Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,422
- 2,271
Kama alijichagua au kujiteua katika nafasi hiyo kamwe hataondoka...Hivi unafikiri Membe atakubali kuondoka hapo? Hebu acha hizo!!
Kama alijichagua au kujiteua katika nafasi hiyo kamwe hataondoka...Hivi unafikiri Membe atakubali kuondoka hapo? Hebu acha hizo!!
Kama alijichagua au kujiteua katika nafasi hiyo kamwe hataondoka...
Kwa kuangalia mambo ya Tanzania na CCM mimi naona hii habari huenda ikaja kuwa kweli.
Huenda baadaye kidogo tu JK akamrudisha Lowassa kwenye baraza la mawaziri.
kama kikwete anampenda sana lowasa,kwa nini hasimuowe awe mke wa tatu
Ni vibaya sana kutetea mafisadi! Lowasa ni moja ya mafisadi waliokwisha julikana na kuwekwa wazi hata hivyo ukweli unabaki palepale kwamba Kikwete hawezi kufanya kazi bila Lowasa. Toka Lowasa ajiuzuru kasi ya utendaji wa Serikali umepungua sana, Pinda hajaweza kabisa kutosheleza nafasi ya PM. Pinda amekuwa mwongeaji kama Kikwete tofauti na Lowasa ambaye alikuwa mtendaji. My opinion ni kumwondoa Kikwete kwasababu hawezi kazi na siyo kumwingiza Lowasa Serikalini, tutachekesha sana.
Zimwi la uwezo wa Lowasa litabaki likiigesa serikali ya JK kwa muda wote wa uongozi wa awamu hii.Pamoja na yote yanayosemwa na yaliotokea bado Lowasa atbaki kukumbukwa kwa uwezo wake wa pekee wa kufatilia ujenzi wa nchi ya Tanzania.Pinda atabaki kuwa ni waziri ambae siyo aggressive na hawezi kubadili jambo lolote.Kwanza ni muoga na hawezi kusimamia mabadiliko yoyote.hana ajenda yoyote ya ujenzi wa nchi yake.baada ya miaka mingi ukweli huu utatoka wazi na hakuna atakaebisha juu ya ukweli huu....tatizo la Pinda kubwa ni kuwa anaogopa kufanya maamuzi kwa kuwa maamuzi makubwa muda mwingine yanweza kuwa na makosa na anajua Rais wake hawezi kumlinda pale atakapotereza kiutendaji.Bora awe tu kimya kama hayupo kama Sumaye alivyokuwa.
lowasa akiwa waziri wa mambo ya nje na membe je atafanya kazi gani?
Haki sawa,
Mkuu unachekesha sana, naomba uache utani wa namna hii, tena haipendezi mkuu, haya umeyatoa wapi? ama ndiyo mkuu umenong'onezwa na Membe?
kama kikwete anampenda sana lowasa,kwa nini hasimuowe awe mke wa tatu
Bado tu hawajamaliza mazingaombwe yao?