Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

Lowassa haongi ila husaidia wahitaji. Mbona Regnald husaidia mara nyingi tu? Naomba tuache kumhusisha Nyerere na siasa hizi coz zama zake zimepita tayari. Lowassa ana moyo wa kutoa na wala si kana kwamba no tajiri
mbona povu limekutoka hivyo Lowasa mgonjwa raisi ajaye ni DR SLAA tuuu.
 
kumbe ndo mnavyomupa moyo huyu raisi wa monduli.

Lowasa ni rais wa Tanzania anaesubiri kuapishwa rasmi October, hata majukumu mengine ya Urais JK ameshaanza kumkabidhi Lowasa
 
ushahidi gani unataka wakati coment zako zinaonyesha wewe endelea kutumika tuu kama toilet paper lowasa hawezi kuwa raisi labda wa ukoo wenu

Lowasa ni rais ajae wa Tanzania ,taka usitake ndio hivyo mkuu, kama umechefuka lamba ndimu kichefu chefu kiishe
 
lowasa anaombwa kusaidia na wenye hizo taasisi hatoi rushwa walio chapa hadi ma T-shirt hamuwaoni ila lowasa tu. acheni chuki? wapi lowasa katoa rushwa? kuna watu wanajinadi wazi wazi hamuwaoni ila lowasa tu. acheni hofu mnaogopa nini. na ni kweli jamaa akipita wapiga dili wote watakuwa hatarini.mwacheni akakataliwe kwa kura halmashauri kuu.

tutajie huyo unayemjua ambaye unasema habar zake unao sis tunamjua lowasa anahonga watu
 
toa hoja acha utoto hapa sio facebook kwa watoto wenzako huu ni uwanja wa Great Thinkers

My foot! Na wewe ni Great thinker? Kama ni hivyo mtu akiniita Great thinker tutapigana nilikuwa sijapata tafsiri ya hili neno.
 
Hongo... Hongo.. Anatoa hongo.. Katolea wapi hizi hongo??
 
My foot! Na wewe ni Great thinker? Kama ni hivyo mtu akiniita Great thinker tutapigana nilikuwa sijapata tafsiri ya hili neno.

utoto wako peleka facebook huko huu uwanja tuachie sisi Great thinker, akili yako ni ndogo kama piriton
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

kwani mtu kutoa pesa kwa jili ya mungu wake ni kosa, je misaada tunayopokea tokea nje ya nchi tunawapaga nn?mbona hamuulizi?,acheni kudanganywa, hakuna mgombea ccm asie toa hela. Si bora huyo anae toa kuliko hao wanaoiba na kujenga masheli na mahotel wewe mwananchi hufaidiki kitu. Jamani tuache unazi hakuna mtu anae faa tukitazama ccm kwa hali ya nchi hii wa kumzidi lowasa hiyo iko wazi na inajulikana ila watu wengi wanaofia ataonesha utafauti mkubwa na utawala uliopita hivyo watasaulika. LOWASA NDIO TUMAINI PEKEE ANAYEWEZA KUTUSOGEZA MBELE ZAIDI ALIPOACHIA KAKA JK
 
Back
Top Bottom