika harambee ya kuijenga himaya ya mungu.. sambaza ujumbe huu kwa wengine viongozi wa kanisa katoliki ni makini sana na kama wangeona EL ana tatizo wasingemuita
Mkubwa wangu kwa namna unavyoichangia hii mada ni ama una uelewa mpana sana kwamba ni harambee ya kimagumashi, lakini ni kampeni ya kuutaka "URAHISI" mwaka 2015, au unapeperusha bendera yake! Sina kipingamizi na mbinu hii, lakini itashusha laana kutoka kwa Mungu wa Haki asiye Mnafiki anayelipa kisasi kwa wanaomdharau na kumfanyia kejeli! Unajua hata ukiimba mapambio makali lakini staili ya kuyacheza mapambio yale ikawa ni "KIDUKU" wenzako watachelewa kukuelewa msimamo wako!
 
Naomba kujua kitu kimoja,hv ni misikiti na makanisa uwa yanamualika Lowassa au yeye ndie anaye ombwa kualikwa?
 
JF kuna mijinga ya kila type, na huwa nikiona tu Avatar ya huyu alieanzisha hii thread basi huwa sitegemei habari yoyote ya maana zaidi ya upumbavu tu!!
 
Nafurahi umenihukumu pia,lakini fahamu sauti yangu ni Mungu kama yako!je wewe mtakatifu unafikiri kasi hii ya kuchangisha angefanya kwenye dispensari na shule za kata alizohamasisha Mungu angempa baraka gani? Acha upopombo na uhabithi kabwela mkubwa wewe! think great ebooo

soma post zangu za nyuma kuna mtu ameuliza swala kama lako nimemjibu na wewe jibu lako ndio hilo
 
JF kuna mijinga ya kila type, na huwa nikiona tu Avatar ya huyu alieanzisha hii thread basi huwa sitegemei habari yoyote ya maana zaidi ya upumbavu tu!!

karibu kwenye harambee kaka
 
Baadhi ya Watz ni wa ajabu sana! Yaani hawataki rais mtendaji!?
Hakuna mtendaji ndani ya CCM, hicho chama ni kijiwe cha Majambazi tu, mnapoteza muda wenu bure kufungua ID mbilimbili hapa JF kwa harakati ambazo hazina tija kwenu na familia zenu kama mnazo.
 
hayo ni maswali yasiyo na majibu.. hapo umemkimbiza uchi harudi tena
Najua huyo Jamaa ana wafuasi wengi wewe ukiwa ni Mmoja wapo,Najua kuwa ana strategies nyingi sana za kumuwezesha kugombea urais 2015,hata mtetee,mumpigie chapuoa/ajipigie chapuo,Kumbuken kuwa kumsimamisha huyo Bwana kutarahisisha ile kazi ya Kukifanya Chama chenu cha Magamba kuwa cha Upinzani.
 
Siamini kama kuna watanzania wajinga na wapuuzi kama hivi....itatuchukua karne nyingi watanzania kuwa waelewa na kujifunza toka vijiji vya wenzetu mnaibiwa mnashangilia.
 
Ninachoamini, EL hakushiriki mpango wa ukwapuaji pesa hizo. Kwa kuilinda nchi isitikisike, isiyumbe, isianguke ndipo akajitoa muhanga kuiokoa serikali yake.
Kanisa/Misikiti inajua fika juu ya kushiriki au kutoshiriki kwa huyu EL, uonapo hususan Catholics wanathubutu kumualika...jua wameshajiridhisha.
RC wanazo system za habari kuliko hata Usalama wetu wa Taifa hapa, wanavyo vyanzo vikubwa na vyenye kuaminika kwa chochote wanachokitafuta. Mafundisho wapatayo katika kusomea upadri, na ngazi nyingine ktk mtiririko wao kimafundisho...ni zaidi ya course za usalama. Hivyo, naimani kubwa kabisa kuwa EL ameshabainika kuwa ni kafara kwa kuinusuru nchi, japo tunakataa kuamini ila AMA mwaka huu kipindi cha chaguzi za ndani za CCM tutamsikia akifunguka AU mwaka mmoja kabla ya 2015 atafunguka tena kwa ushahidi mpana kabisa.
 
EL ana roho ya paka bado tu anautaka urais!!! Kwani ni lazima awe rais wa nchi hii?
 
Siamini kama kuna watanzania wajinga na wapuuzi kama hivi....itatuchukua karne nyingi watanzania kuwa waelewa na kujifunza toka vijiji vya wenzetu mnaibiwa mnashangilia.

Inasikitisha sana ndugu yangu, sijui mchawi ni nani. HAIWEZEKANI WATU MAKINI KUMSHANGILIA HUYU BWANA.
 
Inasikitisha sana ndugu yangu, sijui mchawi ni nani. HAIWEZEKANI WATU MAKINI KUMSHANGILIA HUYU BWANA.
hakuna mchawi,huyu jamaa anachafuliwa na wana CCM wenzie,nani asiye toa na kupokea rushwa ktk Tanzania?
 
Baadhi ya Watz ni wa ajabu sana! Yaani hawataki rais mtendaji!?

mzee hatutafuti CHIEF EXECUTIVE OFFICER tunatafuta rais,huyo mtendaji wako asubiri labda uwaziri mkuu au uwaziri wa serikali za mitaa ndiko anakohitajika huko...
 
Ninachoamini, EL hakushiriki mpango wa ukwapuaji pesa hizo. Kwa kuilinda nchi isitikisike, isiyumbe, isianguke ndipo akajitoa muhanga kuiokoa serikali yake.
Kanisa/Misikiti inajua fika juu ya kushiriki au kutoshiriki kwa huyu EL, uonapo hususan Catholics wanathubutu kumualika...jua wameshajiridhisha.
RC wanazo system za habari kuliko hata Usalama wetu wa Taifa hapa, wanavyo vyanzo vikubwa na vyenye kuaminika kwa chochote wanachokitafuta. Mafundisho wapatayo katika kusomea upadri, na ngazi nyingine ktk mtiririko wao kimafundisho...ni zaidi ya course za usalama. Hivyo, naimani kubwa kabisa kuwa EL ameshabainika kuwa ni kafara kwa kuinusuru nchi, japo tunakataa kuamini ila AMA mwaka huu kipindi cha chaguzi za ndani za CCM tutamsikia akifunguka AU mwaka mmoja kabla ya 2015 atafunguka tena kwa ushahidi mpana kabisa.

kama makanisa na misikiti wao wanajua kwamba ni msafi kwa nini wasimpe cheo huko ili kwa watakatifu wenzake?kwanini anang'ang'ania siasa mpaka anafikia kuwapa sumu wanaompinga?
 
Back
Top Bottom