Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

Can you prove that ama ndio zile zile za bulicheka!

Richmond na utajiri alio nao maana hana biashara yoyote inayojulikana kama alivyo Mengi etc. This confirms to the public to question his integrity!
 
Ni kweli Eddo huna njaa, pia ni kweli unauchukia umaskini ila una ubinafs uliopitiliza! Kwanza hamna mgombea urais mwenye njaa labda ile tamaa ya kujiongezea hata kisicho halali yako ambayo wewe unayo! Wee n MLAFI hivyo hutufai potelea mbali hata kama Ww n mkaskazi kama mimi, hata kama ww n mmeru kama mimi nasema HUTUFAI UTAUZA NCHI SIO KWA SABABU YA NJAA BALI KWA SABABU YA ULAFI!
 
Lowasa vipi huyu,basi ingekuwa hivyo Baba yao Paulo RUPIA ndo angeingia ikulu na siyo Mlm Julius Nyerere
 
Abraham Lincoln once said this" You cannot help the poor by destroying the Rich" end of quote.

It's high time Tanzanians should wake up and stop this inferiority complex fever of thinking being poor is a credibility.
Rafiki Yangu umesahau kuwa hii ni nchi Masikini? Maana yake ni kwamba Ukijitajirisha kwa kutumia mgongo wa watu masikini na kujifanya wewe Tajiri, na wewe ni masikini tu!!! Huo utajiri wako ni wa kwao huna haja ya kujitutumua.
 
Very good. Abraham Lincoln once said' YOU CANNOT HELP THE POOR BY DESTROYING THE RICH'.
Huwezi saidia maskini kama wewe mwenyewe ni Maskini.

Vivaa Lowassa yuko sahii

Kwaio ulichokiandika hapo ndo tafsiri ya lincoln alichosema au ulichokielewa?
 
Well said Leigwanani ENL hatuwezi kuongozwa na kiongozi anayesujudu umaskini. Eti mimi ni maskini, mtoto wa mkulima maskini nk. Tunataka mtu anayeuchukia umaskini kwani ni mojawapo ya maadui wa taifa letu.
 
Ufalme wa mbingu kwa masikini na kwa tajiri kupenya kwenye tundu la sindano. Sorry ni NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO.
 
Poverty is a mindset. A mindset is a stronghold which governs our daily activities and decision. NEVER PUT A POOR MAN (mindset) IN THE HIGHEST OFFICE.
 
Kwa upepo huu wa Lowassa, Makonda atafute tu mlango wa kutokea...hakuna namna nyingine.
 
Watanzania tunakutambua kama moja ya matajiri wakubwa hapa nchini. Lakini katika gazeti la Mwananchi la Ijumaa 19/6/2015 umenukuliwa ukikana utajiri wako. Nanukuu:
“Haya madai (ya utajiri) hayana hata chembe ya ukweli hata
kidogo, isipokuwa mimi nadhani wananitakia
mema kwa sababu ukiona jumba zuri wanasema
la Lowassa, gari nzuri la Lowassa, kitu chochote
kizuri wanasema cha Lowassa,”
Kwa kauli hii unajaribu kutushawishi kuwa na wewe ni maskini mwenzetu. Kama basi wewe ni maskini, unatupaje matumaini ya kutuondolea umaskini watanzania wakati wewe mwenyewe umeshindwa kuondoa umaskini wako na familia yako? Na kama wewe ni tajiri (kama wengi tunavyokujua), kuna nini nyuma ya pazia kinachokutia hofu kukiri utajiri wako hadharani. Watanzania tunahitaji kiongozi muwazi na mkweli, na kwa maoni yangu umekosa sifa hizi mbili muhimu! Naomba kuwasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: reg
Nyie subiri mwaka huu Tutashuhudia watu wanakufa kwa bresha na kwanza atakuwa lowasa.
 
Tatzo c utajr alionao...tatzo ni uzalendo je anao? Hao marafiki zake atawarudshiaje fadhira?
 
Hivi kweli mtu atumie hela zake nyingi hivyo? Hatujiulizi? Ina maana hizi hela hana chafanyia?
 
Mshenzi kweli tumchaguwe ili aendelee kuiba zaidi.nyambaafff
 
Mimi namsikitikia tu Mzee Lowassa maana baada ya Uchaguzi atabakia mtupu na pengine maskini kuliko hao anao wananga! Hili kundi lilomzunguka lote litamkimbia siku akikatwa (show me the money) na hapo ndio utasikia mzee wa watu kakimbizwa Apollo, India...
 
Back
Top Bottom