Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

Lowassa kuwa rais sawa, lakini kwanini anahonga?

Unamaana kuwa tunapotoa sadaka kanisani tunahonga? Msianzevkutuletea hoja mfu humu jamvini! Sadaka ni sehemu ya ibada takatifu. Narudia tena ili iwangie akilini jitahidini kujifunza dhana ya utoaji hii ni ibada takatifu na injili ya kweli. Lowassa alijunza hili yangu akiwa shule ya jumapili. Mbegu ile ilishaota na kusambaa.

Nguvu ya kisiasa aliyonayo Leo Lowassa ni matokeo ya ibada hii takatifu. Kuna baadhi ya watumishi wa Mungu wanalifahamu hili Wakirsto kwa Waisilamu. Kwa hivyo katika mapito anayoputia Edward ni ya kawaida kabisa.

Hata kwa nabii Isah alishajua kuwa ndugu yake Wa karibu Yuda angemsaliti lakini hakuna kilichomzuia Yesu kushinda majaribu Yale!

kinachogomba ni matumiz ya fedha kuendea safar yake ya kuwa rais sadaka sio shida anachofanya lowasa na mambo aliyofanya ni zaidi ya sadaka ametoa hela nyingi kwa vikundi vya kwaya kwaya na hela izi anatoa wap? hii ndio hoja kama unajua kisima anachotumia lowasa kuchota hiz hela utuambie
 
Raisi wa monduli anahangaika bure raisi ajaye ni Dr slaa ndo nyerere wa pili
 
kinachogomba ni matumiz ya fedha kuendea safar yake ya kuwa rais sadaka sio shida anachofanya lowasa na mambo aliyofanya ni zaidi ya sadaka ametoa hela nyingi kwa vikundi vya kwaya kwaya na hela izi anatoa wap? hii ndio hoja kama unajua kisima anachotumia lowasa kuchota hiz hela utuambie
Zile pesa alizopiga kwenye Richmond atazipeleka wapi
 
Wewe amewahi kukuhonga?thubutu,huna hata hadhi ya kugusa kamba za viatu vyake

Mhh kweli binadamu dhiki hizi zinatuhangaisha!!! hivi nyuma ya pazia ya kufungiwa kwake kwa marashi ya kufanya kampeni mapema bado hujui?? Au ni kujivika uzezeta tu sababu ya maslahi?? Yaliyotokea juzi visiwani?? Sasa kama ni Rais mtarajiwa na sisi wapiga kura hatuna hadhi ya kugusa hata kamba zake za viatu, anatufaa nini? Basi akagombee urais kwa watu wenye hadhi yake na sisi tumchague yule ambaye tunaweza mshika shati hatatukiwa katika hali yoyite ile.
 
Hawa watu wengine wanatapatapa sana. Ukiwambia waje na.evidence hawana, wameishia tu kupiga kelele kwenye mitandao...

kwa ww unataka ushahidi gani hasa? usiweweseke lowasa atajuta kwa nin achagua staili ya kutoa pesa kila kona
 
usipanic tuliza akili sikusema kuwa ni rais hoja ni kwamba yeye kama lowasa kuwa rais haina tatizo uwezo anao ndio mana kichwa habar hii wala haimanish yey ni rais. ww ina onekana huwa husomi kilichoandikwa badala yake unaishia kweny kichwa cha habar

Acha kuogopa a.k.a unafiki. EL hafai kuwa rais wa nchi hii kwa sababu baadhi ni hizo ulizozitoa kwenye main thread. Tulisha mtupa jalalani kwa kuwa alithibitika kuwa ni takataka. Leo afae kugombea urais kwa usafi upi? Tusishawishiane kurudi vyooni kufuata vyakula tulivyovitupa kutoka matumboni mwetu baada ya kuvitupa kwa namna ambayo tumeumbwa. Think out of the Box! Tumeng'ang'ania Lowasa! Lowasa! kama vile wengine hawawezi!
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

Tatizo unasoma sana magazeti ya uda.ku hivi kweli kama jamaa anahonga na kuhonga ni kosa kwanini hakamatwi?
 
Tatizo unasoma sana magazeti ya uda.ku hivi kweli kama jamaa anahonga na kuhonga ni kosa kwanini hakamatwi?

nani amkamate? serikali ipi? huyu bwana ameiweka serikali ya kikwete pamoja na ccm mfukon
 
nani amkamate? serikali ipi? huyu bwana ameiweka serikali ya kikwete pamoja na ccm mfukon

Hahaha a a a a umenikumbusha story ya baba wa taifa against mzungu aliyehadaa serikali yake.........kilichomkuta hadi kesho hataki kuisikia tz
 
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.
kamuhonga nani! Una ushahidi?
 
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.

CHADEMA wanashika vitovu Lowassa apite CCM, maana, kwa akili zao za kuambiwa wanafikiri ni rahisi sana 'KUMKANDIA' Lowassa kwa wananchi kwamba 'eti ni fisadi...................'!
POLENI SANA MACHADEMA, OPEPO WA LOWASSA NI HABARI INGINE!
 
kwa ww unataka ushahidi gani hasa? usiweweseke lowasa atajuta kwa nin achagua staili ya kutoa pesa kila kona

images

Unstoppable!
 
Watu wote wanao m-support lowassa inabidi waende kwenye maombi mazito kwa sababu kuna uwezekano wakawa wana tatizo la akili au wamelogwa.
 
Back
Top Bottom