luhala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 412
- 142
Duh watu wengine wana mawazo ya ajabu kwelikweli! yaani ili uwe na sifa za kuongoza vema sherti uibe, utajirike baadae ndiyo "uongoze" bila ya kuwa na tamaa! Unajuwa kilichomtajirisha huyu unayemfagilia? Na una uhakika kweli "katosheka" na alizokwisha kwapua? Kwa mawazo yasawa kabisa,lowasa atafaa sana kuwa rais wa tz.huu mtindo wa kuchagua viongozi masikini ni hatari kwa kuwa huja kuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali mf.kikwete,riz 1,maige,ngeleja nk.
aina hii nchi itazidi kufilisika hadi tufe.