Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
misikitini.Hongo... Hongo.. Anatoa hongo.. Katolea wapi hizi hongo??
misikitini.Hongo... Hongo.. Anatoa hongo.. Katolea wapi hizi hongo??
akikimbia mitaa 100 tutamkuta ICU.Kwa taarifa yako Lowasa anakimbia kilomita kumi kila siku
View attachment 219764
anatakiwa kwenda kuchunga ng'ombe huko monduli ndoto za kuwa raisi atazifute kwenye akili yake.
Tuacheni utani hizo kilomita kumi anakimbilia chumbani akili za kuambiwa changanya na za mumeoKwa taarifa yako Lowasa anakimbia kilomita kumi kila siku
akikimbia mitaa 100 tutamkuta ICU.
huyu ndo raisi mtarajiwa alishinda 2010 ccm mkadhulumu sasa awamu hii tumejipanga vya kutosha .Lowasa mpe ushauri akachunge tuu ng'ombe huko monduli.Slaa anafaa kuwa mshauri wa wazee wa Karatu urais hauwezi familia imemshinda nchi ndio ataiweza?
Tuacheni utani hizo kilomita kumi anakimbilia chumbani akili za kuambiwa changanya na za mumeo
usitegemee mabadiliko yoyote ndani ya utawala wa shetani ccm wametuibia sana bado hawachoki na zamu ya mzalendo DR SLAA tuu.Hivi mnafikiri srikali iliyopo haikuingia kwa hela.na wamerudisha kwa kasi had I kuuza twiga.lowassa kama anaweza kuleta mabadiliko sijali amekula ngapi.wengine hawali???
weka huu ushahidi tuone huyu mzee akimbie mitaa 100 kwa siku atazimiaanakimbia na ushahidi upo acha kujitoa fahamu Slaa hata mita tano tu hajawahi kukimbia
acha kutumika kama toilet, pili lowasa ni mwizi mkubwa. tatu umesema lowasa ana moyo wa huruma sio kweli analaghai watu huwezi kutoa hela ili watu wakupigie kura alaf uite ni huruma hapana ni vipofu kama nini mnaweza kusema ana huruma huo ni ulanguzi alioukataa nyerere, kingine huwez kusema tuachane na nyerere wakati nyiny mmeharib nchi hii mpaka imekuwa kichwa cha mwendawazimu tuliheshimika sana kwa sabab ya nyerereLowassa haongi ila husaidia wahitaji. Mbona Regnald husaidia mara nyingi tu? Naomba tuache kumhusisha Nyerere na siasa hizi coz zama zake zimepita tayari. Lowassa ana moyo wa kutoa na wala si kana kwamba no tajiri
huyu ndo raisi mtarajiwa alishinda 2010 ccm mkadhulumu sasa awamu hii tumejipanga vya kutosha .Lowasa mpe ushauri akachunge tuu ng'ombe huko monduli.
ana uwezo wa kukimbia hata kilomita 20 yupo vizuri unafikiri ni kama huyu mgonjwa wenu .Slaa anakimbia mita ngapi?
mmetuibia sana lakini mwisho wenu ndo umefika mwaka huu lazima utawala wa shetani uondoke madarakaniLile kontena la kura kule Tunduma liliishia wapi labda alishinda hapo Ufipa mwambie slaa wazee wa Karatu wanamsubiri akawape ushauri wa kupora wake za watu Ikulu ataisikia redioni labda aalikwe na Lowasa kunywa juice
usitegemee mabadiliko yoyote ndani ya utawala wa shetani ccm wametuibia sana bado hawachoki na zamu ya mzalendo DR SLAA tuu.
Slaa hawezi ingia ikulu.had I wakolabo na lowwassa kwani ccm wana mpango kumtema
Bado anaweza let's changes.ye hacheki na watu hovyo
wewe utakuwa unaota endelea kuota DR SLAA ndo raisi mtarajiwa tunawasubiri kwenye midahalo mna historia za kukimbilia midahalo awamu hii msikimbie.Slaa hawezi ingia ikulu.had I wakolabo na lowwassa kwani ccm wana mpango kumtema