Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

akawasaidie monduli

Kweli umempa za uso. Monduli kuna umaskini wa kutupwa. Aonyeshe hata kiwanda kimoja anachomiliki na ambacho kimeajiri vijana jimboni kwake. Mbona hakemei mafisadi au ndiyo wenzake? Wajinga ndiyo waliwao. Tule fedha zake urais hapana.
 
Mimi kwa upande wangu Lowasa naona anataka kuitumia ikulu vibaya ni mtu mwenye kisasi tayari na baadhi ya watu nje ya chama na ndani ya chama hivyo me naona si mzuri,,pia nimeweza kumsikiliza sana hajaweza kutoa majawabu ya vipi ataweza piga vita swala la ufisadi ikiwemo rushwa ambaye yeye mwenyewe ni mlaji mzuri wa rushwa me naona hapa tunamhitaji mtu kama January Makamba ama mwenye maono kama yake kama yupo
 
Mwambie Lowassa Watanzania sio masikini bali kuna mbinyo/uvunjifu wa maadili katika matumizi sahihi ya rasilimali zetu. Tunataka Rais atakaetokomeza RUSHWA na UFISADI uliotamalaki NCHINI mwetu.

Halafu mwambieni kuwa IKULU sio sokoni kariakoo eti kisa unapafahamu vizuri ndo iwe turufu ya KUDELIVER kile UMMA wa Watanzania unataka.

Tunahitaji mtu msafi na mzalendo halisi ambae mienendo yake haitii shaka.
 
Salary Slip

Mh.! alishindwa kumshauri mjomba anasubiri yeye apate nafasi.? ndoroobo.! kama utaongeza mshahara wa mwalimu kutoka 370,000/= kima cha chini hadi 540,000/= hapo poa mwanawane.! walimu 0yeee.!
 
Last edited by a moderator:
Lowasa amelibadili jembe la mkono na kuwa mkongojo, akiingia ikulu atalipeleka makumbusho ya taifa, kimsingi anaepaswa kulima ni tajiri kama bhakresa, vijana wanapaswa kuajiriwa migodini kwenye visima vya gesi, na benki, sio kuzeeshana kwa jembe la mkono.
 
Kampe pole. Umshauri kwanza akatubu na aelezee vyanzo vya utajiri wake. Halafu majaribio yake aanzie Monduli.
 
Huyu fisadi atawezaje kuwasaidia masikini wakati umasikini huo umechangiwa na yeye!!! Atayasema mengi si hayo tuu....!
 
Yaani katika kiongozi ambaye hafai ni huyu Lowassa, hichi kibri anachojaribu kuwaeleza watanzania mapema hivi ni dhahiri akiwa rais atatukalia juu ya migongo. Watanzania we will pay the price Lowassa akiwa rais.

Sasa kama yeye ni tajiri atuambie lini alikaa madarakani na akapata hizo mali za kujinadi kwenye majukwaa kwamba yeye ni tajiri. Unaweza kuwa tajiri jamii ikafahamu kwamba wewe ni tajiri lakini wewe mwenyeo huwezi kukaa majukwaani na keleta maneno kibri.

Ivi principle ya kiongozi kuwa tajiri ni nini?? mimi nadhan kiongozi awe tajiri au maskini si kigezo. hoja hapa angalisema tunahitaji kiongozi muadilifu. Unaweza ukawa kiongozi tajiri badae ukaendelea kujilimbikizia mamali na hii ni sifa ya watu matajiri they always wants more.
 
Mwongo sana yeye amekuwa serikalini Na maraisi wote 4 kwanini hakutoa hayo mawazo ya Kuondoa umasikini au alikuwa anatuibia ? Hafai anachukia yeye kuwa umasikini sio sisi kuwa masikini
 
Back
Top Bottom