Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

Kama ameanza kutunyanyapaa masikini kabla hajaingia hata Ikulu siku akibahatika kuingia Ikulu kuna hatari ya kuja kuagiza maloli ya zunguke mtaa kwa mtaa kutusomba masikini na kutumwaga baharini tukiwa hai kama Idd Amin alivyowafanya waganda ili Tanzania nzima imilikiwe na matajiri kama atakavyo ifanya Ikulu kuwa ya matajiri.
 
Msitufanye kama nyerere, alituacha tukiwa masikini wa kutupwa, tunajipanga kupata kilo moja ya sukari na kipande cha sabuni, lowasa kasema jembe la mkono atalipeleka kwenye makumbusho limeshakuwa zana za kale, tumtaka huyo huyo. Kwa sasa huwezi hata kukadiria umri wa kijana wote wazee kwa jembe la mkono.
 
kwa mtazamo wangu tanzania inamhitaji lowassa ktk kila njanja inayojieleza na penye uhitaji wa kufikia uchumi unaotarajiwa

Huyu hajui alitendalo.Lowasa umeingiza nchi kwenye umasikini kwa wizi na kuunda magenge ya ujambazi leo eti utapambana na umasikin!
 
Kama ameanza kutunyanyapaa masikini kabla hajaingia hata Ikulu siku akibahatika kuingia Ikulu kuna hatari ya kuja kuagiza maloli ya zunguke mtaa kwa mtaa kutusomba masikini na kutumwaga baharini tukiwa hai kama Idd Amin alivyowafanya waganda ili Tanzania nzima imilikiwe na matajiri kama atakavyo ifanya Ikulu kuwa ya matajiri.
Hii kauli kakurupuka vibaya mno na huyu ana kila dalili ya kuja kulewa madaraka na kutukana au kukejeli watu.
 
Masikini na matajiri wote wameumbwa na Mungu na aliye mfanya huyu akawa tajiri na huyu akawa masikini ni Mungu.

Inakuwaje Lowassa anaejifanya kuwa ni mcha Mungu ashindwe kujua kuwa masikini ni wa Mungu kama tajiri alivyo wa Mungu,mpaka afikie kiasi cha kumuona masikini kuwa hatakiwi Ikulu isipo kuwa mwenye haki ya kuingia Ikulu ni tajiri?.

Kwa maneno kama haya,Lowassa ana weza akasema kuwa ana wapenda masikini?na ana weza akasema kuwa yuko pamoja na masikini? na wale watu waliokuwa wanapanga misululu na misululu kwenda nyumbani kwake wakidai kuwa wanakwenda kumshawishi ili agombee urais na wale ambao wanaendelea kujazana kwenye misafara yake ya kutafuta wadhamini ambao wengi wao ni waendesha bodaboda ambao ni masikini ana waweka katika kundi gani?.

Siyo kama ana waona ni watu wanao sumbuliwa na njaa wanaojipendekeza kwake ili waweze kushiba kwa kuwa yeye ni tajiri?na atakapo bahatika kwenda Ikulu masikini wote wa Tanzania si watakuwa kinyaa kwake?.
 
Msitufanye kama nyerere, alituacha tukiwa masikini wa kutupwa, tunajipanga kupata kilo moja ya sukari na kipande cha sabuni, lowasa kasema jembe la mkono atalipeleka kwenye makumbusho limeshakuwa zana za kale, tumtaka huyo huyo. Kwa sasa huwezi hata kukadiria umri wa kijana wote wazee kwa jembe la mkono.

Acha kumulisha maneno Lowassa,kasema kuwa masikini haifai Ikulu.
 
Very good. Abraham Lincoln once said' YOU CANNOT HELP THE POOR BY DESTROYING THE RICH'.
Huwezi saidia maskini kama wewe mwenyewe ni Maskini.

Vivaa Lowassa yuko sahii

Ndugu mtu anapoongea ni lazima awe na kumbukumbu, LOWASA katuambia kuwa hizi fedha anazotumia katika kampeni zake za kutafuta Urais anapatiwa na marafiki zake kwa kauli hiyo ni wazi na yeye pia hana fedha ila anategemea misaada kwa hiyo anachotafuta kwenda Ikulu ni kujipatia fedha ili asiwe ombaomba kwa marafiki zake.tofauti na hivyo basi ni vema tukamuogopa sana mtu huyu kwa kauli hizi zinazotatanisha inaonyesha wazi hana nia njema na Watanzania.
 
Masikini na matajiri wote wameumbwa na Mungu na aliye mfanya huyu akawa tajiri na huyu akawa masikini ni Mungu.

Inakuwaje Lowassa anaejifanya kuwa ni mcha Mungu ashindwe kujua kuwa masikini ni wa Mungu kama tajiri alivyo wa Mungu,mpaka afikie kiasi cha kumuona masikini kuwa hatakiwi Ikulu isipo kuwa mwenye haki ya kuingia Ikulu ni tajiri?.

Kwa maneno kama haya,Lowassa ana weza akasema kuwa ana wapenda masikini?na ana weza akasema kuwa yuko pamoja na masikini? na wale watu waliokuwa wanapanga misululu na misululu kwenda nyumbani kwake wakidai kuwa wanakwenda kumshawishi ili agombee urais na wale ambao wanaendelea kujazana kwenye misafara yake ya kutafuta wadhamini ambao wengi wao ni waendesha bodaboda ambao ni masikini ana waweka katika kundi gani?.

Siyo kama ana waona ni watu wanao sumbuliwa na njaa wanaojipendekeza kwake ili waweze kushiba kwa kuwa yeye ni tajiri?na atakapo bahatika kwenda Ikulu masikini wote wa Tanzania si watakuwa kinyaa kwake?.

Huyu jamaa hajui nini cha kuongea na aongee wakati na katika mazingira gani.Hii kauli ni ya kushangaza sana na inatosha kumuondolea sifa ya kuwa kiongozi.

Najiuliza Nyerere angekuwa hai leo hii angesema nini juu ya kauli hii?
 
Atuambie atapambanaje na umaskini bila kupiga vita ufisadi ambao hataki kuuongelea kabisa.
akisoma hii ninao uhakika kwamba atapepesuka na kuanguka , lowasa kitu ambacho hakijui kilivyo ni ufisadi , yeye anadhani hela za nchi hii zimetengenezwa kwa ajili yake tu !
 
Huyu ndie rais tunaye mtaka rais njaa titaishishia kuwa na njaa viva lowasa
 
Kama ameanza kutunyanyapaa masikini kabla hajaingia hata Ikulu siku akibahatika kuingia Ikulu kuna hatari ya kuja kuagiza maloli ya zunguke mtaa kwa mtaa kutusomba masikini na kutumwaga baharini tukiwa hai kama Idd Amin alivyowafanya waganda ili Tanzania nzima imilikiwe na matajiri kama atakavyo ifanya Ikulu kuwa ya matajiri.

Kw hyo ww unaupenda umaskini mkuu,ama unataka uonekane tu na ww ulicomment hapa
 
Huyu jamaa hajui nini cha kuongea na aongee wakati na katika mazingira gani.Hii kauli ni ya kushangaza sana na inatosha kumuondolea sifa ya kuwa kiongozi.

Najiuliza Nyerere angekuwa hai leo hii angesema nini juu ya kauli hii?

Mbna unaleta hadith kwenye hoja ya msingi aiseee,nyerere hakua na mawazo mgando kama ww,kwa sasa watz wanaiman na lowassa mno kuliko yyte hapa tz.
 
Albert Einstein said "AN EMPTY STOMACH IS NOT A GOOD POLITICAL AD VISOR"
 
Back
Top Bottom